kuzaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana Usithubutu kuzaa nje ya Ndoa! Tafadhari sana! Uliza wakongwe

    Tafadhari tafadhari sana. Mtoto wa nje ya ndoa ni shida sanaaa! Hii hesabu haijawahi kukaa vizuri. Mimi ni muhanga
  2. D

    JamiiForums Tanzania Je mwanamke mtu mzima mwenye changamoto ya hormone imbalance anaweza kuzaa??

    Ni mwanamke mtu mzima 43 years. Alipata miscarriage 3. Akawa hapati tena ujauzito. Sasa amepata tena ila dalili sio njema. Kuna vipunje vya damu ameviona akijisaidia kama mara mbili. Gino anasema yupo sawa mimba bado ipo akampa madawa ya kunywa ya kubalansi homoni. Lakini mimi nina mashaka...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ya mabinti wa siku hizi kuzaa mapema ni nini?

    Salama. Jamani sasa hivi kwenye miji iliyochangamka mabinti kujitunza imekua uongo kabisa . U can't imagine mabinti wadogo mtoto ana mzaa mtoto ,watoto wadogo wa kike wanakunywa pombe kali ni kama akili imestuck ,wanavuta Sitara na shisha sasa najiuliza ! Mtoto anamleaje ? Will she be a good...
  4. JamiiForums Tanzania Umezaliwa Dodoma ukakulia na kusomea Dodoma unaoa ama kuolewa upo Dodoma na kuzaa watoto ukiwa hapohapo. Wagogo mmerogwa?

    Wagogo pamoja na kwamba ni watani zetu ila huu sio utani acheni ufala bana Tz kubwa hii. Mmerundikana kama uyoga fala sana. Halafu mizaramo ndo haishauriki kabisa imetembea sana mwisho morogoro wa kwa waluguru yaani ni chupa na mfuniko. Haya makabila ilitakiwa liwe koloni la wasukuma...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuzaa na mwanamke nje ya ndoa

    Mimi ni kijana , 25 yrs old . Unmarried Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kwa mabro na kwenye forums za kijamii kuwa kati ya makosa makubwa unaweza kuyafanya kama mwanaume ni kuzaa na mwanamke ambaye huna mpango wa kumuoa, yaani kufanya coparenting. Iwapo nina kipato kinachoniwezesha kutoa mahitaji...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mwanamke ambaye anataka kuzaa mtoto, lakini atamtunza yeye mwenyewe

    Huu ni ujumbe kwa mwanamke ambae kapimwa ni mzima lakini hashiki mimba,pengine mwanaume wake ana dosari basi aje mimi ntamsaidia,kwa masharti yafuatayo: 1.sihitaji malipo 2.baada ya kushika mimba hatutakuwa na uhusiano wa kingono 3.tutapimwa magonjwa ya yote ya zinaa 4.ukubali kuwa age yangu ni...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu mpaka mdogo wako anakutangulia kuzaa? Ni dharau

    Yaani mdogo wako anakutangulia kuzaa aisee ni dharau sana Wazee kuna mjinga mmoja hapa mtaani mdogo wake ana watoto wa 3, yeye hana hata mmoja aisee halafu kampita mdogo wake kwa miaka 5 Huu ni ujinga
  8. JamiiForums Tanzania Je, Novena ya Mtakatifu Nyerere kuliombea taifa la Tanzania inaweza kuzaa matunda?

    Sijajua mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu umefikia wapi ila nakumbuka moja ya kitu ambacho Kanisa Katoliki inafanya na kuchunguza kabla haijamtangaza mtu kuwa Mtakatifu ni uchunguzi wa matendo yake alipokuwa hai pamoja na miujiza iliyotokea wakati wa uhai wake na baada ya kifo. Wengi...
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto

    Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto. Sifa zake Dini yoyote. Umri 25-35 Kabila lolote Rangi mweupe Elimu at least secondary education. Kazi yoyote descent Awe anaishi DSM Awe tayari kupima afya Sifa zangu Umri 41 Rangi black Elimu postgraduate degree Napatikana Dar Kazi kibarua kwa...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna ambae ana uzoefu wa kuzaa na mke wa mtu humu?

