kuyajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mchawi wa kwanza wa matatizo ya gari lako ni wewe mwenyewe, ni kitu gani huwa unakitatua mwenyewe au kumpa fundi maelekezo asilete ujuaji

    Kwenye oili ya usukani huwa nipo strict sana kuiweka mwenyewe, na nikipeleka kwa fundi huwa nampa maelekezo asiweke oili ya gearbox kama walivyozoea. Air filter – hii huwa naibadilisha mwenyewe au nikiwa kwa fundi namsisitiza aweke original, si zile za bei rahisi zinazoziba haraka. Engine oil...
  2. Natafuta Ajira

    Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa single mother

    Kwenye sheria hazitumiki hisia, kinachoangaliwa ni kile kilichoandikwa kwenye vitabu. Hivyo maamuzi yoyote utakayofanya hata kama ni kwa nia nzuri lazima ujue kuna consequences zake. Kumbuka kwenye sheria hauwezi kujitetea kwa kusema "nilikua sijui" Yafuatayo ni mambo ya muhimu kuyajua...
  3. M

    Kwaheri Windows 10, The end is 14 October 2025, haya ndio mambo muhimu unayopaswa kuyajua na hatua za kuchukua

    A. Hakutakuwa na updates za Usalama (Security updates) – Virusi vipya na mbinu mpya za mashambulizi zitaweza kupenya kwenye mfumo wa Windows 10, ingawa antivirus kama windows defender itaendelea kupokea updates, Windows 10 kama mfumo endeshi haitaendelea kupokea updates rasmi zinazoweka viraka...
  4. Chizi Maarifa

    Polepole tuache. Inatosha unazidi kutuchimba kwenye kidonda. Hatutaki kuyajua hayo tuwache

    Speech yako ya mwisho haijaisha unaleta nyingine? Unawabandika, bandua we unatumia Mkongo? Bado tunajitahidi kusema wewe Muongo na kukuzushia hatujamaliza unaleta tena drones nyingine kutaka lipua vinu vyetu vya Nyuklia? Waache watanzania kwa sasa wanapokea tshirt na khanga wanapokea 5,000...
  5. Mangi Meno

    Tafakuri ya swallat adhuhuri: Naomba Mnisaidie kuyajua Majina ya watoto wa Adam kutoka kwenye quran

    Jioni hii wakati natafakari na kuiskma quran kuna kitu kimenichanganya kidogo na kunipa ukakasi ndio maana nimekuja mbele yenu mnapenda majibu. Vifungu vingi vinasema kuhusi uumbaji mzuri wa Allah kwa namna alivyomuumba Adam mfano: 1. (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika, “Hakika Mimi...
  6. ERTUGRUL BEY

    Mambo sita muhimu unayopaswa kuyajua

    Mosi,wanaanza kukumiss pale wanapokosa mtu mbadala wa kuchukua nafasi yako pili, hauwezi kuwa imara siku zote,kuna siku huwa na uzuni na upweke pia,kwahiyo usiogope kulia,lia na utoe huzuni moyoni mwako Tatu,hakuna mtu ambaye yupo bize kwa mtu ampendae,itategemea umewekwa namba ngapi kwa...
  7. Magical power

    Mambo 5 Muhimu Ya Kuyajua Unapoingia Kwenye Mahusiano!

    Mambo 5 Muhimu Ya Kuyajua Unapoingia Kwenye Mahusiano! (1) Sio kazi ya Mwanaume kukuhudumia hivyo acha kabisa kumuambia matatizo yako mwanaume ambaye ndiyo unakutana naye. kama akikusaidia sawa, asipokusaidia basi vumilia, msome taratibu, angalia mambo mengine katika mahusiano na si kuhusu...
  8. Nehemia Kilave

    Nadhani kabla ya kuwalaumu NHIF ni bora kuyajua na kujiuliza haya

    Habari JF , binafsi ni mnufaika wa mfuko wa Taifa wa bima NHIF niseme sijawahi jilaumu kwa kujiunga humu kulingana na michango na huduma nazo zipata . Tumesikia mengi sana kuhusu NHIF na inawezekana kabisa kukawa na ubadhilifu kutoka kwa watumishi wa NHIF . Tumesikia bila ushahidi kuwa Serikali...
  9. king of cool

    SoC04 Mambo 15 ya msingi sana kuyajua ili uishi na wenzio vizuri

    MAMBO 15 YA MSINGI SANA KUYAJUA ILI UISHI NA WENZIO VIZURI Thread 🧵 👏 1. Epuka hasira za hovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo). 2. Usiwatendee wengine ubaya ukadhani kuwa utakuwa salama (ubaya ulipwa kwa ubaya...
  10. Empty container for sale

    Haya mambo ikiwa umetokea familia masikini hauwezi kuyajua.

    Katika MAISHA ikiwa umetokea familia masikini unaweza kuwa na haya mawazo au fikra hizi. Pesa au mali za urithi zinaweza kukufanya na wewe kuwa na mali. Ni rahisi Sana kuzaliwa ukiwa mtoto wa kishua Ila kuwafanya watoto wako na wajukuu zako kuwa wakishua. Inakuhitaji Kuwa na maono katika...
  11. K

    Siasa za mtandaoni na mtaani ni tofauti!

    Kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia juujuu bila kufungua mlango wa sita wa fahamu kuyafahamu zaidi, unaweza kuhisi ndivyo yalivyo. Moja ya mambo hayo ni siasa zetu huku mitandaoni na mitaani. Kwa mara ya kwanza kama hujawahi kabisa kufuatilia siasa na ukaanza kuzifuatilia mitandaoni, utagundua...
  12. J

    SoC02 Mambo 10 muhimu ya kuyajua ili uweze kuajirika ama kujiajiri mapema

    ZINGATIA HAYA KIJANA ILI UWEZE KUAJIRIKA AMA KUJIAJIRI MAPEMA Wimbi la ukosefu wa Ajira ni kubwa duniani kote sio tu Tanzania. Ni tatizo linalohotaji suluhisho la kimkakati ili kulipunguza kama sio kuliondoa kabisa. Wasomi kwa sasa ni wengi na kila mwaka wanaohitimu vyuo kwa ngazi mbalimbali ni...
  13. Hamayser hamisi

    Mambo 5 ya kuyajua kwenye mapenzi pindi yanapobadilika usipate athari kubwa

    Hukizunguzia mapenzi hakuna yaliyomuacha kila mtu yamemgusa kwa namna moja au nyingine. hapa chini nmeandika mambo 5 ambayo unatakiwa kuyajua ili uhepukane na athali kubwa za mapenzi. 1) MWAMINI MWENYEZI MUNGU Ukimuamini mwenyezi mungu utakuwa mtu wa subla, na subla...
  14. Miss Zomboko

    Mambo muhimu anayotakiwa kuyajua Mtoto pindi anapofikisha miaka 10

    Mtoto anapofikisha miaka 10 unatakiwa uwe umemfundisha tabia nzuri wakati wa Chakula (Table manners). Tabia hizi huweza kumsaidia miaka ya baadaye akiwa kwenye mikutano muhimu inayoambatana na chakula Hakikisha anajua namna ya kuzungumza na Watu hasa ana kwa ana. Zaidi ya nusu ya Vijana wa sasa...
Back
Top Bottom