kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Peleka mtoto chuo akimaliza Kidato cha Nne badala ya Kidato cha Tano

    Kama una kijana amemaliza form 4 na ana matokeo mazuri mpeleke akasome CERTIFICATE ya course anayopenda baadae mpeleke Diploma. Akipata kazi yake au issue zake asome degree akiwa kazini au kwenye shuguli zake. Utanishukuru baadae. Hii inasaidia kuokoa muda na possibility ya kufeli form six ni...
  2. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  3. JamiiForums Tanzania 92% ya Wanafunzi nchini wanatembea kwa Miguu kwenda Shule

    Jiji la Dar es salaam linaongoza kwa kuwa na Wanafunzi wengi wanaotumia Mabasi ya Shule kulinganisha na sehemu nyingine yoyote Tanzania. Wanaotembea mpaka Shule - 92.6% Wanaotumia Usafiri wa Umma - 3.7% Wanaotumia Basi la shule - 1.5% Wanaotumia Baiskeli - 1.1% Wanaotumia Magari binafsi - 0.6%...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhamisho wa kuhama Sekta moja kwenda nyingine?

    Habari wakuu ningependa nieleweshwe taratibu kamili za kufuata ili uweze kuhama sekt moja kwenda nyingine. Mfano.sekta ya maji kwenda sekta ya madini.
  5. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii

    Huu ni utabiri uliopo wazi kabisa, leo hii mara baada ya dakika tisini kuisha pale taifa; hakika sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii. Timu haina mipango magoli, tunategemea ya kujifunga. Yaani Ndondokela Kocha hana mbinu, yaani yeye kakaa kukalili tu mfumo, yaani hata huo uprofesa sijui alipata...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanapaswa kwenda Butiama kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Kwa vile CHADEMA wapo Mara, ingefaa kama wangekwenda kulizuru kaburi la Mwalimu. Kwa sababu inafaa kama watu wanafanya shughuli za kisiasa Mara wapite kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Watanzania,waende kwanza kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Foreigners...
  7. JamiiForums Tanzania Najiandaa kwenda Canberra Australia kwa mchepuko wangu,Tuombeane

    Bwana yesu asifiwe, Kesho natarajia kwenda Ile safari yangu niliowaambia wiki iliopita ila nitapanda ndege za emirate mpaka Ethiopia 🇪🇹 pale nitakaa kama siku moja hivi kwa sababu pale pia kuna mchepuko wangu mwingine tena nilikuwa naishi nae kipindi nafanya kazi 🇪🇹 makao makuu ya umoja wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kuhamisha file la YoWhatsApp kwenda simu nyingine

    Habari wakuu, Nimekuwa nikitumia YoWhatsApp kwa simu A na sasa nimepata simu mpya B. Nataka chat zangu zote zihamie simu B pindi nikiweka YoWhatsApp katika simu B. Nimepitia maelezo mitandaoni kila nikijaribu sifanikiwi. Naomba mwenye uelewa anisaidie kwa lugha rahisi na ya kueleweka hatua...
  9. JamiiForums Tanzania Nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza kukiwasha japo kwa shingo upande

    Naelekea Mwanza kwenda kukiwasha. CCM ni janga la taifa. Limezidi kuwakandamiza watanzania kwa kuendeleza umasikini. Tozo haramu, ufisadi na ubwanyenye. Nitakiwasha jukwaani uwanja wa furahisha mpaka kieleweke.
  10. JamiiForums Tanzania Niliwahi kwenda kwa mganga kuomba dawa ya biashara haikusaidia, ikanipa mvuto wa wanawake. Niliwachakata mpaka nikafilisika

    Miaka ya nyuma nilikuwa na biashara yangu ikawa inapata ugumu wa ushindani. Mjinga mmoja akaniambia twende Handeni lwa babu ukaiboost. Nilichoamini sasa, hawa mawitch doctor nao wana areas of specialization kama MD walivyo, kunaambao wamebobea kwenye dawa za kufuta kesi, dawa za mapenzi...
  11. JamiiForums Tanzania Ni kumbukumbu ipi unaikumbuka siku ulivyoondoka kwenu na kilichokufanya uondoke kwenda kuanza maisha ya kujitegemea?

