kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya China kupiga bahari mabomu, Marekani nao waamua kwenda kufanya operetion za kivita hapo mahali

    Kama namna fulani ya kuwajibu Wachina, Marekani kwenda kupitisha vyombo hayo maeneo ya bahari karibu na Taiwan na kufanya yao ikiwemo mazoezi ya kutunisha misuli.... A senior US official said Friday the US was set to conduct "freedom of navigation" operations in the Taiwan Strait during the...
  2. JamiiForums Tanzania Njia za kupata elimu bila kwenda chuo kikuu

    Teknolojia imekuwa muhimu na msaada kwa kila mtu, jinsi inavyoszid kukua na ndivyo inavyoleta mabadiliko. Leo nataka tuangazie njia kadha unazoweza kuzitumia kupata elimu bila kwenda chuo kikuu. watu wengi wana ndoto ya kufanya vizuri katika elimu lakini kwa namna moja ama nyingine huwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kushawishi wasomi kwenda kulima. Ninyi na watoto wenu mbona munaingia kwenye siasa?

    Hii ni nane-nane na kuna wanasiasa wengi wanazindua sherehe na taasisi za serikali zinajilazimisha kwamba wamefanya makubwa ktk kilimo. Huu ni unafiki kwa wanasiasa na taasisi za serikali. Tunayoyaona ktk maonesho haya, kama kweli ndiyo mafanikio ya kilimo kila mwaka, basi kilimo cha nchi hii...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Serikali idhibiti mahindi kwenda nje

    Bei ya mhindi huko Arusha vijijini haishikiki. Serikali kupitia Waziri wake Bashe ithibiti mahindi kwenda nje Watu wataumia na ukosefu wa mahindi
  5. JamiiForums Tanzania Nimekatwa Tsh 5,300 kuhamisha Tsh 50,000 kutoka NMB mobile kwenda M-PESA

    Nilikuwa sijawahi kutumia hii huduma lakini sasa nilijaribu wiki mbili zilizopita na sikuangalia salio. Muda huu nimepata bank statement kwenye email ndio naona hayo makato. Tsh. 5,300 (NMB Tsh. 4,491.53 na VAT Tsh. 808.47) imenishangaza kukatwa zaidi ya asilimia 10 ya fedha niliyohamisha...
  6. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Makka kumpiga mawe Shetani!

    Mada hii si ya uchokozi wa kidini, la hasha. Ni la kutaka kueleweshwa tu. Kwa mantiki ya Hijja, mwisho wake sala hiyo ni kuzunguka lile jiwe la K'aaba. Halafu baada ya hapo kuna kulipiga jiwe na mawe kwa imani ya kumpiga mawe shetani. Hapo ndipo mimi nataka kwenda ,kumsulubu shetani kwa mawe...
  7. JamiiForums Tanzania Mtaka kwenda kuwa RC Njombe ni kumpunguza spidi?

    Mwanasiasa mteuliwa kwa kawaida hana kauli kwa sehemu ya kutumikia. RC Mtaka nimekuwa namfuatilia toka akiwa Sumiyu. Ni kijana anatumia utu na akili katika maamuzi yake. Miaka ya Mwendazake wakati ma RC wengine wakishindana kuwaweka ndani viongozi wenzao wa ngazi za chini, yeye alikiri kukataa...
  8. JamiiForums Tanzania Ulikuwa unatembea kilomita ngapi kwenda shuleni? Nilikuwa natembea hizi

    Leo nimepima umbali niliokuwa natembea kwenda shuleni sekondari kila siku. Kilomita tano! Kwenda na kurudi 10km. Mara nyingine nilikuwa napanda gari kwenye 2km. so kila siku kulikuwa na uhakika wa kutembea 6km. Nilikuwaga na pumzi sana.
  9. JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko ya fikra za Vijana katika kujishughulisha na kilimo

    Picha na farming Africa. UTANGULIZI Nchi nyingi katika dunia ya leo hasa zile zinazoendelea zikiwemo nchi za AfriKa hasa katika ukanda wa Sahara ikiwemo Tanzania watu wake hutegemea sana kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wao kutokana na ukweli kwamba watu wake wanakaa katika maeneo ya...
  10. JamiiForums Tanzania SoC02 Kuenea kwa usugu wa vimelea na vimelea sugu vya magonjwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu kupitia matumizi ya mbolea za wanyama katika kilimo

    DIBAJI Katika dunia ya leo ambayo muingiliano wa shughuli za kilimo na maisha ya binadamu vinaongeza utegemeano ongezeko la magonjwa sugu linaongezeka siku hadi siku kutokana na hali kwamba , matumizi ya mbolea kutoka kwa wanyama na biandamu katika kilimo hususani kilimo hai yanaongezeka na...
  11. JamiiForums Tanzania Safi sana Rais Kagame; kama kawaida yako Umenusa 'Tego' la 'Geneva ya Afrika' na 'Ukachomoa' kwenda, hivyo imekula kwao

