kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Putin hatahutubia taifa kwenye mwisho wa mwaka

    Kuna tetesi nyingi sana jamaa anapitia hali mbaya hata ameshindwa jambo muhimu sana la kuhutubia taifa ambayo ni desturi yake kila mwisho wa mwaka... Vladimir Putin has pulled out of his "giant end of year press conference" this year, a Kremlin official has revealed, sparking rumours that he is...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Peter Msaki: Tuanze kuwaza tofauti juu ya dhana ya mkopo Kwanza tukubaliane Mkopo ni Maendeleo

    “Kuhusu hoja ya deni la Taifa Nafikiri kama watanzania tuanze kuwaza tofauti juu ya dhana ya mkopo Kwanza tukubaliane mkopo ni maendeleo sio Kwa sababu nyinginezo kama kusema hata nchi tajiri zinakopa bali ni ukweli ili ufanye maendeleo Kwa wakati na ukubwa wake lazima Uwe na fedha nyingi za...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania yavunja rekodi kuwa nchi ya kwanza kusimika Intaneti katika kilele kirefu zaidi cha mlima

    Siku ya jana katika maazimisho ya siku ya uhuru waziri wa habari na mawasiliano alifanikiwa kuzindua internet yenye kasi zaidi katika kilele cha Mlima kilimanjaro chenye urefu wa mita 5,895kutoka usawa wa bahari. Huduma hii ya internet ni sehemu ya kuifungua zaidi Tanzania katika Nyanja za...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Historia imeandikwa Rais Samia Mwenyekiti wa Kwanza mwanamke ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano anaweka rekodi ya kipekee katika historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 kumchagua kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa chama hicho tawala. Tangu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasisiwe mwaka 1977, hakijawahi kuongozwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Washindi wa wiki ya kwanza katika kampeni ya kila mechi ina mshindi

    Kampuni ya TECNO bado ina endelea na Kampeni yake ya kila mechi ina mshindi katika msimu huu wa kombe la dunia ambapo ili kushiriki unachotakiwa kufanya ni kupost picha ya mtu umpendae na ujumbe mzuri wa upendo kisha kuutuma kwa kutumia Hashtag #SambazaFuraha na kuTag account ya Kampuni kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Fascist trends katika dunia ya kwanza, USA na Germany mifano hai

    Demokrasia ni mtindo wa kiutawala ulioasisiwa na Warumi ambapo uwakilishi wa wananchi na uongozi huamuliwa kwa kura za wananchi wenyewe. Na demokrasia ilianzishwa hata kabla ya Kristo(BC), lakini hii demokrasia ya kisasa haina hata miaka 200 kwa nchi zilizoendelea. Ukweli ni kwamba nchi...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania- Sehemu ya Kwanza (Utangulizi)

    Ili niweze kugusia kila eneo, basi makala hii itakuwa na sehemu angalau tatu ambazo ni Utangulizi, Sera, Sheria na Kanuni zinazoongoza sekta hii, na sehemu ya mwisho fursa zilizopo. Kwa kuanza, naweza kuiweka Gesi ya Tanzania kwenye makundi makuu mawili. Kundi la kwanza ni ile ambayo ugunduzi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Chombo cha anga za juu cha Shenzhou 14 cha China chaleta mbegu za mpunga zilizopatikana katika obiti kwa mara ya kwanza duniani

    Kundi la tatu la sampuli za majaribio ya sayansi ya anga za juu, ambalo lilirudishwa na chombo cha anga za juu cha Shenzhou 14 cha China, lilirejeshwa Beijing alfajiri ya tarehe 5. Sampuli zilizorejeshwa ni pamoja na vifurushi vitatu vya baridi vya sampuli za kibaiolojia na mfuko mmoja wa...
  9. JamiiForums Tanzania Gari yangu ya kwanza nimenunua, Nissan Dualis

    Habari wana JF, Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu nimenunua na kumiliki gari yangu ya kwanza nissan dualis, kusema ukweli sijui vitu vingu kuhusu magari nafahamu vitu vichache sana. Naombeni msaada jinsi ya kuitunza hii gari angalau idumu napokea maoni na ushauri jamani, gari nimeipokea...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu, raha kwa mwanaume huwaga ipo kwenye kojo la kwanza na la pili tu

