kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jamii yashauriwa kuacha tabia ya kumeza dawa bila kupima, hali hiyo inatengeneza usugu

    Dkt. Medard Beyanga Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dkt. Medard Beyanga ameshauri jamii kuwa na kawaida ya kufanya vipimo kuanzia katika hatua za awali za ugonjwa na kuacha kujichukulia maamuzi ya kwenda kununua dawa bila kuwa na utaalam wa daktari. Amesema jambo la kwanza la...
  2. Sasa ni mwendo wa kutumia maandiko ya Biblia kupiga hela!

    Leo nimepita kituo cha mwendokasi cha mbezi mwisho! Hiki kituo kilikuwa na utitiri wa watu wanaojinasibu wanahubiri injili ilihali ni kutafuta hela kwa njia ya sadaka! Sasa leo nimekuta spika kubwa ya kiwete akitumia maandiko ya Biblia kuhalalisha kuchangiwa! (Matayo 25:40) Kitendo hicho bila...
  3. Wachawi kutumia wanyama wanafanya kile wafuasi wa Mungu walichoshindwa kufanya

    Wachawi wanaweza kupanda mkuki, ufagio au ungi wakasafiri hadi nje ya bara kwa sekunde. Wanaweza kuwaamrisha fisi, mamba, paka, mijusi hata mbwa kufanya wanachotaka wakati wowote bila kubisa. Ni aibu kubwa mtu kujiita mfuasi wa Mungu mwenye nguvu zote wakati huna uwezo kwa Kucheza na vitu vya...
  4. Watu wote wanaoandaa chakula, hasa kachumbari wanatakiwa kuvaa gloves

    Nadhani hakuna chakula kinachosambaza magonjwa Tanzania hii kama kachumbari. Mtu anaenda maliwatoni na maji ya kopo. Hata hajajitawaza vya kutosha anakuja kukata kachumbari. Wewe unapewa hiyo kachumbari unafakamia. Magonjwa mengi sana yanaenea kwa mtindo huu. Amiba, vidonda vya tumbo, typhoid...
  5. Jeshi la Israel (IDF) lashutumu kundi la Hamas kutumia Raia kama ngao ya kujilinda dhidi ya mashambulizi

    Kupitia ukurasa rasmi wa account ya Jeshi la Israel (IDF) kupitia mtandao wa Facebook. Jeshi la Israel limeshutumu kundi la Hamas kutumia Raia kama ngao ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya Israel. Intelijensia ya Israel inasema kuwa imefanya utafiti kujua makombora ya Hamas yanatoka upande...
  6. M

    Research design ipi ni nzuri kutumia kwa title ya pandemic outbreak kama COVID-19?

    Wakuu habari za weekend, Naomba kuuliza, hivi unapo conduxt research kwa title za natuaral disaster kama COVID-19 , NI RESEARCH DESIGNI ipi ni nzuri kuitumia hasa kama unatumia case study ya mkoa mmoja katika taasisi moja? Na je sample size and techiniques , katika designi iyo ni ipi ina kuwa...
  7. TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja

    Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imewataka wananchi na makampuni kiujumla ambazo kwa asili ya kazi zao hawawezi kuepuka matumizi ya VPN kutoa taarifa juu ya VPN wanazotumia na taarifa muhimu kabla ya Oktoba 30 mwaka huu. Aidha mamlaka hiyo imesema iwapo itabainika umetumia VPN kinyume na kanuni...
  8. M

    Hospitali za Umma Tanzania kutumia rasilimali finyu za Taifa kwenye mambo yasiyo vipaumbele

    Nimesoma kwenye mtandao wa Instagram kwamba Hospitali ya Mloganzira itaanza kuhudumia wanaotaka kuongeza au kupunguza maumbile ya mwili kama matako, matiti nk. Je, ni sahihi kwa taasisi kama hii kutumia fedha za umma kushughulikia masuala kama haya badala ya kutumia fedha hizi kufanya tafiti za...
  9. Serikali ya Tanzania ianze kutumia (inunue) minibuses kwa ajili ya kusafirishia viongozi kwenye ziara kama wafanyavyo China

    Ili kuepukana na gharama za ununuzi wa magari ya ghali kila mwaka kwa ajili tu ya kusafirishia viongozi mbalimbali ni vyema sasa serikali ikaja na utaratibu mpya. Nina shauri serikali kuanza kununua minbuses maalumu kwa ajili ya kubebea viongozi katika safari kama ziara mbalimbali ili kuepuka...
  10. Kuna madhara gani kutumia mafuta yaliyopita muda wake?

