Bank gani kila mara changamoto?
Leo NMB mobile siku nzima hakuna mtandao. Na si mara ya kwanza. Mimi binafsi ninechoka, nitahamisha mshahara wangu bank inayojielewa, maafisa utumisha watake wasitake.
Haiwezekani hii bank iwe na inconvenience kila mara. Huduma kwanza hovyoo. Back to NBC. Very...