kuwepo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mirindimo

    Walioko ofisini nafasi za juu lakini hawafai kuwepo walitakiwa kushtakiwa

    Yale mauaji ya October 29 yaliyo ongozwa na Polisi wetu kuanzia aliesababisha mpaka alieshiriki kuua hapaswi kua Ofisini sasa hivi.Aliekua anampa report Rais kua wale ni raia kutoka nchi jirani yule ndio angekua wa kwanza kuacha kazi na kushtakiwa. Halafu Polisi waliosema kua ni AI sasa hivi...
  2. Yoda

    Kuelekea AFCON 2027: Kuanzishwe dalaladala na Mwendokasi VIP

    Usafiri wa umma wa daladala katika Jiji la Dar es Salaam ni mbovu sana na haujawahi kuwa wa kistaarabu, sehemu ya kwenda kwa dakika 45 yanatumika hadi masaa mawili tena huku abiria wamebambiana kama ndizi pamoja na kuvujiana jasho. Sasa tusiwafanyie hivyo wageni wa AFCON ikiwa...
  3. L

    Sera ya kuwepo kwa China Moja inasisitizwa wakati wa ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China barani Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Bw. Wang Yi, amemaliza ziara yake ya mwaka mpya barani Afrika, kitu ambacho ni sehemu ya desturi ya miaka 36 sasa ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara ya kwanza barani Afrika kila mwaka mpya unapoanza. Moja kati ya mambo aliyofanya akiwa ziarani...
  4. R

    TMA yatahadhalisha kuwepo mvua kubwa mikoa 20

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Jumamosi 27 Desemba 2025 imetaja mikoa hiyo kuwa ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Kigoma, Katavi, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro, Ruvuma, Tanga, Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia Je...
  5. Fbn

    Naomba kuuliza wajuvi: Hivi kwa nini wapandisha majini hawapendi kuwepo misabani au sehemu za shughuli nyingi

    Kuna dada mmoja ni bingwa wa kupandisha wale wanaodai walisilimishwa huku imani yangu naita mapepo maana sijui elimu yake. Sehemu yenye misiba,masoko yenye watu wengi hataki kwenda anasema yana mfanya kupandisha. Na sehemu ambayo anaogopa sana kariakoo
  6. K

    PostGE2025 Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo utulivu D9 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi?

    Wakuu, Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo kwa hali ya utulivi na amani nchini Tanzania siku ya tarehe 9 Disemba 2025 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi ?
  7. S

    Baada ya taarifa ya CNN kutoka, serikali ilishwandwa nini kualika mara moja vyombo vya habari vifike kwenye eneo linalodaiwa kuwepo kaburi la pamoja?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na mpaka sasa sipati majibu kwani nilitarajia kuona serikali inaalika vyombo vya habari vya ndani na nje mara tu baada ya taarifa ile ya CNN kutoka Tukumbuke, kuzika watu wengi kwenye kaburi la pamoja, ndio tuhuma kubwa na mbaya kuliko zote iwapo itathibitika kuwa...
  8. M

    Kuna sehemu ukienda ofisi nzima haina hata mtu mmoja mzawa, kazi zote zinachukuliwa na wageni wa mbali, hii sio sawa, kuwepo na affirmative action

    Kwa muundo wa serikali yetu ilivyo hakuna serikali za majimbo hivyo kila kitu kipo chini ya kuu. Unaweza kwenda sehemu flani kwenye taasisi flani kubwa tu lakini humo maofisini hamna hata mzawa moja, kazi zote zimechukuliwa na wageni wa sehemu za mbali, wazawa hawana chochote. Sababu inaweza...
  9. M

    Wakati Polepole anaendelea na destruction na character assassination, Anapaswa kuwepo mtu mwingine wa kuchochea uasi wa Umma (Civil disobedience)

    Wakati huu moto unaendelea kuwaka inatakiwa aibuke mtu mmoja mwenye kauli za kuchochea kama vile Lema, Lusinde, Lissu, marehemu Ndugai, Askofu Gwajima n.k Mtu ambaye yeye kazi yake itakuwa ni kuwasimanga na kuwapachika majina mabaya viherere wote wa CCM mtandao (Wananchi wajinga) kuwashambulia...
  10. Mama Ametufikia

    Tanzania hakuna Chama cha upinzani na hakijawahi kuwepo, mkija kuelewa hii mtakuwa mshapoteza muda sana.

    Aliwahi kuzungumzia hili swala Nyani Ngabu kuwa Tanzania hakuna vyama Vya upinzani na havujawahi kuwepo. Na mkija kumuelewa Nyani Ngabu mtakuwa mshateseka Sana .
  11. C

    Kama watu wanaweza kutekwa na wasijulikane milele kwa idadi kubwa namna hii kuna haja gani ya kuwepo vyombo vya ulinzi nchini?mlinzi wa raia ni nani?