    Wanadhani hukugundua mpango wao na Rafiki yao unayempelekea Moto Kwake kuwa asije ili uje Wewe na wamsaidie kwa kutumia Mbinu ya Mrusi kisha yakukute huko huko Geneva ya Afrika au ukirejea Kwako Kigali. Wamesahau kuwa Wewe ni zao tukuka la Marekani na Israel (Kiujasusi/ Kinjagu) na kwamba una...
  12. JamiiForums Tanzania Wanywaji wa bia washauriwa kunywa chupa moja kwenda nyingine baada ya saa moja

    Hayo yamependekezwa leo na prof. Mohammed Janab, mkurugenzi wa taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Namnukuu. Nakumbushia tena kunywa pombe chupa moja hadi nyingine ukienda baa kuanzia saa moja hadi saa mbili kunywa chupa mbili za bia. Ule muda uliobakia tazama mpira, tamthilia. Ukitoka...
  13. JamiiForums Tanzania Frenkie de Jong hataki kwenda Man United kwa madai klabu hiyo haiendeshwi vizuri

    Imedaiwa kuwa kiungo wa Barcelona, Frenkie de Jong hataki kuhamia Manchester United kwa kuwa haupendi Mji wa Manchester na anaamini klabu hiyo haiendeshwi vizuri. Ilielezwa kuwa Man United ilikubali kuwa tayari kutoa Paundi Milioni 71.5 ili kumsajili lakini mchakato umekuwa mgumu kwa kuwa kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Ili kujua nani abaki na nani aachwe unahitaji kwenda Misri na wachezaji wote?

    Kwenda Preseason nje ya Nchi na wachezaji ambao utawaacha sio weledi bali ni kuchelewesha wachezaji ambao wataachwa kutafuta timu na kuwadhalilisha pia. Kocha mpya Kukaa na mchezaji kwa siku 15 kunamsadiaje kuamua hatima ya maisha ya mchezaji kwenye timu?
  15. JamiiForums Tanzania Wahukumiwa kwenda Jela miaka 70 kwa wizi wa mifugo

    Watu sita ambao ni majambazi sugu wa mifugo wamehukumiwa kifungo cha miaka 70 jela kwa kosa la unyanganyi wa kutumia silaha aina ya bunduki na mapanga katika mahakama ya wilaya ya Tarime Mkoani Mara. Hukumu hiyo imetolewa na hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Tarime Hakimu Yohana...
  16. JamiiForums Tanzania Nauli ya China - TZ ni 11M, Bei ya kwenda tu kwa ATCL

    Nauli ya kwenda Ganzhou, China imefikia Million 11 . Hiyo Ni kwenda tu. Kuhusu malazi , matumizi na nauli ya kurudia bado ni juu yako. Naona Rais amefungua nchi kwa wageni tu , Ila si kwa wa-TZ . Machinga wenzangu mtaji upo?
  17. JamiiForums Tanzania Safari za ATCL kwenda China ziwe neema kwa wafanyabiashara nchini

    Tanzania na China zimekuwa na mahusiano ya muda mrefu, toka enzi zile za kufuata misingi mikuu ya Ujamaa chini ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Baba wa Taifa la China Mao Ze Dong. Kwa miaka 61 sasa nchi hizi zimeendelea kushirikiana katika mambo kadhaa lakini zaidi ni namna asilimia kubwa ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kwenda Preseason kwenye viwanja vya Ulaya wakati mechi zitachezewa viwanja vya manungu ni kudhoofisha timu

    Timu zimesajilli wachezaji wapya wa kigeni ni Bora preseason Yao ikawa kwenye hali ya hewa na viwanja ambavyo mashindano yatafanyika. Aziz Ki kumpekeka preseason Egypt wakati mechi yake ya kwanza ya ngao ya jamii atachezea uwanja wa kigoma sio weledi. Wachezaji wageni wazoee viwanja vyetu hivi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Nauli kwenda mikoani zapanda kuanzia Mei, 2022

    Wasafiri wa maeneo mbalimbali wameripoti nauli za mabasi kwenda mikoani kupanda.
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kaizer Chiefs wapanda dau Kinshasa, Kampala asusa atishia kwenda FIFA

    Tuliposema kwamba Ki aziz kapasua kingo za mto tuliitwa wajinga, maandazi, propaganda. Gharib alitoa millions 500 watu wakachafua madaftari wakijua kwamba kijana atakubali achukue signing fee nusu nyingine amaliziwe mwakani sasa kagoma na kutokana na jinsi walivyokuwa wamemkuza wakishirikiana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…