Mahakama ya Wilaya ya Mkinga, Mkoani Tanga imemuhukumu Waziri Iddi Kasimu (35), mkazi wa kijiji cha Mavovo, kata ya Bwiti, Wilaya ya Mkinga, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kuzini na mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 9.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu...