Miongoni mwa biashara pasua kichwa ni hii biashara ya kumsimamia msanii haswa msanii wa muziki .
Awali ya yote, wengi hawajui kuna utofauti kati ya sponsor na manager.
Manager kiuhalisia inabidi yeye ndiye awe analipwa na msanii ili amsimamie kazi zake lakini kibongo bongo ni tofauti. Kibongo...
Binafsi hii vita imenifanya nijisikitie mimi na Afrika kwa ujumla hasa nchi yangu ya Tanzania. Hii vita ni ya wababe wa sayansi na teknolojia. Yaani wanaopigana ni watu wenye akili nyingi za hatari huku wakiwa wako vizuri kiuchumi. Hii vita imetuonyesha jinsi gani nguvu ya sayansi na teknolojia...
SEHEMU AMBAZO MSTAAFU HASHAURIWI KUWEKEZA
Fikisha ujumbe kwa wahusika
🎯Volatile investments.
aina za wekezaji ambazo bei yake sokoni inaweza kupanda au kushuka its average price anytime. Kama cryptos
🎯High-risky investments. uwekezaji ambao hauna uhakika wa kulinda mtaji wako na faida yako...
Kufuatia mazungumzo yanayoendelea, Iran yaelekea kulegea na kutoa ushawishi wa kila aina, siyo tu Marekani isiishambulie, bali kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia na kiuchumi. Kwenye tamko la Serikali, Iran imesema kuwa uhusiano mzuri na Marekani utakuwa na faida kwa pande zote, na kwamba...
HABARI KUBWA! China imezuia uwekezaji mpya nchini Israeli kimya kimya.
Hatuhitaji uwekezaji wa Kichina nchini mwetu!!!.
Israeli ni taifa lenye nguvu duniani katika teknolojia, matibabu, na usalama. Huu ni mwaliko wa uwekezaji zaidi kutoka nchi zenye nia moja. China si mshirika. Taiwan ndiye...
Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja.
To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi lakini nikiwa nafanya ujasiriamali wa ufugaji (Tanga Region). Kufuga, kutotolesha, kuuza mayai, kuuza...
Mwaka 2024 Canada ikishinikizwa na Marekani iliweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme ya China kama ilivyofanya Marekani.
The table has turned, hivi karibuni Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney alikuwa na ziara nchini China. Katika ziara hiyo alifungua milango ya kibiashara kati ya mataifa hayo...
Leo nilikuwa na mtu mmoja tuliongea mambo mengi kuhusu nchi yetu kuwa na kundi kubwa la CCM wajinga ndio wanaotawala.
Nimeona NIT na serikali kuweka mabilioni ya pesa NIT maswala ya anga.
Udogo wa kile chuo ,kwa nini wasiopeleke Kiwe chato hapo maana kiwanja kilishindikana kuwa na safari na...
Hello waja JF, Nina 15,000,000 nahifaji kuiwekeza UTT atleast kwa mwaka mmoja ili izae japo kidogo kuliko kuiacha Bank, naombeni ushauri wa yafuatayo
1. ni mfuko gani pale UTT ni salama zaidi na ni rahisi kuweka na kutoa fedha mda wowote
2. Faida zao zikoje
3. Mapungufu ya UTT ni yapi...
Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali
Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
BIHARAMULO REAL ESTATE / INVESTMENT
Biharamulo ndio Eneo lenye mvua za kutosha zaidi katika mkoa wa kagera ,ardhi yenye rutuba, miundombinu imara, idadi kubwa ya watu kwa sensa ya kitaifa 2022, na muunganiko wa nchi za burundi Rwanda, Uganda na Mkoa wa Kigoma hadi DRC
📞 +255 763 773 192...
Takwimu zipo katika kiini cha maendeleo, zikichochea maamuzi na uwekezaji unaosaidia kupunguza umasikini na kujenga mustakabali endelevu. Hata hivyo, mifumo mingi ya kitaifa ya takwimu katika nchi za kipato cha chini na kipato cha kati haina rasilimali za kutosha na haijajiandaa kutoa takwimu...
MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA YA KUWEKEZA.
🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio.
Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza.
Unajiuliza lini uanze kuwekeza?
Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna...
Nauliza tu kwa nia njema , je inawezekana? Maana sisi ni nchi rafiki since 1960s kama inavyosemekana. 😎😎. Maana kuna mmoja anaitwa steven mchina. Anakusanya hizo 200 kama mchanga huko vijijini ndani ndani sana alipoyatega.. nauliza tu wadau sio kwa nia mbaya.
🌱 Ewe Mtumishi, Wekeza Leo kwa Ajili ya Kesho Yako!
Kila mwezi unapopokea mshahara wako, jiulize: Je, sehemu ya mshahara huu inafanya kazi kwa ajili ya maisha yangu ya baadaye?
Watumishi wengi wa umma na sekta binafsi hujikita kusubiri kiinua mgongo – kile wanachokatwa kila mwezi na mifuko ya...
Kifo hakieleweki; wengine tutakufa kabla ya uzee,
wengine tutazeeka kwanza kisha umauti utatufika
Nguvu tulizo nazo zitaisha, matumaini yatayeyuka, na hatutakuwa tena na nafasi ya kurekebisha yaliyopita.
Maisha haya ni safari fupi yenye misimu mingi, isiyo tabirika
Je, ni njia gani sahihi ya...
🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio.
Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza.
Unajiuliza lini uanze kuwekeza? 💭💰
Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna mambo maswali muhimu inabidi ujiulize.
❓Je...
Najua wengi humu mtabisha maana mnajifanya mnagwajimanize kila kitu. Nilichokisema nakijua kiundani na ninamaanisha kuwekeza rasilimali ulizonazo kwenye betting. Utavuna mabilioni ya pesa ndani ya muda mfupi hadi watu wakuonee wivu na kukuita majina ya ajabu.
Chakufanya funguackampuni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.