    Hatari sana hii na vyombo naona vimesha uzoea huu utaratibu kuwa ni wakawaida na mbaya zaid jamii nayo imesha ona ni kawaida si jambo la kuogopa tena , sasa nadhani labda huu mchezo uhamie kwa watoto wa vigogo na makada wa CCM na familia zao huenda tutapata jibu
  12. Inside10

    Askofu Mwijage: "Amani Haiwezi Kuwepo Kama Kuna Janja Janja Na Usiri".

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Jovitus Mwijage amesema amani haiwezi kuwepo katika nchi mambo yanaendeshwa kwa ujanja ujanja, usiri na uongo. Askofu Mwijage amesema kiongozi hapaswi kutumia katiba kwa vipengele tu vinavyomlinda yeye huku vingine vikitupwa mbali bali katiba inapaswa kufuatwa...
  13. Hismastersvoice

    Kama yupo anayejua sababu kwanini bado upo umuhimu wa kuwepo TAKUKURU aziweke hapa

    Hali ya kisiasa miaka hii ni ya utata sana, matumizi ya pesa kutoka kwa viongozi ni kufuru, siku hizi tunapewa majiko ya gesi bure bila kuomba, tunapewa matukutuku bure, mabaisikeli bure bila kuomba! Na maokoto bure japo tunaitwa chawa wakati sisi si wachafu huku wansotubeba ndio wachafu! Yote...
  14. Pascal Mayalla

    GE2025 Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!

    Wanabodi, Jana nilipandisha bandiko hili humu jukwaani Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini Leo hilo jambo, limetokea kweli GE2025 - Rais Samia atengua uteuzi wa Humphrey Polepole...
  15. Papillon 1906

    Heshima kwa wageni kuendelea kuwepo eneo la tukio

    Wanandoa nchini Filipino wamewashangaza watu wengi ulimwenguni baada ya kuendesha shughuli za harusi yao katika kanisa ambalo limejaa maji kutokana na dhoruba na mafuriko. Bwana Newlyweds Jade Rick na Jamaica kiss - wanaeleza Maamuzi hayo kwao ni kama kujitoa sadaka katika jambo Lao, lakini...
  16. Donnie Charlie

    Inawezekana kweli daraja la Dar na Zanzbar kuwepo

    Hii ni ndani ya dakika kumi tu ndege tatu zinatoka znz
  17. kavulata

    Tuwashukuru akina Askofu Gwajima kuwepo, ni matokeo ya demokrasia iliyotamalaki

    Tuwapongeze akina Gwajima, Heche na wengine kwa kuwaruhusu wasemeseme tu vile wanavyovisema na namna wanavyovisema, maana hayo ndiyo matakwa ya demokrasia za Magharibi. Kama hawavunji sheria yoyote kwa mujibu wa katiba waacheni waithibitishie dunia kuwa Tanzania kuna demokrasia pana na na uhuru...
  18. D

    Hivi kuna haja gani kuwepo kikundi kinachoitwa kikundi cha hamasa kwenye matukio ya Kitaifa kama uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo?

    Hii mada nimeamua kuileta kwenye jukwaa hili baada ya tafakuri ya muda mrefu.Baada ya tafakuri nimeitimisha kama ifauatavyo. 1.Kuruhusu kelele mahali panapohitaji utulivu ni ukusefu wa userious kwenye mambo yenye umuhimu mkubwa sana kwa taifa letu. 2.Kupiga kelele kipindi viongozi wanautubia...
  19. Kididimo

    Hii ni kukosea au kutojua. Kwa heshima inastahili kuwepo picha za JPM daraja la Kigongo- Busisi na siyo vinginevyo

    Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia ameridhia Daraja la Kigongo- Busisi liitwe ni Daraja la JPM kama heshima maalumu kwa uasisi na utekelezaji wa wazo hilo. Kama ni kweli tumemuheshimu hivyo, basi yafaa picha za JPM angalau kila upande ziwepo. Nimepita leo, nikaona picha picha zingine tuu. Aidha...
  20. U

    Waziri wa Ulinzi Israel Katz Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ni "Hitler wa kisasa" na "hawezi kuendelea kuwepo

    Akitembelea eneo la shambulizi la kombora la asubuhi ya leo huko Holon, Waziri wa Ulinzi Israel Katz anasema Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ni "Hitler wa kisasa" na "hawezi kuendelea kuwepo." Anasema kuwa chini ya malengo ya vita ya IDF, "bila shaka mtu huyu hapaswi kuendelea...
Back
Top Bottom