kuweka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku atoa fedha kuweka mfumo wa maji Kituo cha Afya Itete

    Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku ametoa msaada wa kuboresha mfumo wa usambazaji majisafi katika kituo cha Afya cha Kata ya Itete, Kilichopo Wilaya ya Malinyi, Mkoani Morogoro na kusaidia kuondoa adha ya upatikanaji wa maji iliyodumu kwa muda mrefu Kituoni hapo. Hatua hiyo...
  2. G

    Nchi ya Tanzania Haina Dini kuweka masharti yoyote ya kidini ni kinyume Cha katiba ya nchi kufunga sio Sheria ya nchi viongozi wasiwe wanafiki

    Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA Nakemea vikali unafiki wa viongozi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufumbia macho masharti ya kidini kutekelezwa Kwa watu...
  3. K

    Ndege Tano za Marekani za kuweka mafuta kwa ndege nyingine zapigwa na Iran

    The Wall Street Journal Ndege tano za Jeshi la Anga la Marekani zinazotumika kujaza mafuta angani zilipigwa na kuharibika zikiwa chini katika Kituo cha Anga cha Prince Sultan Air Base nchini Saudi Arabia, kwa mujibu wa maafisa wawili wa Marekani. Maafisa hao walisema ndege hizo zilipigwa...
  4. M

    Wale tunaopenda mambo ya geo politics, vita, siasa za kimataifa tuanze kuweka mizigo tunufaike na pesa, tusiishie kulumbana tu humu

    Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
  5. S

    Mfumuko wa vijana wenye Elimu Ndogo Pesa Nyingi Tanzania ni mkubwa sana; wanaongea ujinga na kuweka mbele kujionyesha na kujisifia mafanikio yao

    Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
  6. Tlaatlaah

    Marekani na Israel hawataweza kubadali mfumo wa utawala wa Irani kutoka Sharia hadi Demokrasi bila kuweka vikosi vya ardhini ndani ya Irani.

    Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika na kuimpose utawala wa kidemokrasia. Ili kufanikisha hilo, ni sharti kwanza pawepo na vikosi vya...
  7. Roving Journalist

    Responded ZECO: Changamoto ya umeme Zanzibar inachangiwa na miundombinu ya kusafirisha umeme, kuna mpango wa kuweka njia kutoka Bara

    Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara maeneo ya Kwahani Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini, Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) limetoa ufafanuzi kuhusu hali hiyo. Hoja ya awali iko hapa ~ Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata...
  8. Roving Journalist

    Responded Selcom: Unaweza kuweka salio kwenye N-CARD yako kwa kutumia Selcom Pesa

    Mara baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia huduma ya Kazi za N-CARD katika kuweka fedha, inayowalazimu kupanga foleni wakati wa kuitumia katika Kivuko Kigamboni, ufaafanuzi umetolewa na Selcom. Kama hukusoma andiko la Mdau bofya hapa ~ Kwanini N-CARD hawana App inayowezesha...
  9. A

    KERO eRITA portal ina matatizo. Yatatuliwe haraka

    Tafadhari taarifa ziwafikie Hawa RITA Nini maana ya kuweka huduma ya kuomba cheti kwa njia ya mtandao kama mtu nimefanya maombii ya cheti cha kuzaliwa mwezi wa 12 mpaka sasa hakuna mibu ya aina yoyote tunapata tabu sana ukienda Ofisini shida tupu. Hakuna haja ya kuwa na eRITA portal
  10. Superbug

    Leo nimeshauriwa nikatoe sumu Kwa njia ya kuweka miguu kwenye beseni ( ya wachina) je hii ni kweli?

