kuzuia

Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, or simply KMKM SC is a football club from Zanzibar based in Unguja.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 John Mrema: Hakuna kikao kilichopitisha suala la kuzuia uchaguzi

    Na John Mrema kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X KWA HESHIMA NIMEJIBU ANDIKO LA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA DR. RUGEMELEZA NSHALA, GROUP LA MASWALI MAGUMU Mwanasheria Mkuu wa Chama, salaam. Nimesoma maoni yako ambayo yamejaa uchungu na maumivu ,lawama na kejeli . Umesema kuwa uongozi mpya...
  2. A

    Kupoka ugombea Uraisi Kwa njia isiyo ya Ki-Demokrasia na Sasa kutumia Vyombo vya Dola kuzuia wapinzani wa Kweli ni Dalili za Ushindi au Kushindwa.

    Kuna mgombea mmoja ambaye amejipa uteuzi katika chama , Kwa kutumia Madaraka yake na kikundi cha wastaafu na sasa anatumia vyombo vya dola , ili kuwazima wapinzani wake , licha ya kutumia Madaraka yake na fedha za umma kujikweza na kujipamba ni dalili kwamba anaweza hivyo tumpe nafasi au ni...
  3. PreGE2025 Kinachojiri kuelekea Kesi ya Lissu leo Aprili 24, 2025

    Wakuu, Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025. Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake...
  4. A

    Watu wafuatao wameshiriki kuiuwa CHADEMA kwa mikono yao kwa makusudi mazima na wanastahili kulaumiwa

    Kundi au watu wafuatao wameshiriki kuiuwa CHADEMA kwa mikono yao kwa makusudi mazima na wanastahili kulaumiwa sana 1.Wajumbe wa mkutano mkuu 2.Lissu 3.Lema 4.Heche 5.Wanaharakati uchwara 6.Dr Slaa Ndani ya mioyo yao ni kuuwa chama.
  5. Kifaa Cha kuzuia Utekaji

  6. Kwa kuwa msimamo wa mkutano mkuu wa chadema ni KUZUIA uchaguzi usifanyike, kwa nini Mnyika amekiuka kwa KUSUSIA uchaguzi kwa kutosaini maadili?

    Bado msimamo wa chama unawachanganya CHADEMA Uongozi unasema watazuia uchaguzi. Kusaini maadili ni sehemu ya uchaguzi. Nlitarajia Mnyika aende pale akazuie kipengele hiki cha uchaguzi. Hajafanya hivyo, sasa wanataka kuuzuia katika hatua gani? Alichofanya leo Mnyika ni kususia. Amefanya hivyo...
  7. Mtu mmoja mwenye tamaa za tumbo anapoamua kuzuia haki za walio wengi kushiriki haki ya kuchagua!

    Dikteta ucharwa msimamo wake wa kutaka kuzuia uchaguzi unapelekea kuwanyima haki au kuzia haki ya wapenda haki katika kushiriki katika zoezi zima la uchaguzi dikteta uchwara..ameweka msimamo huo kwa kuwatisha wasaidizi wake wote hata mteule wake katibu mkuu mnyika ametishwa jana asishiriki kikao...
  8. R

    Ni kipi rahisi, kuombea uchaguzi au kuzuia mifumo ovu ya wizi wa kura?

    Hello! Yaani tunao uzoefu, watu kabisa wanatia kura fake ndani ya masanduku ya kura na wanaonekana wazi wazi, sasa hawa ndio wanaoharibu uchaguzi wa haki. Sasa wanapita wanasiasa wakitwambia tuombee uchaguzi uwe wa amani. Sasa ni amani ipi wanaiongelea? 1. Je ni amani ya kuiba kura bila...
  9. Q

    Uwezekano wa kuzuia Uchaguzi kwa Maandamano siku ya Uchaguzi.

