kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknologia ya kisasa.

    Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknolojia ya kisasa, Tovuti za kijanja zinazotumia lugha namba moja ya Kiswahili, kwa wewe mgeni ambaye ujuhi Kiswahili, hakuna noma, bonyeza kitufe hicho , change language, oh Yes!, Gharama ni ya kawaida tu , sababu nina njaa. Lete...
  2. JamiiForums Tanzania Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknologia ya kisasa.

    Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknologia ya kisasa, Tovuti za kijanja zinazotumia lugha namba moja ya Kiswahili, kwa wewe mgeni ambaye ujuhi Kiswahili, hakuna noma, bonyeza kitufe hicho , change language, oh Yes!, Gharama ni ya kawaida tu , sababu nina njaa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini NIDA wanauliza maswali wakati nahitaji kutumia NIDA number?

    Nimeenda brela kusajiri biashara yangu tabutubu limited, nimetakiwa kujaza form ambayo inanihitaji niweke nida namba na nimeulizwa maswali kibao utadhani namba ya nida nimeiba.. Nimeulizwa kijiji na mtaa nilio andikisha nida.. mimi nimeandikiswa tegeta hata kijiji sikumbuki, mara shule niliyo...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutumia ‘drone’ kwenye uchimbaji wa madini Kijiji cha Lemishuku

    WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amefanya ziara kukagua shughuli za uchimbaji madini na kusikiliza changamoto za wachimbaji wadogo katika eneo la Lemishuku,Wilayani Simanjiro eneo ambalo ni maarufu kwa uchimbaji wa madini vito ya Green Garnet Waziri Mavunde amepata nafasi ya kukagua uwekezaji...
  5. JamiiForums Tanzania Mliowahi kutumia “Forever Living Product” Je ziliwasaidia?

    Ni zaidi ya Miaka 10 sasa naona hizi Product zao lakini nimekuwa naogopa sana kuzitumia. Naomba ushuhuda kwa mliowahi kuzitumia kama ziliwasaidia? Na Je zimethibitishwa na Mamlaka husika?
  6. JamiiForums Tanzania Kiwango cha Sukari unachotakiwa kutumia kwa Siku kulingana na Umri

    Kwa mujibu wa taasisi ya Moyo ya Marekani (AHA) binadamu yeyote ana kiwango maalumu cha Sukari anachopaswa kutumia kwa siku kulingana na umri wake. Watoto wenye Miaka 0 hadi 2 hawatakiwi kutumia Sukari kabisa Watoto wenye miaka 2 hadi 17 hawatakiwi kuzidi Vijiko 6 Vidogo vya Sukari kwa siku...
  7. JamiiForums Tanzania Je inawezekana kuijua ID ya mtu kwa kutumia screenshoot aliyoituma au link alizo share mtandaoni?

    Habari wakuu, Kwa mfano tupo kati kati ya mjadala fulani wa michezo nikaamua kuingia google nikaenda kwenye website ya mwanasport ni mfano tu lakini nikascreenshoot picha kama hii hapo chini Kisha nikaipost humu ili kunogesha mjadala Inaonyesha muda nilio screenshoot ni saa 12 na dakika...
  8. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Club ya Simba kutumia milioni 823 kusajili wachezaji waliofunga magoli mawili kwa msimu mzima

    Lionel Christian Ateba 🇨🇲 ◉ 02 - Years deal (Tsh 523 million) ◉ 16 - Games premier league 23 | 24 ◉ 01 - Goal scored. ◉ 03 - Assist Kibu Denis Prosper 🇹🇿 ◉ 02 - Years deal (Tsh 300 million) ◉ 26 - Games premier league 23 | 24 ◉ 01 - Goal scored. ◉ 02 - Assists ℹ️ Value for money iko sawa?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Wanarwanda kwa kutumia lugha yenu kujadili mambo yenu , baadhi ya Watz wangeweza kuingilia mijadala yenu na kuwashauri yaliyowashinda 😀

    Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda Endeleeni kuitana huku muendelee kujadili mambo yenu 🙏 INGAwa bado natamani Sana umoja wa EA ufikie level za juu kiasi kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Mgodi wa GGML waaanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa. Sasa watatumia Umeme wa TANESCO badala ya Mafuta

    MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTA 📌 Dkt.Biteko azindua kituo cha kupoza umeme cha GGM (MW 34) 📌 Asema kitaongeza mapato ya mgodi kwa Serikali 📌 Aipongeza GGM kuzipa kipaumbele kampuni za kizawa 📌 TANESCO kuingiza mapato ya sh.Bilioni 2 hadi 3 kwa mwezi Naibu Waziri...
  11. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kutumia mikutano Chadema kukamata jinai ni kuwatisha wananchi kujiunga na Chadema.

