kwisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dubai kwisha!

    Dubei ndio hivyo tena kwiiisha. Dubai is finished. Wahamiaji matajiri expats wanaikimbia Dubei. Nyumba zimeshuka thamani 69%. Biashara haziendi. Madereva teksi hasa kutoka Pakistani, India na Bangladesh nao wanataka kurudi nyumbani hamna biashara ni njaa. Ukilinganisha na Dubei hawazalishi...
  2. A

    Wako wapi walio sema Hezbullah kwisha?

    Echolima1 a.k.a mwenye majina 30+ kama utitiri Umejificha wapi au kazi za kusafisha vyoo zimekuzidi kule Tela Aviv. Umewaona Hezbullah au bado https://youtu.be/_d95LLJvZ7Y?si=KaozdYLUYtd555oI Afu kuna fununu wametekwa askari wa Israel walijidai eti makamanda kushuka kutoka kwenye Helcopter...
  3. Q

    Hongera GenZ, Simba na Yanga kwisha Wasanii kwisha, tuendelee hivi hivi hadi wote tuongee lugha moja.

    Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa. Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
  4. M

    Wasanii kwisha habari yao, tuhamie kwa waandishi wa habari, hakuna kusoma, kusikiliza na kununua magazeti yao

    Mbiu hii ipigwe kote kwenye viunga vyote vya mitandao ya kijamii, kila alipo mpenda haki tarifa hizi zimfikie kwa namna yoyote ile Nani asiyejua? Vyombo vya habari ni chombo kikiamua kutekeleza majukumu yake, nchi inaweza kushinda vita dhidi ya adui bila hata kutumia silaha Cha ajabu katika...
  5. Kwisha! Rais Samia amelitia taifa kwenye tanuru la moto tujilinde wenyewe

    Kwisha! Rais Samia amelitia taifa kwenye tanuru la moto tujilinde wenyewe
  6. Siku nyengine hakuna atakaye fanya huu ujinga na ukandamizaji wa wananchi au upinzani na kesi za uongo kwisha

    Siku nyengine hakuna atakaye fanya huu ujinga na ukandamizaji wa wananchi au upinzani na kesi za uongo kwisha. Tuheshimiane tunachukua taifa letu tunaenda kulijenga upya
  7. Ufisadi wa kutisha ccm: bilion 100 zimeshaliwa na kwisha

    Wasalaam. Kuna taarifa za ndani kabisa kutoka mikoani kwamba ccm imetoa barua za kuomba kuchangiwa kampeni zake za uchaguzi zinazotegemewa kuanza wiki ijayo. Swali fikirishi ni kwamba zile bilion 100 mlichanga ni za mwenyekiti pekee? Ina maana pesa hizo hazigawanywi mikoani? Inakuwaje tena...
  8. D

    GE2025 Polepole kwisha kwisha kabisa nyanga nyanga mlalo wa chali

    Samia anapendwa mno na makundi yote na polepole aliyemdanganya kuonge yale atakuwa anacheka namna ambavyo kamuingiza kingi. Jamani shule muhimu sana laiti polepole angesoma seminari angekuwa mtu wa reasoning kubwa na siyp mkurupukaji I'm proud being seminarian
  9. 4

    Sasa Tunaanza upyaa alisema Mbunge Bwege alikua Mbunge drama za CCM kwisha

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu , Rejea mada tajwa . Mh aliekua Mbunge wa bunge la JMT ,tulipenda sana tumia jina la mh Bwege, kuna kipindi ndani ya Bunge aliwambia wabunge wa ccm na serikali kwamba tunaanza upyaaa. Sasa msemo huu leo nawambia pia ccm kwamba tunaanza upya ,drama zao...
  10. Kwisha habari yake

    Kwisha habari yake
  11. Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

    Wanabodi Leo ni siku ya Jumapili,najitahidi siku za Jumapili,niwe naleta mada za holistic approach Huu ni uzi wa swali tuu, nimeona jinsi washabiki wa NRNE walivyo chachamaa kwenye mitandao ya kijamii,utadhani wametiwa ndimu!,mtu yoyote ukiposti chochote,wanakuja na NRNE sio tuu za...
  12. CCM kwisha kabisa

    Yaani speech moja tu ya kada wake kuishauri mamlaka ya juu... Wote wamejaa kwenye mfumo wake Tangu juzi siku moja bada ya speech yake iliyowakonga nyoyo Watanganyika wengi... Makada, chawa kunguni na viroboto wanashindana mitandaoni na kwenye press conference za mchongo kumjibu Kujibu sio...
  13. Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

    Itawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa. Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata muvi za awali...
  14. Hii CHADEMA ya Dkt Slaa pale, huku Tundu Lissu kule Freeman Mbowe pale John Heche na John Mnyika katikati Godbless Lemma CCM kwisha kabisa

    Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa. Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu, Mbowe na Heche naamini hii No reform No Election itakuwa ni kama kusukuma mlevi.
  15. PreGE2025 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    Wakuu, Leo mbali na kuwa ni Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA pia wanasherekea Miaka 32 ya CHADEMA kupata Usajili wa Kudumu, ambapo ulipatikana Januari 21, 1993. https://www.youtube.com/watch?v=6W33TIKrrOE Mbivu na mbichi kujulikana leo, tumeona mengi na kusikia mengi kila upande ukitetea kwake. Je...
  16. S

    Kitabu cha Erick Kabendera huenda kikafanya vitendo vya utekaji na mauji vikapungua kama sio kwisha kabisa

    Ninahakika watawala hivi sasa wako shocked na yaliyomo katika kitabu cha Mwandishi, Erick Kabendera kilichopewa jina la "IN THE NAME OF PRESIDENT " Watawala wataanza kuingia hofu kumbe hakuna siri hata wale tuliowaamini na kuwapa kazi ya kusimamia hizi operation ndio wa kwanza kutoa siri kwa...
  17. 4

    Kama kuna mtu kachukua pesa za watu huko CHADEMA uchaguzi umeisha kwisha rudisha .

    Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu, kila mmoja kwa imani yake. Leo nimeona nitoe onyo , kama yupo ambae amekwapua mpunga toka upande ule, utazitapika, uchaguzi umeishaisha . Team Mbowe mnaenda kupigwa kama Ngoma. Mtajua hamjui.
  18. We live in times where the rich has more rooms than children and the poor has more children than rooms

    1. We live in times where we see many humans, but not humanity. 2. We live in times where the rich has more rooms than children and the poor has more children than rooms. 3. We live in times where smart phones bring you closer to those who are far, but distance you from those who are closer...
  19. Sean "Combs" Diddy akamatwa

    Sean "Diddy" Combs was arrested in Manhattan on September 16, 2024, following a grand jury indictment related to an ongoing federal investigation involving allegations of sex trafficking, sexual assault, and other criminal activities. This arrest came after his properties were raided by federal...
  20. Deal done! Baada ya likizo kwisha.. Kaya zikafutwa

    Walianza kuhamishwa wanyama wa mwituni kwenda jangwani.. Kisha ikafuatia likizo ya mchongo ya kimyakimya na coumaflage ya kifo.. Ili kutoa nafasi kutengeneza mambo vizuri mezani Kila kitu kilipokaa sawa na mishekeli kuingia kibindoni ndipo likizo ikafika ukomo Kilichofuatia baada ya liziko ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…