1. Kabla ya kuoa mwanamke, mjue vizuri mama yake.
Mabinti huchukua tabia za mama zao
2. Oa mwanamke atakaye kuheshimu hata kama ana hasara au umemkosea
3. Usipende kutamka neno 'nakupenda' au 'I love you' Aidha Kwa mkeo au wanao usipende kusema love you
Wanaume halisi tunaonyesha upendo Kwa...
Nataka nipate uzoefu kama kuna kitu kimekosa,
mimi nina
Perfume
Nail cutter
Lotion
Body spray
Lip gloss
Aftershave
Tweezers
bila kusahau mafuta ya nywele
So what am I missing here?
Habari zenu wanaume wa humu ndani. Natumaini hamjambo kabisa. Leo nakuja na Uzi huu maalumu kwa akili yenu. Kuna watu watanielewa, watanidharau, watanipinga na wengine wataguswa.
Twende kwenye mada. Ukiachana na kubeba shingo upara katikati ya miguu yetu ila kuna tabia hizi hapa ambazo lazima...
Wakuu.
Tupeane dress code za beach leo. Kwa wanaume na wanawake. Na wapi unaweza pata izo dress.
Kuna wakina sisi kila sehemu tunavaa jezi ya Arsenal, angalau tuweze shine mara moja moja.
Pamoja.
PS: Tupo jukwaa la Lifestyle, nisikaripiwe.
1. Haijalishi mkeo anafanya kazi na anapata pesa au hafanyi kazi, jukumu kumtunza yeye na familia yako ni lako wewe mwanaume.
2. Kifo sio kitu ambacho mwanaume anatakiwa kukiogopa, mwanaume anatakiwa kuogopa umasikini ambao utamfanya adharirike na familia yake kuishi kwa shida.
3. Kama...
Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.
Shea dili lolote unalofanya ambalo na sisi tunaweza kufanya tukapata pesa.
Comment yako itasaidia wanaume wengine wanaojitafuta.
Mimi ni dalali wa viwanja. Nanunua kiwanja kwa bei ndogo, nakiweka sokoni kwa bei mara mbili. au...
TUKIACHANA NA Tabia ya mwanamke mmoja mmoja ni wanawake wa kabila gani ni wachapakazi, wanajua mchezo mtamu vizuri, wanajua ku care, alafu watulivu wakikupenda kweli?
Jibu direct usilete ungese🚫😎✌️😎
Mamlaka ya chakula na dawa nchini marekani ilipitisha njia mbalimbali zaidi ya 20 za uzazi wa mpango. Njia mbili tu zimethibitishwa kwa wanaume kuweza kuzuia mimba kwa wapenzi wao nazo ni kondomu na kufunga kizazi(vasectomies).
Asilimia 25% ya wanawake wanatumia njia ya kutumia vidonge kupanga...
Kama kichwa cha habari kinavyosema nilikua mraibu wa punyeto kupita kiasi takribani robo tatu 3/4 ya umri wangu na maisha yangu..
Nilianza uraibu wa punyeto baada ya kubalehe tuu na niliijua kupitia kwa kiongozi wa dini ambaye mpaka leo na muona kuwa ni shetani. yeye ndiye aliyenifunza kupiga...
Swali, hivi ile issue ya kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana hasubuhi alafu unajamba pyeeee inatokana na nini,?
Unaweza ukaona utani ila ukiwa kwenye nyumba za kupanga ni nouma yaani shwaaaa pyeeee😂😂😂😂
Unapata fezeha atari 🤩 yaaani pyeeee
Tunaomba Ushauri jinsi ya kuzuia
Ni vyakula gaini haswa ni vizuri kwa afya ya uzazi wa kiume?
Ulipo ona unawahi ku mwaga wazungu ulifanya ni nini kurekebisha na kupona ili tatizo?
Mwisho ni kweli kama umeweza kumfikisha mwanamke flani kileleni orgasm je utaweza kwa kila mwanamke?
Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:-
i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi;
ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na
iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume.
Utangulizi:
Nilihamasika kuanzisha...
dume
hii
kati
kiume
kuendelea
kuongezeka
kwawanaume
mada
miaka
miaka 50
nguvu
nguvu za kiume
tezi dume
uhusiano
ukosefu
umri
wanaume
wenye
wenye umri
za kiume
zaidi ya
Kwa ambao hamjazoea Lugha Kali. Niwasihi muishie hapahapa! Kwani nitaitumia ili kugusa hisia na mioyo iliyolala. So kama Una tatizo na lugha Kali, au unaadabu Sana, au unakiapo cha kutosoma, kusikiliza au kuona lugha Kali basi ishia hapahapa. Kuendelea kusoma haitahesabika hatia kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.