kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari 3 za kubeba kontena kwenda Zambia

    Habari Natafuta gari 3, trucks za kubeba 20ft container toka hapa dar es salaam mpaka Lusaka, Zambia. Kontena zipo ICD Nyerere Road. Payment : 50% advance payment after loading Mawasiliano 0692595127
  2. JamiiForums Tanzania Straika mpya wa Al Nassr, Jhon Duran atasafiri Kilomita 500 kila siku kwenda na kurudi mazoezini, kisa sheria hizi za Saudi Arabia kumbana

    Straika mpya wa Al Nassr, Mkolombia, Jhon Duran atalazimika kusafiri Kilomita 500 kila siku kwaajili ya kwenda na kurudi katika mazoezi yaa klabu yake hiyo mpya. Duran aliyesajiliwa kutokea Aston Villa, ataishi Bahrain na mpenzi wake kutokana na sheria za Saudi Arabia kukataza kuishi kinyumba...
  3. JamiiForums Tanzania USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

    Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria. Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili. JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge...
  4. JamiiForums Tanzania Uwepo wa VITA duniani ni ishara pekee kuwa binadamu ni kiumbe ambaye ana akili ndogo , unatoka kwako kwenda kupigana kwa ajili ya mwanasiasa fulani!

    Huwa nawaambia binadamu ndo kiumbe ambaye hakupewa akili Ila baadhi ya watu wanabisha. Ebu jiulize hao M23 wanapambania nini ? Au vita ya Russia ma Ukraine ilisababishwa na nini. Mtu unakubali kwenda kuuliwa na hao M23 kisa umetumwa na hawa wanasiasa Vilaza na wajinga ambao wanapambania...
  5. JamiiForums Tanzania Eti wana-NBA, Hii trade ya Luka Doncic kwenda Lakers ni kama sijaielewa elewa hivi. Imeshangaza wengi pia.

  6. JamiiForums Tanzania Serikali kwakuwa hamna ajira za kutupatia , basi tunaomba mtuwekee mazingira rahisi ya sisi kwenda nje

    Sio sababu maalumu ya kutuwekea ugumu hasa passport n.k Tuwekeeni urahisi wa sisi kutokana na kwenda kujaribu bahati zetu zetu Nje .
  7. J

    JamiiForums Tanzania Watu wengine wanakufa kwa kuona aibu ya kwenda kanisani kuombewa uponyaji wa ugonjwa

    Watu wengine wanakufa kwa kuona aibu ya kwenda kanisani kuombewa uponyaji wa ugonjwa Uponyaji ni nini Uponyaji ni tendo la kiimani la kupokea uzima katika roho au mwili kwa njia ya kuombewa, kuwekewa mikono au kulisikia neno sahihi la Yesu Kristo. Tendo hili la kiimani humletea muumini uzima...
  8. JamiiForums Tanzania Utamsikia mgeni anasema: "Yani mjomba, sisi wakati wa Nyerere tulikuwa tunatembea kwenda shule usawa wa Kariakoo hadi Kibaha. Nyie vijana namna gani."

  9. JamiiForums Tanzania Kubadili Usukani wa gari kutoka kushoto kwenda kulia

    Watu wa magari, naulizia kwe wenye uzoefu. Kuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side? Kama ndio garama zikoje? Na je baada ya kubadili hakuna tatizo lolote kwenye Gari husika...kwa maana...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Entourage ya Marais wa Africa kwenda Western Countries huwa ni ya "kufa mtu", Je entourage ya Marais waliofika hapa kwenye mkutano wa Nishati ikoje?

    Tumeona marais wa Kiafrika wakienda Ulaya/marekani wanakwenda na kundi kubwa la watu. Wanakwenda kutalii, kufanya shopping and the like.... wamepata nafasi ya kutalii. Je Mkutano unaoendela Dar, entourage zao zikoje? Wameambatana na watu wangapi, just by casual observation kwa mlio Dar? Au kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

    Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
  12. B

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mbweni kwenda Boko Magengeni imefungwa!

