kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushawai tongozwa au kutongozwa kutoka group la wasp

    Wengi tuna magroup ya wasp ambayo mengine ya ovyo mengine ya heshima je katika hayo magroup ushawai tongozwa na mtu katika hayo magroup kwa wanawake au wanaume au ushawai kutongoza na wewe ulikuwa unajaribu tu baada ya kuona kama kuna wepesi fulani?
  2. JamiiForums Tanzania Kutoka mitandaoni ,kutana na Mmoja ya wanaume wapuuzi wa kizazi cha leo

    Mnajua Wanawake wanatuhitaji sana sisi wanaume ndicho kitu walichoumbiwa. Mwanamke inabidi ndio awe mwenye Furaha sana pale unapomwambia Ninakuoa !!. Et waoo kasema ' ndio' , Kwa lugha nyingine Jama alikua Kwa Mahusiano ambayo bado Demu alikua na Option nyingine !!. Hivi inakuaje Mwanaume...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Kutoka damu kwenye uume

    Habarini Wana JF Kama mada inavyosema kwa siku ya Jana nilikua nipo kwenye shoo na mtoto mzuri Sasa katika purukushani za yeye kukwepesha mzigo nikajikuta nimeigongeza pembeni Yani njee ya tundu ambapo baada ya mdaa damu zilianza kutoka ila nikiangalia kwa njee nipo vizuri na inasimama ila...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Salaam kutoka kwa Trump: Kwa baridi hili nitafutieni wa kunanii

    Yaani huku ni baridi sana na watoto wa huku mambo mengi. Imagine saa hizi ngoma inagonga negative degrees, yaani muhuni najiboost kwa bacardi tu. Hebu nipeni mama.
  5. JamiiForums Tanzania Inawezekana vibwengo ni viumbe wageni kutoka sayari nyingine(aliens) wanaozuru duniani

    Kuna stori nyingi hasa za wanafunzi wa shule za sekondari kuona au kukutana na viumbe wa ajabu ajabu wasioeleweka ambao wamepewa jina maarufu la vibwengo. Stori nyingi huwa zinawahusisha hawa viumbe wanaodaiwa kuonekana na uchawi, tatizo kubwa Waafrika mambo mengi yasiyoeleweka huwa...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Nategemea tamko 'LAINI' kutoka Kamati Kuu ya CHADEMA

    - Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu. - Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao. - Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa. Asanteni kwa kunisikiliza. Expect same shit from the same goons. Rest In Peace Comred Maalim Seif, if you were you today...
  7. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msipokee rambirambi wala salamu za pole kutoka kwa wale wanaowaua kwasababu za kisasa

    Kwa mujibu wa post ys Tundu Lissu kwenye mtandao wa X, aliekuwa mgombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa huko Manyoni mkoani Singida, bwana George Juma Mohamed aliepigwa risasi na kufarika, anatarajiwa kuzikwa leo. Witio: Tusiruhusu watesi wetu wafike msibani kwa lolote na wala...
  8. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Anaandika Lyenda kutoka X: SHIDA ZA UCHAGUZI 2024

    LYENDA (iamLyenda) posted at 5:57 PM on Wed, Nov 27, 2024: Tunachukua fomu kwa SHIDA. Tunarejesha fomu kwa SHIDA. Tunateuliwa kwa SHIDA. Tunafanya kampeni kwa SHIDA. Tunapiga kura kwa SHIDA. Mawakala wanasimamia kura kwa SHIDA. Tunahesabu kura kwa SHIDA. Tunatangazwa kwa SHIDA. Yaani...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Dubai

    Salam wadau, naomba kufaham shirika la ndege lenye bei nafuu kwa ajili ya trip ya Dar es Salaam to Dubai. Pia shirika hilo likiwa na huduma ya kushughulikia VISA litakuwa na sifa ya ziada. Naomba kuwasilisha
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake wananigombania, nisaidieni kutoka katika hili. Nimejitahidi, nimeshindwa

    Habari wanajukwaa. Huwa sipendi kuweka mambo yangu ya mahusiano wazi lakini hili limekuwa gumu nisaidieni Kama nilivyoandika hapo juu: Yangu nikiwa ndogo wanawake wadogo Kwa wakubwa wamekuwa wakivutiwa kufanya ngono NAMI Nakumbuka nikiwa mdogo kabisa na nikiwa sijui chochote, kuna Binti wa F4...
  11. L

    JamiiForums Tanzania JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka 2024 kutoka kwa wasanii wa kurap Tanzania?

