lami

  1. JamiiForums Tanzania Serikali kutoa bilioni 3.5 kujenga barabara ya lami Milola

    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema Serikali imepeleka fedha za ujenzi wa barabara mkoani Lindi na amemwagiza Meneja wa TANROADS wa mkoa huo, Mhandisi Emil Silas Zengo ahakikishe barabara ya Kata ya Milola inawekwa lami mapema iwezekanavyo.Waziri Mkuu ametoa agizo hilo jioni ya siku...
  2. JamiiForums Tanzania Bilioni 11.6 Kujenga Kilomita 7.5 Barabara ya Lami Kata ya Usinge, Kaliua

    BILIONI 11.6 KUJENGA KILOMITA 7.5 BARABARA YA LAMI KATA YA USINGE - KALIUA Serikali imetoa Shilingi Bilioni 11.6 kwaajili ya Ujenzi wa Barabara ya kiwango cha lami yenye Kilomita 7.5 inayoendelea kujengwa katika Kata ya Usinge wilayani Kaliua. Jumla ya kilometa 7.5 ambazo zimegharimu takribani...
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya manispaa ya Morogoro wekeni lami barabara ya zamani ya Iringa kuanzia SUA, Magadu mpaka Mzumbe

    Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala ya kutengenezwa! Barabara hii kuanzia njiapanda ya SUA kuelekea Magadu hospitali ya jeshi mpaka...
  4. JamiiForums Tanzania TARURA: Barabara ya Goba Wakorea hadi Tegeta itakuwa ya lami, njia za watembea kwa miguu na taa za barabarani

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutaka kujua mrejesho kuhusu Jenzi wa baraba ya Tegeta kwenda Goba Wakorea umefikia wapi, TARURA wasema mchakato unaendelea. TARURA wamesema Barabara hiyo ya Goba Wakorea itakuwa ya kiwango cha lami ambapo ujenzi huo utakuwa na njia za watembea kwa miguu na taa...
  5. JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa mita 30 kutoka barabara ya lami ya Makongo-Goba

    Habari za muda huu... Viwanja vinauzwa.. ๐Ÿ“ Vipo goba kantina (Makongo road) โŒš Dakika mbili kutoka Goba center ๐Ÿ”ฅ โŒš Dakika 15 kutoka Mlimani city ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ›ฃ๏ธ Mita 30 tuu kutoka barabara ya lami ๐ŸŸ๏ธ Upande wa kulia kutokea Mlimani city ๐ŸŸ๏ธ Upande wa kushoto kutoka Goba ๐ŸŸ๏ธ Viwanja vipo tambalale...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya kwanza lami Dar road mtumba vinauzwa sqm 5229 bei mil 145

  7. JamiiForums Tanzania Katika mkoa wangu nilipo sioni tena barabara mpya zikiwekwa lami

    Nilimchukia magu pia nilimpenda kwa mazuri yake pia, kwa sasa mkoa nilipo zaidi naona wakirekebisha zile mbovu tu Ila mpya zinazoanza kujengwa Hanna lakini kipindi cha nyuma ukikatiza kilometer kadhaa unakutana na camp ya wakandarasi.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Barabara ya Tabora - Mpanda unateleza na lami tu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea kuboresha miundombinu ya barabara katika Mkoa wa Katavi ambapo sasa barabara ya kutoka Tabora hadi Mpanda (km 352) ni ya kiwango cha lami. Rais Dkt. Samia ameeleza hayo leo Julai 13, 2024 wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Nitakuja Kumkabidhi Mkandarasi, Ujenzi wa Lami ya Barabara ya Omurushaka - Kyerwa

    NITAKUJA KUMKABIDHI MKANDARASI, UJENZI WA LAMI BARABARA YA OMURUSHAKA - KYERWA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imeshampata Mkandarasi wa kuanza Ujenzi wa barabara ya Omurushaka โ€“ Kyerwa kwa kiwango cha lami ambapo...
  10. JamiiForums Tanzania Mafinga-Mgololo tunataka lami