    Ndugu wadau, Ningependa wananchi wafahamu kuwa barabara muhimu inayotoka Mbweni Kijijini kupitia Malindi , masaiti hadi Boko Magengeni imefungwa ! Hii ni barabara muhimu sana hasa kwa wakazi wa Mbweni kijijini na wengineo wa njiani. Cha ajabu haieleweki kwa nini imefungwa ! Ikumbukwe kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Shinyanga kutafuta mke

    Wakuu, nimekuwa na wazo la kwenda Shinyanga kutafuta pisi moja ambayo nitatulia nayo tuanzishe familia. Unaweza kuniuliza why Shinyanga? Kipindi kile Haji Manara alipomuibua Rushayna, baada ya kugombana naye nakumbuka alisema alimuibua huko Shinyanga. Rushayna ni pisi kwa kweli, naikubali sana...
  14. JamiiForums Tanzania Ebu tazama ujenzi huu wa shimo la wastage. Jembaba kwa upana alafu refu zaidi mita 15 kwenda chini.

    https://youtube.com/shorts/uniqnNb37D8?si=tx3ZRU-dGCu6Bye_
  15. JamiiForums Tanzania Usiende ughaibuni kutafuta maisha

    Katika mapambano ya maisha muda mwingine watu tunakata tamaa, kukata tamaa huanzia ngazi ya mtu binafsi hapo utasikia nafsi inakwambia jiue😭😭😭, mtu huyo huyo anaweza kuikatia tamaa familia yake kwasababu haimsaidii wengi wao hujitenga na familia zao, Kisha anaikatia tamaa nchi yake kua...
  16. 4

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani kikuu Tanzania muda wowote

    Andiko langu litakua fupi sana, ni imani yangu hamjambo wana JF. Husika na somo tajwa hapo juu chama cha Chauma ndani ya siku chache kinaweza kwenda kuwa chama kikuu cha upinzani . Hii itaenda kuwa kama ACT ilivyokuzwa na CUF . Nahisi ujinga unaofanywa na kundi ALFA NA OMEGA ukiongozwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Pastor Tony: Kwenda mbinguni sio kipaumbele cha mkristo, Pesa ndio kipaumbele

    Anasema ndio maana kitabu kinachohusu watu kwenda mbinguni (ufunuo) kimewekwa mwisho kwa maana sio kipaumbele cha Mungu. Kipaumbele cha mcha Mungu ni Hela au Pesa. Anasema hata ukimuita popote atatetea hoja yake. 👇👇👇👇👇 https://vm.tiktok.com/ZMkHPdmAq/ My take. Miaka ya mwanzoni mwa tisini...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi kabla ya kwenda usaili wa WALIMU sekretarate ya Ajira mwaka 2025

    Mkuu Twende Wote Hapa😁 If you're preparing for a teaching interview, you're about to embark on an important journey that can shape your career. Whether you're new to teaching or an experienced educator, there are key elements that you need to understand. In this guide, we’ll walk you through...
  19. JamiiForums Tanzania Huduma ya utafsiri kutoka Kiswahili kwenda Kingereza/ Kingereza kwenda Kiswahili/ Top-Quality English to Swahili/ Swahili to English translation.

    Habari, Tunatoa huduma bora na za kitaalamu za kutafsiri maandishi kutoka Kingereza kwenda Kiswahili na Kiswahili kwenda Kingereza kwa usahihi na umakini wa hali ya juu. Huduma zetu huhusisha sifa zifuatazo: ✅ Tafsiri inayobeba maana halisi bila kupotosha. ✅ Matumizi ya Kingereza/Kiswahili...
  20. JamiiForums Tanzania Fursa ya kwenda kufundisha Marekani (kwa walimu tu)

    Maombi sasa yamefunguliwa kwa walimu wa Kitanzania kutuma maombi ya kushiriki katika mpango maarufu wa Fulbright Teacher Exchange wa mwaka 2026! Hii ni fursa ya kipekee ya kushirikiana na waelimishaji wa Marekani, kubadilishana mawazo bunifu, na kushirikiana mbinu bora za ufundishaji. Usikose...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…