kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hili la Former NBC Premier League MVP Bangala kwenda Azam FC tunamuomba Rais wa Yanga SC atuachie Yanga SC yetu

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoachia ngazi Yanga SC yetu tunamroga ili nae ahamie huko Azam FC au kwa Simba SC alikowauzia Bernard Morrison aliyetutia sana Hasara Yanga SC katika Kesi yake. Injinia Hersi Said tuachie Timu yetu.
  2. JamiiForums Tanzania JF wakosoaji sana

    JF Members mmefanya niende shule this year bila kupenda kisa matus yenu ya hapa. Ngoja niende nikaongeze elimu af nitarudi JF tena
  3. JamiiForums Tanzania Baba adaiwa kumuuza mtoto, asafirishwa kwenda Canada, mama abaki analia akizunguka kuomba msaada

    Katika hali ambayo inaweza kuacha maswali mengi na mtazamo tofauti, mtoto Yusuph Issa Juma mwenye umri wa miaka 8, Mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Istiqaama iliyopo Ilemela Jijini Mwanza amesafirishwa kwenda Nchini Canada bila ridhaa ya mama yake. Mtoto huyo ameondoka katika...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dili la Mahop kwenda Yanga lashindikana

    Dili la Mshambuliaji hatar wa kameruni EMMANUEL MAHOP kwenda Yanga limeshindikana baada ya Yanga kutoweza fika muafaka na mchezaji huyo, inadaiwa swala zima la mkwanja ndio limeifanya Yanga kushindwa kufikia jambo hili. Naona Yanga ikifunga goli below 40 next season maana hamna mshambuliaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Ikulu ya Kenya yakanusha kwenda kwa Rais Samia kama msuluhishi

    Inaelekea mama alienda kwa mishe zake binafsi. --- Baada ya kuwapo kwa taarifa ya Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu kwenda nchini Kenya hivi karibuni kwa ajili ya kusuluhisha mgogoro unaoendellea, Msemaji wa Serikali ameibuka na kukana suala hilo. Soma: Raila Odinga: Rais Samia alikuja...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dili la Mayele kwenda Pyramid lina asilimia kubwa ya kubuma, huenda akaungana na Feitoto Azam

    Kwa jinsi mambo yanavyokwenda inaonekana hao Pyramid hawana hata shida na Mayele kihivyo. Ni hivi za nyuma ya kapeti kutoka mitaa ya jangwani ni kwamba: 1. Mpaka sasa Pyramid bado hawajaingiza hata senti tano kwenye akaunti ya Yanga kwa ajili ya malipo ya kumnunua Mayele. 2. Yanga wamewapa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli alikuwa anapenda kwenda mara kwa mara Chato na kukaa huko kuliko Ikulu?

    Enzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu. Magufuli asingeweza kumaliza wiki 3 bila kukanyaga Chato tofauti na Marais wenzake. Kupenda kwake kwenda Chato ikasababisha tupate ikulu ndogo ya Chato. Chato...
  8. JamiiForums Tanzania Simba wameweka rekodi ya kipekee kwenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu wala Msaidizi

    Unaenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu, Msaidizi, na bado unatumia jezi ya msimu uliopita, hii ni record Simba wameweka. Inshort wameenda Pre Season bila ya kuwa na bench la ufundi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera Serikali ya Awamu ya 6! Hongera CCM! Hivi ndo mnavyopaswa kwenda

    Kwa muda mrefu sana, Maendeleo ya Tanzania yamekuwa yakirudishwa nyuma na mambo mbalimbali ikiwemo 1. Hujuma kutoka mataifa jirani 2. Hujuma za wafanyabiashara wakubwa 3. Ujinga wa Watanzania Kusema ukweli tangu nimeanza kupata akili nimesikia mipango mingi sana ya nchi yetu ambayo mwisho...
  11. JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha ukaamua kuondoka kwenu au kwa ndugu na kwenda kujitegemea?

