kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CCM kutoa form ya Urais kabla ya kumpumzisha Ndugai ni kutoka na utu na aibu

    Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Unayejaribu kutoa fomu mbili jitazame hatutanii siye

    Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
  3. JamiiForums Tanzania Nataka kwenaa kutoa Pole kwa Familia ya Job Ndugai je, niende kwa Mjane Stellah au niende kwa Mjane Fatuma?

    Ukijijua huna IQ ya Kuuelewa huu Uzi na kunielewa Zanaki, Yao na Tutsi Genius tafadhali achana naa endelea na yako tu.
  4. JamiiForums Tanzania Hakuna Shahidi Anayeweza Kutoa Ushahidi Kwa Kificho Halafu Asijulikane Milele

    Uamuzi wa Mahakama wa kuruhusu mashahidi wa kificho, kwa kweli ni uamuzi wa kishetani, unaolenga kudhulumu haki. Hii ni njia ya waliombambikizia Lisu kesi ya uhaini, kuwatafuta mashahidi wa kutengenezwa. Hakuna msema ukweli anayeweza kuogopa kujulikana. Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kuleta...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
  6. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutoa matokeo ya mchakato wa kuteua mgombea ubunge wa CCM kwa kila jimbo.

    Ni vyema JamiiForums wakatoa updates hapa ili mambo yote yawe kwenye sufuria moja. Sina updates za uhakika mpaka sasa
  7. JamiiForums Tanzania DART: Marufuku watoa Huduma Binafsi kutoa taarifa za Usafiri wa Mwendokasi (BRT) ikiwemo mikataba

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetangaza marufuku kwa Watoa Huduma Binafsi kujihusisha na utoaji wa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu utekelezaji wa michakato mbalimbali ya Mradi wa BRT ikiwemo suala la mikataba na mipango. Taarifa kwa Vyombo vya Habari, Agosti 4...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Yas kutoa huduma kituo cha Biashara, Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC)

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas, Pierre Canton Bacara (katikati), akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (kulia), wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC), iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar...
  9. B

    JamiiForums Tanzania BOT: Tunageukia kutoa elimu fedha kwa kilimo cha mbogamboga na nafaka

    01 August 2025 BOT ACADEMY, WFP KUSHIRIKIANA KUTOA ELIMU YA FEDHA KWA VIJANA https://m.youtube.com/watch?v=WugyiK5DhAY A big step for Tanzanian youths in agri-finance Hon. Gov. Emmanuel Tutuba and WFP’s Christine Mendes launch the Certified Financial Educators Initiative — empowering 150...
  10. JamiiForums Tanzania Sasa Kigoma Kabingo Kasulu hadi Burundi ni lami tu lakini ni baada ya Rais Samia kutoa TZS800bn

    https://youtu.be/MQdQ5Sh0Yzw?si=ltQZuh2mTXdjErYc Kuna mambo tunaweza kubishana au kubishania ila sio kazi kubwa alizofanya Rais Samia ndani ya Miaka 4. Rais Samia kwa Ushirikiano na AfDB wanajenga Barabara yenye urefu wa kilometa 305 kutoka Kabingo–Kasulu–Manyovu hadi Burundi kwa thamni ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa RNB tusihangaike kutoa maua hovyo Ben paul ndiye king

    I salute you kinsmen. Sipo hapa kuwavunjia heshima manguli wengine walioimba RNB kabla ya benpol. Hao kina Rama dee walikuwepo sawa lakini walikosa consistency ndio maana.. Ila benpol ni kichwa kikubwa sana akiamua kuimba anaweza sana tu Tukumbuke alikuwaga kwenye label ya wagumu tu...
  12. JamiiForums Tanzania Rafu Zimechezwa nyingi sana, Je tunakwenda kutoa Rais wa aina gani ?

    Viongozi wa nchi hamfikirii Mahakama hamfikirii Tume ya Uchaguzi hamfikirii Usalama wa nchi hamfikirii Hamfikirii kwamba tunapanda mbegu inayoenda kulimaliza hilo taifa kwa maslahi ya watu wachache mno ambao in next 15 to 20 years huenda wakawa mavumbini based on WHO life expectancy extracts...
  13. JamiiForums Tanzania Kutoa Kadi ya Mualiko

    Kuna Rafiki yangu ana owa kesho. Ametoa Kadi za Mualiko. Sasa Kuna Baadhi ya Rafiki Zetu wanasema angetoa hata kadi za mchango. Naomba ufafanuzi wenu kwani kutoa Kadi za Mualiko au Kuto kuomba watu michango ya kuendeshea shunghuli yako unaweza athiri Jamii au Rafiki zako. Kwa mtazamo wangu...
  14. JamiiForums Tanzania Huu msemo wa kusema kutoa ni Moyo na si utajiri umekaa kitapeli na kihuni sana

    Wakuu hii kauli imekaa kitapeli sana eti kutoa ni Moyo na si utajiri!? How? Imagine umechapisha kadi za ufadhiri na kianzio umepanga Single iwe 150k Double 280k Halafu mwishoni unaandika maneno ya kitapeli eti kutoa ni Moyo Wala si utajiri. Tuambizane hapa ukweli ni masikini yupi anaweza...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia za mapolisi wetu, ukimkuta mtoto aliepotea na anatafutwa upo tayari kutoa ushirikiano ?

    Umekuta mtaani mtoto aliepotea anatangazwa kutafutwa, unapiga simu kwa wazazi wake waje kumchukua. Mapolisi wanaenda kwa wazazi wanafatilia nani aliemrejesha, hata kama walifuta namba wanaweza kufuatilia kwenye mitandao. Shida inaanza wakianza upelelezi japo sio mapolisi wote
  16. JamiiForums Tanzania Unaenda ukweni kutoa posa unakuta beki tatu ya ukweni ina NYAASHI ya kufa mtu

    😂🙌🤣
  17. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Tundu Lissu Agosti 12, 2025

    Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Agosti 12, 2025 kutoa uamuzi wa maombi ya mapitio yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano, Julai 16, 2025 na Jaji Elizabeth Mkwizu, baada ya kusikiliza...
  18. JamiiForums Tanzania Badala ya kutoa stress na pombe kila wiki, hio hela katembelee mbuga za wanyama

    kwa wale wapenda maji, nawashauri mjipe likizo mara moja mtumie izo hela kwenda mbugan ama kupanda mlima pia mnakuza vitambi sana
  19. JamiiForums Tanzania Simbaya: UTPC tunashirikiana na JamiiAfrica kutoa elimu ya uhakiki wa taarifa

    Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya amesema kuelekea katika Uchaguzi Mkuu 2025, taasisi yao imekuwa ikishirikiana na Wadau mbalimbali kutoa elimu ya masuala taarifa potofu ili kuhakikisha Jamii inapata taarifa sahihi na kuwasaidia kufanya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazowafanya wanyama wa kike kushindwa kutoa maziwa pindi wakiwa wamezaa

    --- 🐖📌 ELIMU KWA WAFUGAJI 🍼 Sababu za Msingi Zinazomfanya wanyama Jike Kushindwa Kutoa Maziwa + Suluhisho Kamili --- 🔍 Tatizo ni nini? Nguruwe jike asipotoa maziwa, watoto hukosa lishe ya awali (colostrum) muhimu kwa kinga na ukuaji. Hali hii huathiri uzalishaji na afya ya watoto, hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…