kyela

Kyela is one of the seven districts of Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Rungwe District, to the northeast by Njombe Region, to the southeast by Lake Nyasa, to the south by Malawi and to the west by Ileje District.
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of the Kyela District was 221,490.The District Commissioner of the Kyela District is Claudia Undalusyege Kitta.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbeya: Kata ya Serengeti mabingwa wa Mashindano ya Kyela Polisi Jamii Cup 2023

    Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Josephine Manase Keenja, Mei 01, 2023 amefunga rasmi mashindano ya mpira wa miguu yajulikanayo kwa jina la "KYELA POLISI JAMII CUP, 2023" baada ya kushuhudia fainali iliyozikutanisha timu za Kata ya Ipinda dhidi ya Kata ya Serengeti. Mashindano hayo yalihusisha Kata 33...
  2. Mwili wa bondia Ibrahim Najim aliyefariki baada ya kuanguka ulingoni, kuzikwa Kyela

    Mwili wa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Ibrahim Najim unatarajiwa kuzikwa wilayani Kyela Mkoani Mbeya. Najum alianguka ulingoni jumapili iliyopita baada ya kumalizika kwa pambano lake la raundi nne dhidi ya bondia Laurent Segu wa Dodoma na kuwahishwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma...
  3. Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

    Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile. Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa...
  4. N

    Kyela: Ubadhirifu na ufisadi chama cha ushirika KYECU

    UBADHIRIFU CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KYELA (KYECU), NA UVUNJAJI NA UKIUKAJI WA MIONGOZO YA VYAMA VYA USHIRIKA Mimi ni mdau na Mkulima wa Kakao katika Wilaya yetu Kyela, Mkoani Mbeya. Kutokana na ushiriki wangu katika kilimo hadi mauzo, kuna mambo kadha wa kadha ambayo yanatukwanza kama wana...
  5. N

    Richard Temu, mlanguzi wa kakao Kyela anayepambana kuua Ushirika ili apate bei ya chini toka kwa wakulima moja kwa moja

    Richard Temu, ni mfanyabiashara mlanguzi wa kakao katika Wilaya ya Kyela, ambaye hulangua kwa bei ya chini toka kwa Wakulima na kuziuza kwa mfumo uliowekwa na Serikali wa Stakabadhi ghalani. Akishazipeleka pia hutumiwa na kampuni za wahindi kupeleka bid yao katika mnada ili waweze kununua na...
  6. Kyela: Polisi wazuia kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa Chadema

    Hii ndio habari mpya kati ya nyingi za uonevu dhidi ya Chadema zilizotufikia hivi punde . Ambapo OCD amedai anazuia Mkutano huo uliopangwa kufanyika kwenye Hotel ya kisasa ya KASALA kwa vile hauna kibali , hata hivyo kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania , Polisi hawajawahi kupewa Mamlaka ya kutoa...
  7. Kyela tutaikumbuka serikali ya Denmark kwa kutuletea mradi wa uhakika wa Maji wa DANIDA

    Huu ndio ulikuwa mradi wa kwanza kabisa mkubwa na wa Uhakika wa Maji safi ya bomba Wilayani Kyela , ulianzia Kasumulu ukapita Lubele, Mbako, Kilasilo, Ibungu, Lupembe, Muungano, Ikolo hadi ziwani huko, kule upande wa pili ukipita Njisi (boda ya sasa), Isaki, Kabanga hadi Katumbasongwe. Huu ndio...
  8. Ni aibu kubwa sana kwa Wilaya kongwe ya Kyela kukosa gari la Zimamoto

    Kyela ni miongoni mwa Wilaya kongwe kabisa za Tanzania , lakini ni Wilaya ya mwisho kabisa kufaidi keki ya nchi hii , kwa miaka yote tangu uhuru imeongozwa na Wabunge wa ccm tu , akiwemo yule mmoja aliyetamba hadharani kwamba ANAMILIKI DIGRII 4 na wala hana njaa yoyote . Halmashauri ya Wilaya...
  9. J

    TANZIA John Livingston Mwakipesile, Mbunge wa zamani wa Kyela afariki dunia

    Aliyekuwa mbunge wa Kyela na baadae mkuu wa mkoa wa Mbeya mzee Mwakipesile amefariki dunia Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya, John Mwakipesile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2021. Marehemu Mwakipesile aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kyela (1995 hadi 2005) na kisha kuteuliwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…