kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Irene uwoya ni mfano hai tuliojionea kupitia Tv kuwa ni hatari kupokea ushauri wa ndoa/mahusiano kutoka kwa mwanamke asiye na ndoa.

    STUPID ME. Moderator naomba mnisaidie kufuta huu uziπŸ™πŸ™ Active Moderator Boqin BlackBold celix 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
  2. JamiiForums Tanzania Unafahamu katikati ya wewe na kitu unachokiona kuna nafasi (space) na nafasi hiyo ikiondolewa hutaona?

    Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi. Hali ingekuwaje kama nafasi hiyo isingekuwepo kabisa, yaani wewe na unachokiona mnakuwa mmeshikamana...
  3. JamiiForums Tanzania Kutoka DXOMark, Hii ndio Top 10 ya Simu zenye camera Kali hadi Sasa.

  4. JamiiForums Tanzania Matumizi ya ugoro yamekithiri sana kwa vijana wadogo just imagining mtu anaagiza ugoro kutoka Sweden..

  5. JamiiForums Tanzania Makonda: CRDB na NBC zimeshusha riba ya mikopo kwa wasanii kutoka 9% hadi 7%, baadhi ya masharti yameondolewa

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa Serikali kupitia Mfuko wa Waandaji wa Maudhui (Content Creators) imefanikiwa kushirikiana na benki za CRDB na NBC kupunguza kiwango cha riba ya mikopo kwa vijana na wasanii kutoka asilimia 9 hadi asilimia 7. Makonda...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Malias

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Maliasili na Utalii katika mkutano wa hadhara kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa muda mrefu unaohusu mipaka ya kiutawala na mpaka wa msitu wa Kazimzumbwi...
  7. JamiiForums Tanzania Huenda Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akapokea gari jingine jipya binafsi kutoka kwa wafaddhili wa siasa zake chadema.

    Ni gari dogo zuri tu, binafsi kwaajili ya matumizi yake mwenyewe na ya familia yake, kama ambavyo pia aliwahi kupewa na marafiki zake kipindi cha hapo nyuma. Je, kwa hali ya kisasa ilivyo ndani na nje ya chadema kwasasa dhidi yake, unadhani ni wakati muafaka kwa kiongozi huyo kupokea gari hilo...
  8. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo pc 5

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 5 tu. Bei ya Khanga: sh 17,000/=. Karibu kuchagua na kuweka oda yako, tupigie 0784 829565. @radhiyastore @prathrealestate
  9. JamiiForums Tanzania Live kutoka Serena Hotel, Sandaland anazungumza na waandishi wa habari

    https://www.youtube.com/live/qn7FSG-L5wc?si=CVINE4L-6CTbtkhD
  10. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ni hatua gani zinapaswa kutumika kurejesha usalama Wilayani Tunduru ambapo Wafugaji na Wakulima wanapingana?

    Ndugu zangu, Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea kwa moto. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, hali katika Kijiji cha Chikomo ni ya wasiwasi baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Maneno magumu kutoka kwenye biblia.

    Hapa Mungu alikuwa amechoshwa sana na ujinga wa watu. Zekaria 11:9. ". . . . Atakayekufa na afe! Atakayeangamia na aangamie! Na wale watakaobaki na watafunane wao kwa wao.”
  12. JamiiForums Tanzania Safari ya Windows: Kutoka '95 Hadi '11 na Siri Zake

    Win 95: Sauti yake maarufu ya kuwaka (startup sound) ilitengenezwa na mwanamuziki Brian Eno akitumia kompyuta ya Mac! Win 98: Ilileta "Blue Screen of Death" (BSOD) live jukwaani mbele ya Bill Gates wakati akionyesha muunganiko wa USB. Win Me: Ilikuwa na crash nyingi hivi kwamba watumiaji...
  13. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Hospitali ya Manispaa ya Singida iboreshe njia ya kupitisha wagonjwa kutoka jengo moja kwenda lingine

    Mimi kero yangu ni Hospitali ya Manispaa ya Singida zamani Hospitali ya Mkoa imejengwa majengo mapya ila tangu majengo hayo yaanze kazi ni miaka kadhaa sasa wahudumu wanateseka kupeleka wagojwa Wodini, Maabara na Radiologia kutoka Emergency pamoja na maternity. Hiyo ni katika mchakato wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msaada please kupata case law hii kutoka kituo jumuishi Temeke (One Stop Centre temeke)

    please aliyeko Kituo jumuishi Temeke ie one sop centre temeke aliwekee acase law hii iliyohukumiwa na jaji Sarwat Miscellaneous Civil Application No. 25152 of 2024 kati ya Aloys rwehabura vs Perfectus Ruteganya Haipatijani TanzLii
  15. JamiiForums Tanzania Mfumo wa e-ardhi unavyofanya kazi kutoka wizara ya ardhi

    https://youtu.be/hOY_UYsoqiI?si=dlv7lgmJRF0hxHfw
  16. JamiiForums Tanzania Wana JF jifunzeni kutoka kwangu.(somo nimelipata)

    Bila shaka somo nimelipata sasa.. Binafsi nilikuja humu kwa nia ya kutaka kujifunza, lakini pia kuweza kutoa kidogo nilicho nacho ili niweze kusaidia wengine huku nikiwa bora zaidi. Ofcourse mimi sio mtakatifu nina mapungufu yangu kama kila mtu.. Ila leo ndio lile somo kuu limeniingia Ya...
  17. JamiiForums Tanzania Neno la bwana kutoka kitabu cha Isaya sura ya 45 mstari wa 7

    Isaya 45:7 "Mimi hufanya mwanga na kuumba giza; huleta fanaka na kusababisha balaa/uovu/majanga. Mimi Mwenyezi-Mungu hutenda vitu hivi vyote."
  18. JamiiForums Tanzania Inawezekana Tunashuhudia madhara ya kuruhusu walimu kutoka nje ya nchi kuja kufundisha shule zetu za private

    Tunashuhudia wahitimu vilaza mno wasiojua kutofautisha R na L ...lakini waliokosa uzalendo na wenye matusi kwenye mbongo zao na ndimi zao. Kwangu mimi haya ni matokeo ya kuifanya Elimu kuwa ni biashara badala ya huduma muhimu kwa Taifa. Hatujachelewa ni muda muafaka sasa wa kuongeza regulations...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Pompom za Magufuli hadi Vita na CHADEMA: Mange Kimambi Anapigania Mabadiliko au Anavuruga Upinzani?

    Mange Kimambi ni mmoja wa wanaharakati wa mtandaoni wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Tanzania, ambaye safari yake ya kisiasa imepitia mabadiliko makubwaβ€”kutoka kuwa kada na mpambanaji wa dhati wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hadi kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali. Ili kuuelewa uanaharakati wa...
  20. JamiiForums Tanzania MPYA MAMA CATHERINE: KUTOKA MAMA WA NYUMBANI HADI KUMILIKI BIASHARA YA KUBWA YA ICE CREAM

    Watu wengi wanaota kuwa na biashara yao wenyewe, lakini mara nyingi wanaahirisha kwa sababu wanaamini wanahitaji mtaji mkubwa sana ili kuanza. Mama Catherine naye alianza akiwa mama wa nyumbani, bila kujua kwamba wazo dogo alilokuwa nalo lingeweza kubadilisha maisha yake. Alianza kuuza ice...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…