kutumbuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chagua Kimoja unachohisi ndicho 'Kimemgharimu' Mtani wangu wa Kihaya Balozi Mulamula na Kutumbuliwa

    1. Exposure yake Kubwa Kimataifa 2. Kiburi cha Elimu na Akili Kubwa kutoka kwa Kabila lake 3. Kusimamia Sheria, Kanuni na Taratibu 4. Kutopenda Unafiki na Kujipendekeza kama walio wengi 5. Kutokuwa Muumini wa Uswahili Uswahili ( Uenyeji Uenyeji ) wetu Watu wa Pwani ya Bahari ya Hindi 6...
  2. tamsana

    JamiiForums Tanzania Nini kimetokea Prof. Kahyarara, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda kuwa RAS Geita?

    Kazi iendelee! Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS. Sijui nini...
  3. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sababu za Dkt. Kalemani kutumbuliwa Uwaziri, genge lamponza

    Watu wanasema, lile genge linaloitwa huko mitandaoni "Suk.... gyeng" Walijimilikisha hii nchi na yule mwendazake. Waziri Kalemani atumia kivuli cha ‘maagizo kutoka juu’Jamhuri August 18, 2021 Waziri Kalemani atumia kivuli cha ‘maagizo kutoka juu’2021-08-18T13:17:24+00:00 Na Mwandishi Wetu...
  4. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa, jukumu la kuwaondoa Wamachinga ni lako. Usilikwepe

    Mkuu wa Mkoa kuagiza Wakuu wa Wilaya wawaondoe wamachinga barabarani ni kuwapa mzigo wasiouweza asilani. Hawa wamachinga walikwisha pewa jeuri na viongozi wakuu wa taifa na tumeshuhudia waliojaribu kuwaondoa waliondoka wao! Wewe binafsi uliwahi kuwapa muda wa kuondoka kwenye eneo la ujenzi wa...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo Waandishi wa Habari wa Tanzania Manara akiwa Msemaji wa Simba SC na baada ya Manara 'Kutumbuliwa' hapo Simba SC

    Kauli za Waandishi wa Habari Haji Manara alipokuwa Msemaji wa Simba SC "Haji Manara ajirekebishe kwani tumeshamchoka na Vitendo vyake vya Kutudhalilisha huku akituita baadhi yetu ni Takataka. Kwanini Simba SC inamlea vibaya hivi huku akihatarisha Uhusiano wao na Sisi Wadau wao wakubwa wa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Waziri namtabiria muda wowote kuanzia sasa 'Kutumbuliwa' na Rais Samia, labda Nduguye 'amsalie' sana Ubungo Maji

    1. Ameingia katika Mtego wa Kujibizana na Mitandao ya Kijamii 2. Anatumia muda mwingi Kubishana badala ya kutoa Suluhisho. 3. Anataka Kumuonyesha Mtangulizi wake katika hiyo Wizara kuwa alikuwa hajui Kitu 4. Hajajua tu kuwa Mama hamtaki hapo ila anamuwinda tu amtoe na sababu imepatikana 5...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu kama kazi imemshinda ajiuzulu, walimu shule binafsi wanalipwa mishahara finyu na hasemi chochote

    Hata hajui unyanyasaji unaofanya na waajiri shule binafsi na she doesn't bother kujua yeye kutoa matamko tu yasiyotekelezwa. Walimu wanalipwa laki moja au mbili huko private na wanafanyishwa kazi mchana na usiku na hawaruhusiwi kabisa kuoa au kuolewa. Ukioa tu umejifukuzisha kazi. Simu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumushi, Mchengerwa: Maafisa utumishi wasiopandisha madaraja kutumbuliwa

    Hizi mbwembwe za awamu ya sita zipo kasi sana, anyway, yetu macho na masikio. === "Watumishi wote waliosimamishwa kazi na mashauri yao yamechukua muda mrefu waandike barua kwa Katibu Mkuu Utumishi na aniletee nakala kwa ajili ya kufuatilia"Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi...
Back
Top Bottom