kutumika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lisu; naiona mianya ya kutumika na watawala

    Napata mashaka sana juu ya hii movie ,kwa muonekano na muda alioshikiliwa Lissu afya yake haisadifu mazingira anayosema yupo kwa wakati huu. Nikirudi nyuma maneno yaliyopelekea kukamatwa ni wazi hutegemei mtu wa level za ujuzi wa sheria kama Lissu ayatamke kwenye hadhara. Katika moja ya kesi...
  2. JamiiForums Tanzania Artificial intelligence inaweza kutumika kutunza lugha,mila na destuli zinazotoweka Tanzania na kuzihifadhi

    Kuna baadhi ya mila, desturi na mila zinapotea kwa kasi, hasa makabila madogo. Mfano wachaga walikuwa na utamaduni wa kuchinja mnyama kisha zile nyama wakaziweka eneo la makaburi, asubuhi pakikucha wanaamini wazee wamekula kumbe mbwa wamepita nazo. Nashauri artificial intelligence itumike...
  3. JamiiForums Tanzania Walimu acheni kutumika vinginevyo laana itawatafuna maisha yote

    Nasema na nyinyi walimu ambao kula Wali samaki kwenu ni anasa, mna maisha magumu ya kutupwa jalalani ila mnabaki kuiba kura za wananchi kwenye uchaguzi mkuu Tubuni kwa Mungu na naomba mwaka huu msijishirikishe kabisa na mambo ya uchaguzi vinginevyo laana itawatafuna. Ndio mana wengi wenu mna...
  4. JamiiForums Tanzania Aliyesemwa kuwa amechanganyikiwa ni Mgombea wa CCM si Rais, Polisi acheni kutumika kisiasa

    Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi mkuu, Sidhani kama ni ushindani wenye usawa. Hii ni dalili ya uoga na hofu, kutumia nguvu kubwa dhidi...
  5. JamiiForums Tanzania TFF: Uwanja wa Mkapa kutumika ufunguzi wa Fainali CHAN 2024, Uwanja wa Amani kutumiwa na kundi D

    Salaam Members! Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeutangaza uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam, Tanzania kuwa mwenyeji wa mchezo wa ufunguzi wa Fainali za Mataifa Bingwa Afrika (CHAN2024) itakayofanyika Kenya, Tanzania na Uganda kuanzia Agosti 2, 2025, uwanja huo utatumika...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shilingi bilioni 669 kutumika ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Akizungumza mkoani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaoondoka CHADEMA ni kwa staili moja na sababu zilezile. Ni usaliti au hujuma au ni kutumika?

    Nimekuwa nikifuatilia kuondoka kwa wanachama CHADEMA wote wasema sababu ya ubaguzi, uongozi wa kiimla au kunyanyaswa na hatimaye wakiondoka hawasemi waendako eti wote wanapumzika tu. Je mtu akisema wanatumika utasemaje? au u kaskazini au walizoea kutafuna tulitegemea kila mmoja na staili yake...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Mwabukusi kwenye mtandao wa X unaweza kutumika kuhakikisha aende Mbeya kwa kumfungulia kesi na kumuweka ndani

    Ule ujumbe wa vitisho wenye matusi ndani yake alioundika kwenye mtandao wa X, unaweza kutimika kama sababu ya kumkamata na kisha kumshitaki lengo ni kuhakikisha harudi mbeya. Kwa jinsi hawa watu walivyowaoga, wataona ni bora wamalizane nae mapema kabla hajafika Mbeya na njia mojawapo inaweza...
  9. K

    JamiiForums Tanzania NINAISHAURI SERIKALI KWAMBA DARAJA LA KIGONGO -BUSISI LITAKAPOANZA KUTUMIKA KUWEPO NA TOZO

    Tumetangaziwa kuwa siyo muda mrefu Daraja JPM (Kigongo - Busisi) karibuni litafunguliwa na Mhe. RaIs wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Daraja hili limejengwa kwa gharama kubwa takriban Tshs.680bn. Watumiaji wa vivuko kwa hivi sasa wanalipa (1) Mtu mmoja Tshs.400 (1) Pikipiki Tshs.1,000 (3)...
  10. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais kutakua na mradi wa kupunguza half-life ya nuclear waste