    This is too much tukutane 2025...hii barabara itatoka na mtu kwenye kiti. Haiwezekani ukanda huu tuzalishe 1. Chai 2. Karatasi 3. Mbao 4. Kahawa 5. Hardboard 6. Pareto 7. Parachichi 8. Nguzo za umeme na simu 9. Mahindi na nafaka kibao 10. Cinchona (miti ya kuzalishia dawa za malaria) Nk...
  11. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Barabara ya Ushirombo - Katoro Kuanza Kupigwa Lami

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Wakala ya Barabara (TANROADS) imekamilisha Usanifu wa Barabara ya Ushirombo - Nyikonga - Katoro na Sasa Serikali ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi wa kuanza ujenzi kwa kiwango cha lami kipande cha Ushirombo hadi Nyikonga (km 22.5), pamoja...
  12. JamiiForums Tanzania Shilingi Milioni 500 Kujenga Barabara za Lami Lupembe

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa โ€“ TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amesema Serikali imedhamiria kujenga Barabara kwa kiwango cha Lami katika Jimbo la Lupembe ambapo amesema jumla ya shilingi Million 500 zimetengwa. Katimba amesema hayo...
  13. JamiiForums Tanzania Barabara ya lami ya Musoma-Makojo-Busekera kuanza kujengwa

    Wizara ya Ujenzi inasema yafuatayo: 1. Matayarisho ya Manunuzi (kumpata Mkandarasi) yanakamilishwa. Barabara litajengwa kwa awamu mbili, kwa kuanza na km 40. 2. Randama (Kitabu cha Bajeti) kinasomeka hivi; (2a) Ukurasa wa 116 unaorodhesha barabara hilo kwenye Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/2025...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO TANROADS, Magari ya mchanga yameharibu lami ya Tankibovu makazi mapya. Je, ni nani anawakumbatia hawa?

    MASIKINI INASIKITISHA SANA NILIKUWA SAFARI NIMERUDI JANA NIKASEMA NIKAMWONE DADANGU KIPENZI MAKAZI MAPYA MBEZI BEACH NIKAKUTA BARABARA AMBAYO DADA NAE ALICHANGIA 50000 HAIFAI....... Kabisaaaa Kuuliza naambiwa kunaa mkandarasi kapata tenda ya kutoa michanga huko chiinii mtonii Shida si...
  15. JamiiForums Tanzania Barabara ya lami Kimara Bonyokwa inaanza lini watu wamevunjiwa majumba yao mkasema Aprili sasa Mei

    Kuuliza si ujinga. Nakumbuka mara ya pili walitangaza kujenga barabara Ubungo Kimara. Watu waoga wakavunja mpaka leo hii ile njia haijajengwa. Sasa kuna hii njia ya kmr bonyokwa tunapenda sana mafanikio jamani. Tukafurahia mno ghafla tukaona malori madubwasha ya kuvunja na kukwangua njia...
  16. JamiiForums Tanzania KERO PreGE2025 Jimbo la Lupa-Chunya limetawaliwa na CCM tangu uhuru, halina barabara ya lami hata nusu kilometer

    Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu. Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami. Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena, ili aendelee kuwa mbunge wa Lupa. Ninashauri CCM itusaidie kumuondoa mbunge wa sasa, itupatie mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Barabara ya Kibada - Mwasonga mbioni kuwekewa Lami, Bashungwa akagua athari za mvua

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami. Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia...
  18. JamiiForums Tanzania Barabara ya Kibada - Mwasonga kuanza kupigwa lami, Bashungwa akagua athari za Mvua

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami. Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia...
  19. JamiiForums Tanzania Bilioni 9.88 Kujenga Lami Barabara ya Dareda Mjini - Dareda Mission Babati

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi kampuni ya Jiangxi Geo Engineering kukamilisha kwa wakati ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Dareda hadi Dongobesh (km 60) sehemu ya kwanza ya Dareda Mjini hadi Dareda...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Kasasali: Jimbo la Sumve Hatuna Hata Milimita Moja ya Barabara ya Lami, Tumechoshwa na Ahadi Hewa!

    MBUNGE KASALALI: JIMBO LA SUMVE HATUNA HATA MILIMITA MOJA YA LAMI, TUMECHOKA! Mbunge wa Jimbo la Sumve, Mhe. Emmanuel Kasalali amechangia, April 4.2024 Bungeni jijini Dodoma ambapo katika mchango wake amemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri nya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kuongea na Waziri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