Yaani nafikiria tu nikiiba naweza kesho nikaenda kwa mwenyewe nikamuomba msamaha na akanisamehe. Haya sasa je ukimtoa mtu roho hata ukaenda mbele za mungu kuomba msamaha bado utakuwa hauna amani.
Maana haujui kama umesamehewa ama namna gani.
Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo huwezi kuipoka kwa namna yoyote ile, you cannot abrogate freedom of expression.Hii haki ya kikatiba...
Yamesikika maneno mengi na kejeli nyingi.
Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba. Wengine wanasema ukiscan jezi inakupeleka Mkuranga. Wengine wanasema moto umewekwa kuunguza mapafu kama...
Walimu tunahangaika sana
. Tunaishi kwa kutegemea mshahara tu. Ukiiba boksi la chaki kinaumana shule nzima.
Wenzetu wanajichotea mabilions of cash.
Lakini mtu anaweza kupiga bil 45+ bila kuwa na mtandao ambao atagawa mgao?
Jeshi la Polisi hivi karibuni limeanzisha mkakati wa kuboresha utaratibu wa leseni za Udereva kwa kuwataka madereva ili kukidhi sifa za madaraja waliyonayo wapate kozi kuhuisha sifa zao katika daraja lake la leseni.
Kero iliyopo sasa hivi ni urasimu wa vyeti kuchukua muda mrefu kusomeka kwenye...
Huu uzi uende sambamba na nyuzi hizi.
https://www.jamiiforums.com/threads/sare-za-traffic-wa-uganda-ni-za-ovyo-ukanda-huu-wa-afrika-mashariki.1983812/
https://www.jamiiforums.com/threads/sare-ya-trafiki-wa-uganda-unaipa-asilimia-ngapi.2272120/
Japokuwa rushwa ni rushwa lakini hapa unaweza...
Baadhi ya wanawake wajasiliamali wa Tarafa ya Karema Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wametoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao.
Wanawake hao akizungumza hivi karibu wamesema kukosa fedha za mikopo unazorotesha maendeleo yao, huku wakishangaa...
TRA imekuwa shirika butu
Linaacha watu wakifanya wapendavyo bila kuulizwa. Watoto wa vigogo wanapora na kula keki ya taifa wananunua magari ya bilioni, wakiishi maisha ya kifahari bila kulipa kodi wala kuulizwa vyanzo vyao vya fedha.
Serikali inapoteza mapato, huku TRA ikipambana na mawinga...
Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo.
Corona huwapiga zaidi watu wenye matatizo ya moyo
Buhigwe. Tarehe 27 Agosti 2025: Akizindua tawi la Benki ya CRDB wilayani Buhigwe pamoja na kupokea madarasa mawili ya shule ya sekondari, Makamu wa Rais, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango ameisifu Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kutanua huduma jambo linalosaidia kuongeza ujumuishaji wa...
Ni dhahiri sasa huu uchaguzi sio tena kwa ajili ya kuchagua wawakilishi wa wananchi. Ni dhahiri sasa hawa CCM hawapo tena kuhakikisha ustawi wa Tanzania. Wewe umeona wapi mtu anatumia gharama kubwa na mbinu za aibu eti kwa ajili ya kutaka kukuwakilisha?
Huu ni uchaguzi kwa ajili awamu nyingine...
Rais Kim Jung Un amewatunuku askari waliorudi salama na kutoa pole kwa familia za waliofia kwenye vita jimbo la Kursk
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amewapongeza na kuwatunuku askari wa Korea Kaskazini waliorejea salama kutoka vitani katika mkoa wa Kursk, Urusi, ambapo walishiriki...
Ni kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni muhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo wao ni wadogo kuliko taifa wawe na hofu ya Mungu kwani kundi la mtandao halina nia njema na taifa letu.
DODOMA. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na CCM dhidi ya Mchungaji Godfrey Malisa anayepinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho.
Mchungaji Malisa aliyefukuzwa uanachama Februari 10 mwaka huu...
Habari wadau wa Chitchat
Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom inatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania. Vodacom ilianza kutoa huduma zake rasmi tarehe 16/08/2000 kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa.
Wakiwa katika mwaka wa shamrashamra hizo mimi nikiwa kama mteja na mdau wao...
Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji hasa Mwenyekiti ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo...
Wakuu mko salama?
Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence)
Nini maana ya Queefing??
ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba.
Utajiuliza...