    Haya mafuta yapo mengi madukani yameexpai, chukueni hatua wahusika.
  11. R

    Rais Samia anatumia muda wake ndani na nje ya nchi kuwaza na kushughulikia matatizo ya watanzania

    Mhe. Rais amepanda ndege nje huko akiwa na majalada na documents akiendelea kuteua na kutengua. Ila wapo viongozi ambao wakisafiri na kazi zinisimama hadi arudi. Hii ni salam kwenu. Aidha ,Kuna watu wanaweza wasione juhudi na nguvu kubwa anayowekeza Mhe. Rais katika kufanya majukumu yake. Kuna...
  12. Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza Cybersecurity,Jinsi ya kujizuia kupata Cyber Attack Pia Ethical Hacking kutumia Termux na Linux enviroment

    Dunia ya sasa imejaa technological advancements nyingi ambazo zimeathiri kila eneo la maisha yetu, kutoka kutuma na kupokea pesa Dirisha la mhasibu hadi kufanya hivyo mtandaoni tena bila kuonana na mtu yoyote... Kutoka kusoma chini ya mti hadi kusoma ukiwa sebuleni kwako au chumbani kwako...
  13. Wao wakishinda magoli ya offside na nyie shindeni pia ya hivyo hivyo. Mambo ya kulalamika wakati wewe umeshindwa kutumia nafasi hayana maana

    Kitendo cha mashabiki wa Yanga kuanza kulalamikia bao la John Boko kuwa alikuwa offside naona ni kupotezeana muda tu, Boko kafanya home work yake iliyomfanya awe uwanjani na kaikamilisha na refa karuhusu kuwa ni goli halali makekele ya nini? Ukiona mwenzako anatumia mbinu za kimafia kushinda...
  14. CCM "wakome" kutumia Magari ya Wafadhili kwenye Mikutano Yao!

    Jana nilipiga Maeneo ya Lusahunga, Nyakahura na Nyakanazi kwenye kutafuta mkate wa Kila SIKU. Kwa bahati mbaya sana nimekutana na "Ujinga" wa Karne wa CCM kutumia Magari yalitoyotelewa Kwa msaada Kwa miradi mahususi (DFPA) kwenye mkutano wao. This is unacceptable na ujinga wa hali ya juu...
  15. Je, unaweza kutumia muda gani kurejea nyumbani baada ya kwenda kutafuta maisha?

    Wanasema Mafanikio ni Mchakato. Ni mchakato unaochukuwa muda mrefu. Now days imekuwa ni moja ya changamoto kwenye jamii na Familia zetu. Watu wanapoenda kutafuta masha wanashindwa kurejea Nyumbani hata kwenye matukio ya ulazima kama vile "Misiba" "Sherehe" na hata mambo mengine kama vile...
  16. Kampuni 3 zapigwa faini ya Tsh. Milioni 158.8 kwa kutumia vibaya Taarifa Binafsi za Wananchi

    Kampuni hizo ni pamoja na Mulla Pride Ltd, iliyopigwa faini ya Tsh. 50,404,970. Taasisi hii inamiliki 'App' za kutoa huduma za Mikopo za FairCash na KeCredit, imebainika kutumia Taarifa Binafsi za Wateja ili kudai Madeni . Pia, kuna Klabu ya Starehe ya Casa Vera Lounge ambayo imekutwa na Kosa...
  17. Jadon Sancho azuiwa kutumia vifaa vyote vya kikosi cha kwanza Man United

    Jadon Sancho Uamuzi huo ambao umeelekezwa anapokuwa kwenye Viwanja vya Mazoezi vya Carrington, umechukuliwa ikiwa ni mwendelezo wa adhabu kutokana na mgogoro wake na Kocha wa ManchesterUnited, Erik ten Hag Sancho amegoma kuomba radhi baada ya kumshambulia kocha wake kupitia Mtandao wa Kijamii...
  18. Betting: Niliamua kuacha kubeti baada ya kutumia zaidi ya Tsh. 450,000/- na kuambulia patupu pamoja na kutapeliwa Tsh. 100,000/-. Kuna funzo kubwa

    Mwaka 2012 mwishoni nilishawishika kuanza kubeti baada ya kushuhudia rafiki yangu aliekuwa akibeti kwa muda mrefu hatimae katandika shilingi laki 4 na elf 30 kwa dau la elf 2 pekee, nilimsindikiza kwenda kuwithdraw na kwa macho yangu niliona akipewa pesa cash taslimu, nilipagawa! Akaanza...
  19. Hatimaye GO BET waomba radhi kwa kutumia lugha ya kuudhi

    Baada ya kutumia neno la kuudhi wameamua kuomba radhi ingiwa wametumia maneno ya kijanjajanja
  20. CHADEMA iende kuwekeza nguvu Zanzibar

    Hakuna wakati muafaka Kama huu kwa chama Cha CHADEMA kwenda kuwekeza nguvu Zanzibar. Sababu zangu kwa ombi Hilo ni zifuatazo. 1. Kwanza, Kwa Sasa harakati za kisiasa Zanzibar zimepoa baada ya Maalim seif Kuondoka duniani. Hivyo kwa Sasa upinzani Zanzibar hauna political figure kama ilivyokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…