Wanaukumbi.
BREAKING 🚨 Marekani imetangaza kujiondoa katika kambi za kijeshi nchini Qatar, Bahrain, Kuwait, Iraq, Jordan, Falme za Kiarabu, Syria na nchi nyingine za Ghuba. Picha zinaonyesha wazi kuwa Iran imeshinda vita hivi.
================ For English Audience ================
BREAKING...
BREAKING: The Department of War has named four of the six U.S. service members killed in a drone attack in Kuwait:
Capt. Cody A. Khork, 35, of Winter Haven, Florida; Sgt. 1st Class Noah L. Tietjens, 42, of Bellevue, Nebraska; Sgt. 1st Class Nicole M. Amor, 39, of White Bear Lake, Minnesota; and...
Kamandi la Jeshi la Marekani (CENTCOM) imesema Machi 2, 2026 kuwa mfumo wa ulinzi wa anga wa Kuwait kwa bahati mbaya ulitungua ndege tatu za kivita za Marekani ikiwa vita dhidi ya Iran na Israel na Marekani ikiendelea.
Kwenye taarifa yao, CENTCOM imesema: "Saa 5:03 usiku Machi 1, 2026 ndege...
Falme za Kiarabu (UAE) na Kuwait zimesema kuwa watu wanne wameuawa na wengine 90 kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani (drones) kutoka Iran, kufuatia shambulio la Marekani na Israeli dhidi ya Iran.
Wizara ya Ulinzi ya UAE imesema katika taarifa yake kuwa mifumo...
TAARIFA MPYA: Italia imethibitisha kwamba kombora la Iran limepigia uwanja wa ndege unaotumika na vikosi vya Italia huko Kuwait, likisababisha uharibifu mkubwa kwenye reli ya ndege, lakini askari wa Italia wako salama bila kujeruhiwa,” kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya Italia iliyo ripotiwa leo.
Kwa mapenzi makubwa kabisa hatimae Mfalme wa kuwait kaweka hadharani kubadili dini yake na kuwa mkristo akasema hata wamuue atakuwa na Yesu milele .
Je kwa waislamu hii tuiteje imekula kwenu au hata hamjui mfanye nini.
Waarabu walioileta dini yenu wanaokoka na kumfuata Yesu je itakuwaje nyie...
Mamlaka ya Kuwait imetoa taarifa kushika watu 67, akiwemo raia wa Bangladesh anayesemekana kuongoza mtandao wa uhalifu, kutengeneza na kusambaza vinywaji vya pombe vya kienyeji vilivyosababisha vifo vya watu 23 katika siku za hivi karibuni
Taarifa iliyotolewa kwenye Mtandao wa X Agosti 16 2025...
Wafadhili hawa wamefanya mkubwa nchini,
1. Visima vya maji,
2. Ufadhili wa masomo (ngazi ya uzamili na uzamivu-Master na PhD),
3. Nyumba za Ibada na Ujenzi wa barabara ya Dar-Rufiji-Lindi-Mtwara.
4. Tende.
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za...
Lebanon iliachia nchi yake itumike na magaidi wa kiislamu, sasa leo hii inapotaka kufanywa kama Gaza, waarabu wanaihama badala ya kubaki wapambane dhidi ya Israel.
==================
The Kuwaiti Foreign Affairs Ministry has called on its citizens who are currently in Lebanon to leave the...
Hii ingesemwa uzunguni, mngesikia makelele hadi kuzimu...hawa waarabu ni makatili sana na mnavyopenda kuwaabudu huku mkivaa mikanzu na kuotesha mindevu mfanane nao...
Kuwait MP calls for foreign workers to be charged “for the air they breathe”
Safa Al-Hashem is among a group of MPs calling for...
Nimesoma Daily News kuwa Rais Samia amesikitishwa na kifo cha Emir wa Kuwait ambaye amekufa akiwa na umri wa miaka 86 lakini hajasikitishwa na watoto wa kitanzania waliouawa na HAMAS huko Gaza na kwenye Kibbutz Orr huko Israel.
Mheshimiwa sana Mama rais, sijakuelewa. Je, ni kwamba husikitishwi...
Hapo zamani,Sadam huseini wa Iraq alifanya kama anavyofanya Putin wa Urusi Leo kwa kuivamia nchi ya Kuwait.
Marekani na washirika wake wakaivamia Iraq na kuipiga Hadi ikatoka Kuwait.
Miaka kadhaa baadae Slobodan Milosevic wa Yugoslavia aliwapiga kishenzi waasi na raia waliokua wanataka...
Riches are sweet when a man is alive and enjoying all the riches but when breathe seize, all is gone and all you experience at that time is left for those you left behind to decide.
Some take the pain of burying the dead man in good casket and even special burial ground just to give the last...
Inasikitisha bado hawa watu wanauza binadamu wenzao. Guess what, wengi wanaouzwa ni Waafrika. Cheki link ya BBC.
https://www.bbc.com/news/technology-50266663
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.