kuwekeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania

    Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia. Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, wakati wa ziara yake kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania

    Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia. Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania

    Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia. Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini...
  4. JamiiForums Tanzania Kauli ya Heche kukosoa Congo kuwekeza Tanzania ina ufinyu wa uelewa

    Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi. Kwa uwekezaji wa kutoka nje...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wasaudia wanataka kuwa na hifadhi ya mafuta hapa Tanzania / wataka kuwekeza kwenye kilimo pia ufugaji Tanzania

    17 August 2026 WASAUDIA WANATAKA KUWA NA HIFADHI YA MAFUTA HAPA TANZANIA / WATAKA KUWEKEZA KWENYE SEKTA ZA MADINI, KILIMO PIA UFUGAJI https://m.youtube.com/watch?v=ZSNh7sy6MD8 Source : Jambo TV HABARI KWA KINA: Kongamano la Biashara kati ya Saudi Arabia na Tanzania August 16, 2026...
  6. JamiiForums Tanzania LNG, LPG na CNG: Tofauti Yake Ni Ipi, na Tanzania Inapaswa Kuwekeza Zaidi Kwenye Ipi?

    Mara nyingi tunasikia majina haya matatu—LNG, LPG na CNG—lakini kwa Mtanzania wa kawaida ni vigumu kuelewa tofauti zake na matumizi yake. Ningependa wataalamu wa nishati watuelimishe kwa lugha rahisi: LNG ni nini, na hutumika zaidi wapi? LPG ni nini, na kwa nini ndiyo gesi inayotumika...
  7. JamiiForums Tanzania Unatamani kuanza biashara ya viatu lakini hujui pa kuanzia? Huu ndio mwongozo muhimu unaohitaji kabla ya kuwekeza fedha zako

    Biashara ya viatu kwa rejareja ni miongoni mwa biashara zenye soko kubwa kwa sababu viatu ni hitaji la kila siku. Watu hununua viatu kwa ajili ya kazi, shule, michezo, sherehe, safari na matumizi ya kawaida. Hata hivyo, mafanikio hayategemei kuwa na viatu vingi pekee. Unahitaji kuelewa wateja...
  8. JamiiForums Tanzania TIB RASILIMALI: Hisa (Shares) na Hatifungani (Bonds) Zinafanyaje Kazi? Mwongozo kwa Wawekezaji Wapya.

    Habari wakuu, Kumekuwa na mwamko mkubwa wa uwekezaji nchini, ambapo watu wengi wameanza kuwekeza kwenye Hisa (Shares) na Hatifungani (Bonds). Hata hivyo, bado kuna maswali mengi kuhusu tofauti zake, faida, hatari zinazoweza kujitokeza, na namna ya kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji. Kupitia...
  9. JamiiForums Tanzania BRAVO imeshakata shauri kuwekeza Bahi, yasema mustakabali (future) uko kwenye Reli

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya uchukuzi na Lojistiki ya Bravo Group, Bi. Angelina Ngalula, akiambatana na jopo la wataalamu wake wakiwemo wahandisi na wasanifu majengo, Juni 20, 2026 amefanya ziara ya kutembelea miundombinu ya Reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kati ya Stesheni ya Magufuli...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali haitaki kuwekeza kwenye elimu hasa ya mafundi simu?

    Hebu fikiria hizi picha hapo chini nimejifunza mwenyewe jinsi ya kutoa na kurudishia emmc hadi prosesa. Je ningeweza kusoma na kufundishwa si ningekuwa mbali zaidi. Wao kazi yao ni kuja tu kudai leseni kaa mafundi simu ila kutusaidia tuwe na ujuzi zaidi hawataki. Mfate fundi simu yoyote...
  11. K

    JamiiForums Tanzania TRMC BOND VS. I trust Bond: Ipi Bond nzuri kuwekeza?