    Nimekuwa na unene kiasi nina kitambi kuna mtu kanishauri niende nikatoe sumu kwa Wachina ile unakiweka miguu halafu miguu inalowekwa kwenye beseni halafu kuna mashine Iko kama kafriji na kawaya flani wanakaweka mikononi. Hii kitu ilianza miaka ya mwishoni ya 2000 nikiwa kijana ila Sasa ni mtu...
  11. Fbn

    Jirani akiweka ukuta hakuna haja kuweka kichochoro

    Kuna makosa mengi kwa sisi tunaojenga au kupanga maeneo. Kama sehemu ya mwenzako kaweka uzio ambao ni ukuta inatakiwa na wewe kutumia uzio huu kuzibiti vichochoro visivyokuwa na tija.
  12. Fbn

    Ili jengo kampuni nyingi za mawasiliano ziliomba kuweka vifaa vyao cha kushangaza waligomewa.

    Pale mawasiliano tower sio wageni ila hii sehemu ndio unaambiwa kama vitafungwa vifaa vya mawasiliano juu kama huduma za internet za majumbani au vifaa vyengine. Hapa mpaka aliye morogoro,kibaha,znz na bagamoyo anaweza kupata signal safi. ila kwa nini wamekataa kampuni nyingi
  13. Amba Samedi

    Uganda Yazuia Uingizaji wa Starlink Kabla ya Uchaguzi: Huu Ndio Mtindo Mpya Sasa (Umejipangaje)?

    Habari wanaJF, Ni muda nimekuwa kimya humu, lakini kuna jambo muhimu limejitokeza jirani zetu Uganda ambalo lina uhusiano wa moja kwa moja na kile tulichokiona Tanzania wakati wa uchaguzi — hasa kwenye masuala ya intaneti na udhibiti wa mawasiliano. Uganda imetoa zuio la uingizaji wa vifaa vya...
  14. Yoda

    Utani wa Waarabu wa kuweka watu roho juu.

  15. M

    Mbeya inazidi kupaa, Arusha na Mwanza zijipange ! barabara kilometa 29 njia nne yaanza kuwekwa lami

    Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji. kwa...
  16. H

    Njia madhubuti ya kupunguza tatizo la ajira Tanzania ni kwa kuweka nguvu zaidi kwenye sekta binafsi

    Uimarishaji wa Sekta Binafsi: Sekta binafsi ndio chanzo kikuu cha ajira katika nchi nyingi duniani. Mfano, nchini Kenya, serikali imewekeza katika kuimarisha mazingira ya biashara kwa sekta binafsi kupitia mpango wa Big Four Agenda, ambapo viwanda vya ndani vimepewa kipaumbele. Tanzania pia...
  17. Yoda

    Ni jambo jema uislamu wa Tanzania kuweka uzito zaidi katika amani tofauti na uislamu wa sehemu nyingine za dunia.

    Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa makubwa sana yaliyosababisha kila aina ya mateso kwa raia hata kwa wasio husika kabisa kupitia vita...
  18. Fbn

    GOOGLE Review 2025 inaweza kuweka ya Tanzania nahisi

    Google inapofikia tarehee moja ukusanya matukio na kutengenezwa sehemu ya video fupi kama yaliyopita. Kwa revolution zilizotokea 2025 pamoja tanzania mauwaji inawekwa ila sijajua wataweka kwa mtindo hupi. Ila peak up bandwidth za kuzungumziwa sana. Najua sana sana mwisho wa mwezi dec...
  19. P

    Nani anawapa mamlaka Polisi kuweka namba zisizojulikana kwenye gari zao binafsi?

    Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza. Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti. Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi? Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa...
  20. Mto wa mbu

    Tetesi: Serikali imejipanga kuweka complete lockdown D9 kwenye vyuo vikuu

    Hawa watu wamechanganyikiwa, vyuoni Kuna upungufu mkubwa wa wanafunzi, kuna wanafunzi wengi hawajaripoti vyuoni, mpaka vyuo vimeanza kuwapigia simu kuulizia kama ni wazima. Vyuoni now kila siku semina ,kuwashawishi vijana wasiandamane, Sasa wamepanga tarehe 8/12 wataweka curfew vyuoni na D9...
Back
Top Bottom