    Karibu kwenye kipengele hiki kizito cha upi wimbo ulio bora na umefanya vizuri kwa wasanii wetu wa kurap Tanzania. Piga kura ili tumpate mshindi. Tuzo za Tanzania huwa zinalalamikkiwa kwa kukosa uwazi, sasa hizi atakeyekuwa na kura nyingi ndie ataibuka mshindi. Malengo siku moja, sisi wanachama...
  12. L

    JamiiForums Tanzania JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka Afrika kutoka kwa msanii wa kike?

    Helo! Zoezi la upigaji kura kwa ajili ya tuzo hizi umeanza. Pigia kura wimbo wako bora kati ya wasanii hao waliofanya vizuri Afrika kwa mwaka wa 2024.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na sintofahamu ya wananchi wanaohamishwa kutoka vijiji vya Utegi

    Kumekuwa na sintofahamu kwa wananchi wanaohamishwa kutoka vijiji vya Utegi, Wilaya ya Rorya. Hizi ni baadhi ya maswali yanayojitokeza: Hawa wananchi hawajaelezwa ni kwa nini wanahamishwa. Wananchi hawa hawajaelezwa ni wapi wanapopelekwa. Malipo yao hayakuzingatia tathmini kama ilivyo utaratibu...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

    Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume. Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Salam kutoka kwa Trump: Thanks giving week

    Kuanzia wiki hii, Marekani kumekuwa na shamrashamra za Thanks Giving ambayo inashehekewa kila Alhamis ya mwisho ya mwezi wa 11. Hata hivyo burudani huwa zinaanza kitambo. Mimi kwa mwaka huu nashukuru kuwa hai, kuwa Marekani na saa hizi nimeona nijipige unywaji. Nimejinunulia mavitu mazito ili...
  16. JamiiForums Tanzania Habari wana jf kuna ujumbe nimepata kutoka google play kuusu usajili ku canceled na sijajua kama ntarudishiwa pesa na kama ntarudishiwa itachukua mda

    Msaada ndugu zangu pesa inaweza kurudi
  17. JamiiForums Tanzania M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

    Kampuni ya vodacom &Sanlam imeanzisha mfuko wa uwekezaji ambapo mwekezaji atapata faida 13% kwa mwaka . M-wekeza ni huduma inayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada. Wateja wote wa M-Pesa...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Biashara ya Kuagiza Nguo za Special za Kupoint Mtandaoni kutoka Alibaba - Je, Inalipa?

    Habari wana JF, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuagiza nguo za special za kupoint kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni, hasa kwenye mitandao kama Alibaba. Hii ni biashara ambapo nitachagua nguo chache chache kutoka kwa wauzaji tofauti, badala ya kuagiza kwa wingi. Ningependa kujua...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu Kutoka Maktaba 1989 Askofu Mkuu Marko A Mgulunde, Pd. W. Slaa na Mama Getrude Mongela

    Mhashamu Askofu Mkuu Marko A Mgulunde akimpongeza Mama Getrude Mongela mara baada ya kutoa mada yake iliyohusu uhusiano wa kanisa na serikali kwenye warsha ya Caritas; huku Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Pd. W Slaa (kushoto) akiangalia. [PICHA Pd. Anthony Chilumba]...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Maji Ubungo Makubuli wiki ya tatu hayajatoka

    Katika kata ya Ubungo Makubuli baadhi ya vijiji vyake ikiwa Kibangu, Wanaichi kwa wiki tatu sasa wamekosa huduma ya Maji kutoka DAWASA hivyo kupata shida na kuhofia mlipuko wa magonjwa na hawana msaada wowote.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…