    Uchaguzi kati ya TRMC Bond Fund yenye riba ya 11% kwa muda wa miaka 5 na i-Trust Bond Fund yenye riba ya 13% kwa muda wa miaka 4 unategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachokubali na muda unaotarajia kuwekeza. Kama unatafuta uwekezaji wenye utulivu zaidi, usalama wa mtaji na...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa vijana wa leo (Gen Z) kuwekeza zaidi katika teknolojia na starehe kuliko kuwekeza katika kilimo na biashara?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wa kizazi cha 2000 (Gen Z) kuelekeza nguvu, muda, na rasilimali zao katika starehe na teknolojia; ikiwemo mitandao ya kijamii, gaming, mavazi, kamali(kubeti), na ajira za mtandaoni, badala ya sekta za uzalishaji kama kilimo na biashara ambazo zilikuwa uti wa...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara ya kusimamia wasanii ni biashara kichaa usithubutu kuwekeza pesa zako huko

    Miongoni mwa biashara pasua kichwa ni hii biashara ya kumsimamia msanii haswa msanii wa muziki . Awali ya yote, wengi hawajui kuna utofauti kati ya sponsor na manager. Manager kiuhalisia inabidi yeye ndiye awe analipwa na msanii ili amsimamie kazi zake lakini kibongo bongo ni tofauti. Kibongo...
  14. JamiiForums Tanzania Vita ya Iran-Israel-USA inatukumbusha umuhimu wa kuwekeza kwenye sayansi na teknolojia

    Binafsi hii vita imenifanya nijisikitie mimi na Afrika kwa ujumla hasa nchi yangu ya Tanzania. Hii vita ni ya wababe wa sayansi na teknolojia. Yaani wanaopigana ni watu wenye akili nyingi za hatari huku wakiwa wako vizuri kiuchumi. Hii vita imetuonyesha jinsi gani nguvu ya sayansi na teknolojia...
  15. JamiiForums Tanzania Sehumu ambazo mstaafu hashauriwi kuwekeza

    SEHEMU AMBAZO MSTAAFU HASHAURIWI KUWEKEZA Fikisha ujumbe kwa wahusika 🎯Volatile investments. aina za wekezaji ambazo bei yake sokoni inaweza kupanda au kushuka its average price anytime. Kama cryptos 🎯High-risky investments. uwekezaji ambao hauna uhakika wa kulinda mtaji wako na faida yako...
  16. JamiiForums Tanzania Ni muda wa kuwekeza kwenye mafuta

    Nataka ku trade oil. Huu ndio muda wake. Naombea Iran iendelee kushusha vitu vizito kwenye ardhi ya mudi mafuta yapande bei.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Iran Yasema Ipo Tayari Kuikaribisha Marekani Kuwekeza Iran Endapo Itafikia Maelewano ya Kidiplomasia

    Kufuatia mazungumzo yanayoendelea, Iran yaelekea kulegea na kutoa ushawishi wa kila aina, siyo tu Marekani isiishambulie, bali kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia na kiuchumi. Kwenye tamko la Serikali, Iran imesema kuwa uhusiano mzuri na Marekani utakuwa na faida kwa pande zote, na kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania China yazuia watu wake kuwekeza Israel

    HABARI KUBWA! China imezuia uwekezaji mpya nchini Israeli kimya kimya. Hatuhitaji uwekezaji wa Kichina nchini mwetu!!!. Israeli ni taifa lenye nguvu duniani katika teknolojia, matibabu, na usalama. Huu ni mwaliko wa uwekezaji zaidi kutoka nchi zenye nia moja. China si mshirika. Taiwan ndiye...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo na Wadau wenye uhitaji au Interest kwenye Kuwekeza kwenye ufugaji hususani kuku

    Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja. To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi lakini nikiwa nafanya ujasiriamali wa ufugaji (Tanga Region). Kufuga, kutotolesha, kuuza mayai, kuuza...
  20. X

    JamiiForums Tanzania Canada na Ufaransa zawalilia wawekezaji wa Kichina kuwekeza kwenye mataifa yao

    Mwaka 2024 Canada ikishinikizwa na Marekani iliweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme ya China kama ilivyofanya Marekani. The table has turned, hivi karibuni Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney alikuwa na ziara nchini China. Katika ziara hiyo alifungua milango ya kibiashara kati ya mataifa hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…