    Jamani wakubwa zangu shikamooni. Mdogo wenu nimeyakanyaga, kuna mwanamke ni mke wa mtu tena wa ndoa kabisa. Katika kuendekeza ngono zembe nimejikuta nimempiga mimba. Cha kushangaza yeye anaonekana hana hata wasiwasi,nimemuambia tuichomoe kakataa. Wakuu,hii kesi naimaliza vipi?
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka kuzaa watoto wazuri, lazima uolewe na mwanaume mzuri

    Hapo vip! Huyu dada ameongeo ukweli kabisa ila anapingwa na wanaume wenye rangi ya shetani na wanawake waliolewa na majitu mabaya.Huo ndio ukweli penda usipende. Waafrika huwa wanautamaduni wa kupingana na kupiga vita vitu vizuri huku moyoni wakitaka vitu hivyo hivyo vizuri..ndio maana ni...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke amekubali kuolewa halafu hataki kuzaa

    Wajomba kuna uncle wangu ameowa huku ukanda wa pwani ni mwaka wa nne now hukuna mtoto. Mwanamke hataki kushika mimba wala kuzaa naye mjomba anasema bado time. Afu kibaya kuna location kapin Mme kufika Pesa ipo ameikuta na zingine wamepata wotee. Sasa shidah ake itakuwa nn wakuu. behind the...
  13. JamiiForums Tanzania Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

    Kuna mjadala nimeuona Twitter watu wameulizwa hili swali na limekosa majibu ya maana kabisa!
  14. JamiiForums Tanzania Mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa mtoto wakati unajua wewe ni fukara, maskini choka mbaya, hohe-hahe?

    Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth. Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty. Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani...
  15. JamiiForums Tanzania Masikini iwe marufuku kuzaa ili tupunguze omba omba na watoto wa mtaani ''Mtaa hauzai''

    Una kuta mtu hana hata nyumba lakini tayari ana watoto zaidi ya watano na kila mtoto ana mama yake. Ukimfuatilia huyo mtu hana kazi, kula yake tu matatni. Ifike mahali serikali iweke zuio kwa hawa watu, tutapunguza idadi ya watoto wa mtaani ''Mtaa hauzaii''
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuzaa nae

    Wasifu wangu: -miaka ni 28 yrs -Elimu ni college -kazi ni mwajiriwa (sector binafsi) -Dini ni mkiristo Wasifu wa nimtakaye - atoke Kanda ya ziwa -elimu mwisho secondary -dini awe mkiristo OFfer hii itakua halali kuanzia Sasa mpaka mwezi December 2025
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazolipa wananchi kuzaa watoto

    Serikali ya China hivi karibuni ilizindua mpango mpya wa kutoa malipo ya kifedha kwa familia zinazojifungua watoto, ikiwa ni jitihada za kupambana na kupungua kwa kasi kwa viwango vya uzazi. Kupitia mpango huo, familia zitapokea takribani dola 500 kwa kila mtoto mwenye umri chini ya miaka...
  18. JamiiForums Tanzania Kuzaa, Kuongezeka, Kutiisha na Kutawala

    Mkuu: Bado hujachelewa TUBU leo TUBU kesho TUBU wiki nzima kisha utaanza kuzaa, utaanza kuongezeka, utaanza kutiisha na utaanza kutawala. Nalala hivi Exsultate, Jubilate!
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuzaa ni hitaji la msingi katika ndoa?

    Wengi tunakimbilia kuzaa tukiamini huko mbeleni, watoto tunaowazaa watakuja kutusaidia. Hii inatokana na kutokuwepo kwa kambi za wazee katika huu ukanda wetu, inayopelekea ufikapo uzeeni kukosa mtu wa kukusaidia pale utakapohitaji msaada. Tumekuwa tukiwazaa watoto, na kuwagharamia kila kitu...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mama ana uchungu wa kuzaa mwaka huu. (2025-1964=61)!

    Salaam, Shalom! Naongea lugha ya kiroho. Wanaume wote wana tumbo la uzazi kama ilivyo kwa wanawake na ndani yao kuna watoto wa kiume na kike, mfumo wa uzazi wa Mwanaume umetunzwa ndani ya mwanamke, amekaimishwa kutunza na kuzaa kiumbe. Anyway tuendelee... Tanzania ni kiumbe, kina macho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…