    Kwa uzoefu wangu, kojo la kwanza na la pili ndo huwaga 💥, hayo mengne huko mbeleni ni kujitutumua tu ili umridhishe mwanamke. Nakumbuka kuna siku nipo natafta kojo la nne, mashine imesimama napump tuu lkn sisikii chochote dadek naskia tu km vile mashine inatk kuchomoka. Funzo: Madem mridhike...
  11. JamiiForums Tanzania Urusi inataka kufukuzia vijana wengine mitaani baada ya kundi la kwanza kubuma - mobilization

    Warusi wanaendelea kutumika kama vipande vya nyama za kutumbukizwa kwenye "meat grinder", makundi baada ya makundi wanapelekwa na kufyekwa Ukraine, sasa habari zimeanza kujitokeza kuwa Urusi inataka kurudi mitaani kufukuzia vijana wengine wapelekwe wakafie Ukraine. =============== An advisor to...
  12. JamiiForums Tanzania Laliga yaipongeza Yanga kuwa timu ya kwanza Kusini mwa Jangwa la Sahara kucheza mechi 49 bila kufungwa

    Laliga wanawapongeza Yanga kuwa kucheza mechi 49 bila kupoteza. Page ya Laliga yenye followers million 44 inawapongeza Yanga kwa kuweka record mpya Africa Mashariki na Kati, Africa na Dunia kwa ujumla! Hongera Yanga!
  13. JamiiForums Tanzania Malawi yaanza kutoa chanjo ya kwanza ya Malaria

    Malawi imeanza kampeni kubwa ya chanjo ya watoto wachanga dhidi ya Malaria ambayo ni kampeni ya kwanza kabisa duniani, mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Dk Neema Kimambo amesema. Chanjo ya RTS,S, kama inavyojulikana, imekuwa katika majaribio nchini Malawi, Ghana na Kenya katika...
  14. JamiiForums Tanzania Katika ukoo wetu mimi ndiye wa kwanza kuwa mwajiriwa wa serikali, jifunze kitu hapa

    Kulikuwa na minong'ono kuwa ndugu yetu mkubwa ni mchawi na ana roho ya wivu. Mafanikio anataka yawepo ndani kwake tu. Wengine walikuwa mpaka wanakuwa wa kwanza kiwilaya katika mitihani ya dhihaki (mock) darasa la saba. Ikifika mitihani ya taifa wenzake aliyowaburuza darasani wanapangiwa Mzumbe...
  15. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Afrika kwa Mara ya Kwanza Makocha wote Wazawa

  16. L

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yafanyika mjini Xiamen

    Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yalifanyika jana mjini Xiamen, na kuvutia zaidi ya wanafunzi 1,000 wa shule za msingi na sekondari kutoka kila sehemu ya jiji hilo kushiriki. Mashindano hayo limegawanywa katika vikundi vitatu vikiwemo vya watoto, shule za msingi na shule za...
  17. JamiiForums Tanzania Huwa kuna haja ya kuendeleza mahusiano ya one night stand ??

    Binafsi haya mahusiano nayachukulia zaidi kama hitaji la kupooza tamaa za mwili tu, usiku mpeane company, mpigane mitutu, asubuhi muagane kila mtu aendelee na life lake Nashangaa kuna watu wanayaendelesaga hata mahusiano
  18. JamiiForums Tanzania Namlaumu Rais wa awamu ya kwanza

    Habari, Kwangu mwalimu Nyerere namlaumu na nitaendelea kumlaumu kabisa yeye ndio chanzo cha haya yote yanayotea hapa Tanzania. Ilikuwaje kama yeye Rais baada ya uhuru asingeibadilisha katiba? Na bado akaendelea kutumia katiba ile ile? Hapa nahisi huyu Rais ni wa mchongo kwa maana aliwekwa na...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Nashauri wasomi waache kuongoza, nchi wapewe watu kama Musukuma au Lusinde tusonge mbele

    Hawa wa kukariri vitabu wanatuchelewesha tu, kikubwa wanachokifanya ni kutuonyesha umaridadi wao wa kukariri vitabu tu basi. Leo anakuja na maneno yake aliyoyatoa kwa Marx, kesho anakuja nayo ya Mao, kesho kutwa ya Nyerere, mtondogoo ya Trump, maisha yanaenda hivyo tu bila utendaji, hakuna cha...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Serikali sasa kupata 75% ya mapato ghafi ya mafuta na gesi

    25 November 2022 January Makamba - Kitalu cha gesi Ruvuma Mtwara, serikali kuvuna 75% ya mapato ghafi Video courtesy of Millard ayo Hayo yamebainisha na waziri wa nishati Mh. January Makamba kufuatia mkataba huo wa kihistoria serikali. Waziri January Makamba anabainisha kuwa huko nyuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…