    1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500. 2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000 3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000. 4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000. 5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375...
  10. PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike. Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
  11. PreGE2025 Sote tunapenda mabadiliko, lakini twende mbele turudu nyuma, Kwa Tanzania Kuzuia uchaguzi Haiwezekani

    Tunapenda mabadiliko lakini hoja ya kuzuia uchaguzi nchi nzima aisee haitekelezeki! Ingekua Kenya sawa, ila Tanzania hii vijana wengi Vilaz* tu hakuna kitu kitatokea Najaribu kufikiria uchaguzi utazuiwaje? Tutazuia mabox ya kura yasiingie? Tutazuia mtu asipige kura? Tutachana ballot paper...
  12. John Mrema kwa Lissu: kama hatuingii katika uchaguzi kuzuia watu wasife, je watu hao wakitumika kuzuia uchaguzi maafa si yatakuwa makubwa zaidi?

    Hili swali la kiufundi sana. Kwamba tunazuia uchaguzi kwa kuwa huko watu wanakufa, hatutaki waendelee kufa. Lakini tunataka kuwatumia watu hao hao kupambana na majeshi ya nchi kuzuia uchaguzi. Hiyo ni akili au matope? Obvious watadhurika watu wengi.
  13. B

    PreGE2025 Kishoa: Hakuna mtu wa kuweza kuzuia uchaguzi, uchaguzi utakuwepo

    Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi...
  14. W

    PreGE2025 Selasini: Kuzuia uchaguzi usifanyike ni 'ndoto za mchana'

    Chama cha NCCR Mageuzi kimeeleza kuwa hakitasusia uchaguzi Mkuu wa baadae mwaka huu, wakieleza wazi pia mpango wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kutaka kuzuia uchaguzi ni suala ambalo haliwezekani. Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Joseph Selasini amekiri kusema kuwa kuzuia...
  15. W

    PreGE2025 Lissu: Tutazuia uchaguzi kwa njia mbalimbali ikiwemo maandamano kama hakutokuwa na mabadiliko

    Lissu amesema watatumia njia mbalimbali kuzuia uchaguzi, ameeleza pia no reform no election maana yake siyo kususia uchaguzi. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  16. B

    PreGE2025 Mbinu za kuzuia uchaguzi ili NO REFORMS NO ELECTION ianze kueleweka haraka kwa watawala

    Bado ccm na serikali Ina haha ni kwa namna Gani CHADEMA inaenda kudhibiti uchaguzi mkuu ingali vyombo vya ulinzi viko kwake pasipo watu. CHADEMA yenyewe Ina watu ndio maana hamasa imekuwa kubwa sana kuitikia hii kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION. Nasisitiza viongozi wa CHADEMA kuungana kwa...
  17. Ni ipi sababu ya mayai kuvunjika wakati yanachemshwa. Na je ni njia ipi niitumie ili kuzuia yasivunjike?

    Kila ninapochemsha mayai 10 at least mawili au matatu huwa nakuta yamevunjika na yameingia maji. Wataalam naomba mnijuze sababu ni ipi inayofanya yavunjike na pia nitumie mbinu ipi ili kuepuka yasivunjike. Nawasili
  18. PreGE2025 CHADEMA kama mchakato unaoendelea wa kujiandikisha mmeshindwa kuuzuia, mtawezaje kuzuia Uchaguzi unaosimamiwa na Polisi?

    Wakuu, Binafsi naamini kabisa mfumo wa Uchaguzi wa kwenye nchi hii unapaswa kubadilishwa lakini itumike akili na busara kufanya hivyo. Mara nyingi tumeona Tundu Lissu na CHADEMA wakisema kuwa bila mabadiliko sio kwamba CHADEMA watasusia Uchaguzi bali ni kwamba UCHAGUZI HAUTAFANYIKA. Sasa...
  19. Rwanda wameweza kuzuia makanisa kuenea kama uyoga

    Naipongeza Serikali ya Rwanda kuona mbali na kuweka utaratibu mzuri wa makanisa, Misikiti na taasisi za dini Rwanda imefungia zaidi ya makanisa 600, Kabla walipiga marufuku matumizi ya azana Kwa Misikiti kuwa unaleta usumbufu Kwa wasio kuwa wa Imani hiyo na kuweka ustaarabu wa kuitana Kwa...
  20. W

    PreGE2025 Makalla: Lissu na wenzake hawana ubavu wa kuzuia uchaguzi

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Akizungumza siku ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…