Waziri Katambi ameeleza kwamba NIDA sio taarifa binafsi, Umri sio taarifa binafsi, namba ya simu sio taarifa binafsi
Huyu ni waziri mkubwa ndani ya baraza la mawari: Sina hakika sana na level ya elimu yake : lakini naishauri BAKITA kutoa tafsiri rasmi ya nini kinachoangukia ndani ya neno...