    Katika maisha kila mtu ana stori yake kuhusu hatua aliyofikia au iliyofanya akaamua kuishia maisha yake. Mimi niliondoka nyumbani nikiwa na miaka 20 nikiwa namalizia Chuo. Na sababu ilikuwa tu kutaka kuwa huru na maisha yangu na kutofuatiliwa na wazazi kuhusu mambo yangu! Especially (Videmu...
  12. JamiiForums Tanzania Simiyu: Mwenyekiti wa Kitongoji ahukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kumbaka Msichana wa miaka 13

    Makama ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, imemhukumu kifungo cha kwenda jela miaka 30 Mambo John (30) mkulima na mkazi wa kijiji cha Isengwa kwa kosa la kubaka. John ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mwanginde ilidaiwa kuwa katika nyakati tofauti kati ya Mwezi January na May 2023 huko...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta msaada wa kupata mwongozo nipate Visa kwenda Canada

    Wadau ebu nisiongee sana naomba nisimame kama kichwa cha habari yangu nilivyoandika kwa atayekuwa na msaada au mawazo yoyote napokea
  14. JamiiForums Tanzania Congo DR ni sehemu ambayo hata shetani hujiuliza mara mbili kwenda

    Ama kweli tembea uone! Congo DR, ni sehemu ambayo maeneo mengi ili ufanikiwe kutoboa, ni lazima uwe umehitimu ubabe kwa zaidi ya alama 1000%. DR, ndilo eneo ambalo maovu, umafia na hata unyama hutendwa hadharani! Mfano, mgeni usafiripo kwa kupitia mpaka wa Kasumbalesa kwa roli kwenda...
  15. JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo amepewa Uwaziri ili kukamilisha mpango wa bandari kwa DP World?

    Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu. Pia soma > Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
  16. JamiiForums Tanzania Waganda ilipogundua Taifa lao lina mafuta walichukua vijana wao wakakimbizwa ughaibuni kwenda kujifunza kuhusu uzalishaji wa mafuta

    Uganda ilipogundua Taifa lao lina mafuta walichukua vijana wao wakakimbizwa ughaibuni kwenda kujifunza kuhusu uzalishaji wa mafuta. Hivi navyokwambia mradi wa mafuta wa Uganda unasimamiwa na vijana waliosomeshwa na Uganda. Cha ajabu mradi wa mafuta wa Uganda unaajiri hadi watanzania. Mradi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Afungwa miaka 3 Jela kwa kughushi nyaraka ili akawe 'House Girl' Dubai

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Hawa Mwangu (31), kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini Sh200,000 baada ya kukutwa na hatia ya kutoa taarifa za uongo katika ofisi ya Uhamiaji kwa lengo la kupata hati ya kusafiria kwenda Dubai kufanya kazi za ndani. Mahakama hiyo pia, imetoa...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwenda Pre-Season nje ya nchi kwa timu masikini?

    Tanzania hakuna timu tajiri, timu nyingi kama sio zote hazina misuli ya fedha za kusajili wachezaji wazuri sana na mabenchi ya ufundi class ya juu. Timu nyingi zinashindwa kuwalipa makocha na wachezaji signing fees zao na mishahara kwa wakati, wachezaji hawana bima na hazina viwanja vyao...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima tunaosafiri kwenda Mkoani Mara tupite Mkoani Mwanza? Hakuna Chocho lingine la kufika haraka?

    ONYO Ukijijua Wewe ni Mhaya, Mnyaturu, Muha, Mnyiramba, Mrangi, Mkerewe na Mnyamwezi tafadhali kaa mbali na huu Uzi kwani nina uhakika kwa Ushamba wenu mkubwa hakuna mnachokijua na wote huwa hamna Ratiba za Kusafiri kutokana na kutokuwa na Pesa kama tulizonazo Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma )...
  20. JamiiForums Tanzania Ni lini serikali itaweka Rami barabara ya Mlowo kwenda Kamsamba eneo lenye uchumi mzuri

    Ninaamini viongozi wengi mnapita humu Jamii Forums, naamini hata mbunge wa eneo hili la Mbozi anasoma humu. Nimepita barabara hii wiki iliyopita na kufanya utafiti na nikagundua kwamba barabara hii iko busy muda wote, ila haijatendewa haki, na sijasikia mbunge wa eneo hili akiizungumzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…