    Jeshi la polisi limesema baadhi ya wanachama wa Chadema wanashikiliwa kwa makosa ya jinai! Watanzania tujiulize hivi wizi, mauaji na ukabaji ni vitendo vinavyofanywa na wanachama wa Chadema tu? Ni wazi mtindo huu umeanzishwa na jeshi hilo kuwatisha wananchi wasijiunge na Chadema kwa kuhofia...
  12. JamiiForums Tanzania Kama hutaki kupigana vita vya kutumia nguvu za kiroho Mungu/giza kamwe sahau maisha safi! Utaishia kuwa masikini!

    Kuna wazazi hawataki watoto wao waongoze darasani kwa kuogopa kulogwa! Kuna watu wakichomoza katika biashara watagundua adui wake wa kwanza ni shetani baada ya kuanza kutupiwa majini na ndoto za mashambulizi usiku na nyoka/wanga/unawindwa kuuawa! Kama una ndoto za kuwa kiongozi kama ujajijenga...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unahisi unaweza kutumia kuelezea Maisha yako?

    NARINGA- ZUCHU Mh-mmh Nani Roney? Ah, Roney (he-hey, yoh Tron) Sing, mmh, eeh Let sing, come on, eeh Sioni aibu Kwa kila linalo nifika Maana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika Na sianguki, mimi nimechaguliwa Nnae mtegemea hachoki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine utayaelewa siku ukiwa muhusika, kwa sasa utaona kama vile hawajui kutumia vizuri nafasi zao

    Inawezekana kuna watu unawaona wa ajabu sana, unaona kama ungepewa uhusika wao basi ungefanikiwa ndani ya dakika moja 😊 Inawezekana ikawa kweli wapo kwenye nafasi wasizojua kuzitumia vyema au ikawa sio kama uonavyo ukiwa sio muhusika. Kuna watu wakikusimulia utaona kama vile wanakutisha hivi...
  15. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi Harmonize kutumia hili neno BOMBOCLAT? Mbele ya viongozi

    Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
  16. JamiiForums Tanzania Makamanda wa Hamas na Hizbullah waache kutumia simu za satellite za Ellon Musk

    Kufuatia minara yote ya simu na vinu vya umeme kubomolewa huko Gaza,Ellon Musk kwa kile kilichoonekana malengo ya kibiashara alisema ataunganisha jimbo hilo na mtandao wake wa mawasiliano wa star link.Israel ikamshutumu sana na yeye akarudi nyuma. Hata hivyo watu wenye ndugu zao nje huko Gaza...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenge wa uhuru utafutiwe nishati mbadala ya kuuwezesha kuwaka badala ya kutumia mafuta ya taa na utambi unaotoa moshi

    Bila shaka kichwa cha habari kinajieleza vizuri sana. Binafsi sina tatizo na falsafa ya uanzishwaji wa mbio za mwenge wa uhuru. Tatizo langu kubwa ni namna wanavyoweza kuathiri afya za wanaoukimbiza. Nishati inayotumika sio rafiki kwa afya za wanaoukimbiza na hata walio karibu nao mahali...
  18. JamiiForums Tanzania Kusoma nyakati kwa kutumia kivuli cha jua (Sundials)

    Habari zenu wadau, ni Bob tena katika moja na mbili..... Zamani wakati bado hakuna vifaa kama saa kwaajili ya kutazama muda, watu walikuwa wakitumia mbinu hii kujua wakati.( Sundials) Walichora duara chini na kuandika namba tofauti za muda, kisha kuweka kijiti katikati.... Kadri jua...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Propaganda za kisiasa kwa kutumia Akili Mnemba (AI) kuelekea 2024 / 2025

    Mwandishi anatupitisha kina na kutoa tahadhari ya jinsi ya kuepuka kuwa misukule ya habari, kipindi hiki kuelekea 2024 / 2025 Tunaangalia namna mabadiliko ya sekta ya habari na mawasiliano ikiwemo akili mnemba (Artificial intelligence-AI) yanavyoleta changamoto na umuhimu wa kuwa makini ili...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba muongoxo kwa Aliewahi kutumia wireless bulb camera

    Kuna hizi wireless bulb, naona ziko portable na unaeeza kuangalia popote, 1. Je cloud/live stream inalipiwa au ni free lifetime? 2. Ubora wake ukoje? Kama nina camera tatu, zote naweza kuzi manage katika app moja? 3. Kampuni gani ni nzuri?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…