    Hakika ilikuwa ni siku ambayo binafsi niliumia, ni baada ya kushindwa kuendelea na elimu yangu nilipomaliza form 4 mwaka 2012.. pale home nilionekana nipo nipo tu, ikabidi nitafte mishe ya kujifunza useremala lengo likiwa nikianza kupata pesa nihame, haikuwa kama nilivyotegemea maana hata...
  12. JamiiForums Tanzania Msisahau ku-update Android zenu kwenda Android 13

    Wakuu naomba kuwakumbusha kwamba Android 13 ilishatoka toka mwaka Jana August na kwa Samsung imeanza kutoka October 22. Simu yangu ilipata updates October 22, hivyo natumia Android 13 toka kipindi hicho. Kitu kimoja nilisahau nimependa na ningependa kuwashirikisha ni uwezo wa kutokuonyesha...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anataka kwenda kutafuta maisha Uingereza kwa gia ya kuingia kama mkimbizi. Je, atafanikiwa?

    Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha anafika katika kambi ya wakimbizi huko uingereza. Chengine ni kuwa amesoma na ana degree yake ya uhasibu...
  14. JamiiForums Tanzania Tusipangiane, hata wewe unaweza kwenda Ulaya kupitia shughuli unazofanya

    “Hata shabiki nae ana fursa ya kwenda Ulaya vile vile kwa biashara zake anazofanya. Kama wanadhani kwenda ulaya ni rahisi basi shughuli zao pia ziwapeleke Ulaya. Hata ulaya wanatumia mkaa pia wakauze mkaa ulaya. Usimpangie mtu kwenye shughuli yake,” Ibrahim Ajib Yuko sahihi au maneno ya mtu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natumia approximately laki 3 kwenda kwenye interview ya kazi ambayo ni Mungu tu ndo anajua kama ntaipata

    Naam ni izi selection zilizoitwa juzi hapa za utumishi serikalini. Tunaenda pambana watu zaidi ya buku kusaka ajira za kudumu. Gharama za nauli+chakula+malazi nenda rudi inakaribia 300k dah. Inaniuma lkn kwny maisha haya huwez pata kitu bila kurisk. Ama kweli maisha bongo ni magumu sana, acha...
  16. JamiiForums Tanzania Safari ya Simba kwenda Dubai haipo kiuweledi

    Habari..... Simba baada ya kutolewa kwenye michuano ya Mapinduzi wakapanga safari ya Dubai. Hii safari ipo kisanii sana, kiukweli kutokana na ufinyu wa muda sidhani kama ilikuwa sahihi kwa Simba kwenda Dubai. Wachezaji hawana miili ya chuma kuna wasaa wanahitaji kupumzika lakini unawasafirisha...
  17. JamiiForums Tanzania Wabunge waliopanda kitorori kwenda bungeni watafute mashamba 2025 si mbali

  18. M

    JamiiForums Tanzania Genge la wahuni liliko nyuma ya feisal limchangie pia pesa za kwenda CAS na akishindwa na uko pia liwe tiyali kumlipia fidia atakayotakiwa kulipa

    Mjadala wa feisal kwa hapa nchini umefungwa rasmi na kamati ya sheria na hadhi za wachezaji baada ya kutoa uamuzi wake kuwa ni mchezaji halali wa yanga kwa mujibu wa mkataba wake aliosaini akiwa na akili timamu, na kesho jumatatu watatoa ufafanuzi wa kisheria uliopelekea feisal abakishwe yanga...
  19. JamiiForums Tanzania Mke kwenda kujifungulia kijijini, huu ni uchawi

    Mjini ndiko kwenye huduma bora za afya halafu unataka mkeo akajifungulie kijijini ambako huko huduma za afya ni duni. Miundombinu sio rafiki, maji safi na salama hakuna. Unampeleka huko ili mtoto akizaliwa kitovu chake kichukuliwe na kuungamanishwa na mashetani. Huu ni ushetani daraja la...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali isizuie watu kwenda kufanya kazi Falme za Kiarabu bali itengeneze mazingira maalumu ya watu kuwa salama wawapo huko

    Kumekuwa na zuio la watanzania wanaopata chance kwenda kufanya kazi ugaibuni kuzuiwa kusafiri hasa hasa siku ya safari,licha ya kwamba mtu anakuwa na vielelezo na viambata vyote muhimu kwa madai kwamba wanaenda kufanyiwa vitendo vibaya,Yamkini wapo mabosi wanafanya hivyo la kini si wote ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…