@prophet_nicolaus_suguye anakukaribisha kuabudu pamoja nao katika Kanisa la WRC Kivule Matembele ya Pili Jumapili hii ambapo ni Ibada maalum ya KUVUNJA CHUNGU CHA KICHAWI na kupita BONDE LA HELA
@prophet_nicolaus_suguye anakuita Jumapili hii March 15, 2025 na anasema “Adui anataka kusitissha...
Naileta mada hii kutokana na mwenzetu mmoja ambaye tulijadiliana naye! Hivyo naomba pia niwashirikishe nanyi kwakuwa pengine na kwa vyovyote wahitaji wapo
Tunapokuwa wakubwa na kujitambua huwa kuna vitu tunaviona sio vya kawaida kwenye ukoo na hata kwenye familia. Na mara nyingi vitu hivyo...
Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ?
Nimesikia hizi takataka zinasema heti wamekamatwa kwa kukusanyika kwahiyo kukusanyika ni kosa tangu lini na vipi mshushe na bendera ya chama ilikuwa...
Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika
Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
Ndugu Wanachama na Wataalamu wa Sheria wa Jamii Forum
Napenda kuwasalimu kwa heshima.
Ninaandika barua hii kwa heshima kubwa kuomba ushauri na ufafanuzi wa kisheria kuhusu taratibu halali za kuvunja au kukomesha mkataba wa ajira katika sekta binafsi nchini Tanzania
Naomba msaada wenu wa...
Huo ndo uhalisia Zanzibar isingekuwa ndani ya Muungano ungekuta tayari Kuna vikundi vya kigaidi vimechukua utawala
Tutakua wajinga kuwaachia ndugu zetu wanzibar wabaki bila ulinzi wa TANZANIA
Kama viongozi wao Kwa ulevi TU wa madaraka watavunja Muungano Kwa namna yoyote hatakubali ulafi wao wa...
Tanzania haina kiongozi Mkuu wa Nchi tena,
Ni kundi la watu wachache waliokimbilia Dodoma na kufungia mkoa mzima, wakaamua kuchagua Tarehe 29 kupora Madaraka ya Nchi ya wananchi.
Ni wazi shairi Samia, Nchimbi na Kamati kuu ya CCM iliyojificha Dodoma, imetangaza Uasi na uvunjifu mkubwa wa...
Kamati ya ulinzi na Usalama Mkoa Tanga imetoa onyo kwa wananchi wote wenye nia ovu ya kuvunja amani siku ya uchaguzi na kwamba kwa yeyote ambae atajaribu kufanya hivyo,atachukuliwa hatua za kisheria.
Onyo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na Mkuu wa Mkoa wa Tanga...
Tuombe Mungu usiku upite salama, Israel anazengea kwenye viunga vya Nyumbani kwa aunty LuLu, kaweka ujumbe kwenye Instagram usiku huu wa manane 👇
Msiomjua Aunty LuLu ni huyu
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Dkt. Godwin Mollel ambaye ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya anayemaliza muda wake ameandika ujumbe huu kuhusu Askofu Josephat Gwajima:
Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe Gwajima kafunga Kwa kuvunja Sheria alizo ridhia yeye mwenyewe na...
Bodi ya Nidhamu ya CAF imefungulia mashitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuvunja masharti ya Usalama na Ulinzi kama yalivyoainishwa katika Kanuni za Nidhamu za CAF, Ibara ya 82 na 83, pamoja na Ibara ya 24 na 28 za Kanuni za Usalama na Ulinzi za CAF.
Mashitaka hayo...
Sowah ni mchezaji mzuri, katika kuendelea kudhihirisha kile alichonacho, anahitaji kurekebisha vitu vichache tu
Sowah, anahitaji kutengeneza kitu kinaitwa Nidhamu, katika kujenga uwezo wa kipaji na kukipalilia, mtu yeyote anahitaji ajiheshimu na kuheshimu wengine hata kama ni kwa jambo...
Kuzuia uchaguzi ni pamoja na kuiba kura, kutoa rushwa na kuvunja mchakato wa kupatikana wagombea ndani ya chama na kuvunja katiba ya chama.
Kuzuia uchaguzi sio kusema unataka mabadiliko au maboresho ya kiuchaguzi bali ni kile kitendo cha wizi, rushwa na uvunjifu wa katiba ya nchi na chama...
Habari zenu wakali, kichwa cha habari chajieleza ningependa kujuzwa bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa TZ lilipangwa kuvunjwa tarehe 27/6/2025 lakini mwenye mamlaka kikatiba kuvunja bunge Rais ametangaza kuhairisha shughuli za bunge na kusema kuwa bunge litavunjwa rasmi 3/8/2025.
Je...
Askofu Mkuu Baba wa Imani Dr Gwajima PhD - Mwangalizi wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani. Anatajwa kuhudhuria Bungeni ambapo litavunjwa rasmi tayari kwa uchaguzi.
***Tumtakie matashi MEMA Baba Askofu Mkuu na Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kawe (CCM). Ulikua wakati mwema kuwa Mbunge wetu
Presumption of Death katika Sheria ya Ndoa na Mirathi
➡️ Je, mtu anapotea bila mawasiliano kwa miaka mitano mfululizo… je, bado ni mume/mke wako halali?
➡️ Je, bado atahesabika yupo hai? unaweza kufungua mirathi bila cheti cha kifo chake?
➡️ Au kuolewa tena bila talaka?
Hili si swali la...
Wanaharakati hao wameamua kufanya hivo kwa kupanda meli iliyoondoka bandari ya Catania kwenye visiwa vya Sicily ambavyo haviko mbali sana na Gaza.
Mwezi uliopita meli kama hiyo zinazoongozwa na taasisi ya Freedom Flotilla ilishambuliwa na Israel na kuwaka moto kulazimika kuokolewa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.