kutuma pesa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkushi Mbishi

    Nawezaje kutuma pesa online nikiwa Pakistan kuja nyumban Tanzania?

    Habar za majukumu ndugu zangu,kuna jamaa tunahitaji kufanya biashara ya yeye kununua bidhaa hapa Tanzania na mimi kumtumia kwenda Pakistan, sasa yupo mbali sana na bank maana njia nyepesi ingekuwa ni western union au money gram kwahiyo hatoweza kuwa anaenda huko mara Kwa mara kutuma pesa. Je...
  2. Tommy 911

    Njia sahihi ya kutunza pesa

    Habarini wana jf mimi naomb wenye kujua njia ya kutunza pesa ukiachan na bank na mitanndao ya sm .....nnaingiza milioni moja kwa mwezi
  3. one one chief

    Bank kutuma pesa kimakosa

    Naomba wenye kujua wanijuze hili, kuna bank furani ilituma pesa kimakosa February 1 katika account yangu... na baada ya kuchukuwa statement ikaonekana na mshahara uliolipwa kutoka kaasisi furani. (Mimi sio muajiriwa wa taasisi yoyote). Baada ya siku tatu wakanipigia simu kupitia mtu wa bank...
  4. FRANCIS DA DON

    Airtel kutuma pesa kwenda kampuni zingine au bank: ‘Unable to fetch , bad details’

    Tangu jana usiku, nikitaka kutuma pesa toka Airtel money kwenye mitandao mingine ya simu au bank napata ujumbe wa ‘Unable to fetch, bad details’ Je, kuna taarifa yoyote rasmi juu ya tatizo hili? @airteltanzania
  5. Wakusoma 12

    Kwanini gharama za kutuma pesa kutoka Akaunti ya benki kwenda mtandao ya simu ni kubwa sana?

    Hili suala limekaaje kitaalamu, mfano benki kama NMB ukitaka kutuma pesa kwa mtu kutoka kwenye Akaunti ya benki kwenda kwa namba yake ya simu Cha mtema Kuni utakiona. Je hii ni sawa wakuu? Kwanza gharama za makato hazionekani kabla ya kutuma pesa, ila utakutana nazo tu ukishatuma tayari. Hii si...
  6. Munch wa Annabelle

    Vodacom rekebisheni menu yenu ya Mpesa kwenye kutuma pesa mitandao mengine

    Mteja sio panya mpaka muwaekee mtego kama ule wa makusudi kabisa kwahiyo mmeamua kuuza vocha kwa lazma? Je hamuoni kama huo ni wizi yanI mnamtega mteja anunue vocha badala ya kutuma hela, naomba muitoe option ya kutuma kama vocha kwenye sehemu ya kutuma hela haraka sana sawa tunakubali sisi ni...
  7. H

    Kutuma pesa mitandao ya simu ya Tanzania ukiwa Kenya

    Habari wana JF Naomba uzoefu Kwa mtu ambaye amekuwa akisafiri kwenda Kenya na ana akaunti NMB je akiwa Kenya aliweza kutumia huduma za kwenye app ya NMB mfano kutuma pesa kwenda mitandao ya simu? Kwa kifupi issue yangu iko hivi nina akaunti NMB nitaenda Kenya hivi karibuni nikiwa huko nitakuwa...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Njia ya haraka ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania

    Habarini wakubwa, ni njia ipi ya haraka Ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania?
  9. Harrykany

    Msaada wa kutuma pesa toka Kenya kwenda Tanzania (Safaricom - M-Pesa)

    Naomba kupewa maeleza step by step namna ya kutuma pesa, toka Kenya kwenda Tz kwa njia ya M-Pesa. Asanteni
  10. Red Giant

    Mpesa inakataa kutuma pesa tigo pesa, TCRA waangalieni hawa voda.

    Siku nyingi. Nikijaribu kutuma pesa kutoka Mpesa kwenda Tigopesa inakataa. Inarudiarudia kusema niweke namba ya siri hata mara kumi. Nahisi Voda wanafanya hili makusudi, labda wana bifu na Tigo. Maana hata kununua airtime tigo kwa kutumia Mpesa haiwezekani. Kama wana bifu, basi linatukwamisha...
  11. K

    Hakuna taifa linaloweza endelea kwa kuongeza tozo bali kwa kuchochea uzalishaji

    Hili jambo limetufika wote na linatuathiri sote hawa watu wamedhamiria kutufanya tuzidi kuwa masikini huku wao wakineema. Dunia nzima Hakuna tozo kama hizi,tupeana maujuzi zaidi jinsi ya kukwepa dhuluma hizi tutumie nini sasa kufikisha pesa tutumie uber, bodaboda, parcel,mtu,konda, haingilii...
  12. U

    Apps za kutuma pesa

    Naomba kujuzwa kuhusu hizi app za kutumia pesa toka ughaibuni kuja Tz. Nasikia kipindi hili cha uchaguzi zimezuiwa kwa muda kufanya kazi hapa Tanzania.
  13. P

    Ni huduma gani bora ya kutuma na kupokea fedha nje ya Tanzania?

    Nimekuwa napata shida sana kupata njia nzuri ya kutuma na kupokea fedha kutoka nje ya Tanzania. Kwa muda mrefu nimekuwa natumia Western Union na MoneyGram kwa sababu ni njia za uhakika na naweza kupokea kiasi kikubwa cha pesa. Ila njia hizi zina changamoto zake ambazo zinanifanya niendelee...
Back
Top Bottom