Members nawasalimu,
Ningependa kufahamu kama ninaweza kuskim nyumba yangu kabla ya kuweka Gypsum board ?
Nyumba yangu imefikia hatua ambayo nimeshawasha umeme wa tanesco ila ni sehemu chache sio zote na kuna kijana nimemuweka hapo,hivyo natakiwa awamu hii nimalizie wiring sehemu zote ili...