    Moja ya mambo yanayofanya inakuwa ni ngumu sana kutumia nuclear energy ni namna ya kuhandle waste zake, nikiwa Rais ntahakikisha tunakuja na solution yake kabla ya kuanza mradi wa kutumia nuclear energy Mfano wa nuclear waste na half life Plutonium-239 Caesium-137 Strontium-90
  11. JamiiForums Tanzania Manyara: Bilioni 3 Kutumika Kuboresha Miundombinu ya Hospitali ya Manyara kwa Mwaka 2024/2025

    MANYARA: BILIONI 3 KUTUMIKA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA HOSPITALI YA MANYARA KWA MWAKA 2024/2025 Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema Serikali imejipanga kuboresha huduma za afya katika mkoa wa Manyara kwa kutenga Shilingi Bilioni 3 katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya...
  12. JamiiForums Tanzania Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

    Wanabodi Funga kazi ya urekebu wa sheria za Tanzania, kesho Rais Samia atatoa tangazo rasmi, la kuanza kutumika kwa sheria zaidi 400 zilizorekebishwa. kuanza kutumika. Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari. Paskali
  13. JamiiForums Tanzania Serikali Kuwalipa Wanajeshi Mishahara mapema, ni mpango mkakati, Sitoshangaa JWTZ ikatoa tamko la Kufanya Usafi Barabara za kuzunguka Mahakama 24/4?

    Mbinu ya CCM miaka yote ni ileile, kuwalisha Chambo watu wote wanaweza kua kikwazo kwao, ili inturn alokula Chambo awe Hana namna nyingine !!. CCM wamefanya hivo, ili Jeshi lione linajaliwa, na matokeo yake ni Jeshi nalo baadae kulipa Fadhila. Ni Baada ya Hotuba ya Mzee Warioba, kua Taasisi...
  14. JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu na mabenki yanayopokea miamala ya chadema, nadhani mmeona kwamba ina nia ya kutumika kwa uhalifu wa uchaguzi, msisaidie uhalifu

    Chadema wanapitishia fedha zao katika Mpesa, airtel money, na huduma za aina hiyo, pamoja na za mabenki. Nitoe angalizo kwa serikali na makampuni hayo kwamba miamala hiyo imeshasemwa na uongozi wa chadema kwamba itatumika kufanyia uhalifu wakati wa uchaguzi. Kampuni ya simu, bora uifungie...
  15. JamiiForums Tanzania Imam wa Iran: "Wanawake ni wanyama walioumbwa na allah ili kutumika na Wanaume"

    Anaendelea kusema: "Wanawake si tofauti na ng’ombe, kondoo, farasi, au nyumbu. Mungu aliwaumba wanawake wafanane na wanadamu ili wasiwaogope wanaume.”
  16. JamiiForums Tanzania Mnamo tarehe 1-April-2004 kampuni ya google ili zindua barua pepe ya Gmail kutumika rasmi.

    Gmail ilianza kutumika rasmi tarehe 1 Aprili 2004 kama huduma ya majaribio (beta). Ilitolewa kwa watumiaji wachache kwa mwaliko kabla ya kufunguliwa kwa umma mnamo 7 Februari 2007.
  17. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA hauna hadhi ya kutumika ligi kuu

    Ukweli useme Bodi ya ligi wameshindwa usimamizi wa ubora wa viwanja Kwanini bodi ya ligi iliufungilia huu uwanja mbovu hivi? Ligi namba 6 Africa haiwezi kuchezwa kwenye majaruba, kuruhusu uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA kutumika ni kushusha hadhi ya ligi yetu. Uwanja pitch mbovu kama...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Ushirikina na Rushwa kutumika kusaka madaraka ni hatari.

    Tukatae kuwachagua viongozi wanao tumia nguvu za giza/ushirikina kupata uongozi. Imekuwa jadi kwa viongozi wengi katika nafasi zao kutumia USHIRIKINA kupata na fasi na kulinda nafasi zao. tuwakatae viongozi wenye tabia hizo. Unamkuta kiongozi hana uwezo wa kuiongoza hata familia yake lakini...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kutimuka CHADEMA

    Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul. Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta...
  20. JamiiForums Tanzania Wakala wa Mpanzu acha kutumika, Kibu Dennis Simba imekulea acha hayo mambo

    Huyu wakala aache kusumbua eti kufikia ijumaa saa 10 installment yapili iwe imefanyika, kwanini ijumaa? Nani kamwambia kuwa hatalipwa? Aache uswahili. Na wewe rasta hutaki kwenda mazoezini kisa bonus uchwara, wanaokwenda wao hawana akili au tulikosea kukudhamini uraia? Hebu ukue basi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…