kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la hatari sana kutoa ushuhuda wa uongo!

    Hali hii naona ifike mahali itazamwe kwa jicho la tatu. Ukiwatazama hawa wanaojiita Mitume hasa kwa hapa DSM, kwa kweli kuna utata mno kwao, na kwenye baadhi ya shuhuda za wafuasi wao. Kwa akili ya kawaida tu ni wazi kuna watu wafuasi wanatoa shuhuda za uongo na sijajua ni kwa maslahi ya nani...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali tafuteni namna ya kutoa semina kwa wananchi juu ya kutambua wajibu wao.

    Nimeshaona kipindi cha upigaji kura kuna matangazo mengi kwenye vyombo vya kupashana habari,mitandao ya kijamii na kupitia mikutano ya kijiji inatoa semina kwa wananchi katika umuhimu wa upigaji kura,nimeona kelele za wanasiasa wakiwaambia wahitimu kuwa wajiajiri,nimeona makongamano mengi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kutoa ushuzi au kujamba katika Lugha ya Kingereza

    MSAMIATI UNAOTUMIKA KUMAANISHA ‘KUJAMBA’ AU ‘KUTOA USHUZI’ NI: 1. Fart: Hili ndio neno linalotumika sana. Huweza kutumika kwenye mazingira rasmi na yasiyo rasmi (Formal and Informal settings) Mfano: Jesca farts a lot. (Jesca hutoa ushuzi sana / Jesca hujamba sana) 2. Flatulate: Hili ni neno...
  4. JamiiForums Tanzania Habari Njema; Nimeidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Kutoa Elimu ya Fedha

    Rafiki yangu mpendwa, Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo. Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni utoto tu unanisumbua. Nikiwa shuleni nilifuata vizuri ile kanuni maarufu ya NENDA SHULE, SOMA KWA BIDII...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Leseni za utoaji maudhui mwiba wa Uhuru wa Kuwasiliana na Kutoa Habari

    Katika Tanzania tunayoipenda, uhuru wa kuwasiliana na kutoa habari ni nguzo muhimu kwa maendeleo ya jamii yetu. Hata hivyo, sheria ya serikali ya kutoza leseni kwa vyombo vidogo vya habari na burudani kama vile blogi, YouTube, na mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa kwa wananchi na...
  6. JamiiForums Tanzania Toyota Brevis na matunzo yake karibuni wajuvi kutoa ushauri

    Habarini za asubuhi wakuu , Samahani naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa magari na wengine ni mafundi mtoe ushauri hapa. Toyota brevis ni gari ambayo imesemwa maneno mengi na tunajua uzalishaji wake haupo tena na kila mtu anasema gari ni jini mara inakula mafuta mara spare zake ni ghali kila...
  7. JamiiForums Tanzania Nimedatishwa na Malaya wa Morogoro soon naenda kutoa mahari

    Kwanza picha linaanza Ile style yake ya mbuzi kagoma lahaula nusu nimwage ubongo wakuu nikajikuta nalia huku nauma meno wigi la nywele lake aisee huyu binti ni mnoma Sana aisee na kwenye kukatika Ndiyo babake aisee Wakuu kiukweli pesa yoyote niliyopata kwwnye semina kiukweli nimemwagia yeye...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali huwa inakuwa wapi kutoa ufafanuzi mapema?

    Kwa mtazamo wangu haya mambo yakuleta ufafanuzi baada ya kuibuka mijadala ambayo serikali inaona ni upotoshaji, Huwa inaleta sana ukakasi na sitomfahamu nyingi kwa wananchi kwanini wasiwe na utaratibu wakutupa taarifa yakila mikataba/mikopo mapema na kwa uwazi zaidi. Isiwe inakaa kimya mpaka...
  9. JamiiForums Tanzania Halii, haguni wala kutoa mlio wowote

    Kama nimekosea jukwaa samahanini sana, jioni ya leo nimekutana na mhalifu wangu aliyenitia hasara za hapa na pale. Sasa kwenye kumwadhibu akawa ananichora tu, amerelax, halii, hacheki, haguni wala kutoa ishara yoyote kuashiria kipigo kinamwingia. Hali hii imenikatisha tamaa.
  10. JamiiForums Tanzania Benki zinavujisha taarifa za wateja

    Kuna jamaa yangu mmoja anapanga kuwafungulia mashtaka benki moja maarufu nchini kwa kufanya yafuatayo 1.Kutoa taarifa zake kwa mtu binafsi, ikiwapo benk statement, kuonesha kiasi alichonacho, 2.Pili na kuhold account ya jamaa kisa, anadaiana na mtu akatumia advantage ya kujulikana serikali...
  11. JamiiForums Tanzania Makonda ampa Kiongozi wa Ardhi dakika 5 kutoa hati ya Mwananchi

    Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemtaka kiongozi wa ardhi kumpatia haki babu wa miaka 81 ndani ya dakika tano kwani hati hiyo ameifuatilia kwa muda mrefu sana.
  12. JamiiForums Tanzania Naishauri Yanga na wachezaji kususia siku itakayopangwa na TFF kutoa tuzo za masharti

    Ndugu zangu wa Yanga kama nilivyoandika kwenye kichwa changu cha habari. Siku itakayopangwa na hao wahuni kwa lengo la kutoa hizo tuzo zao, msihudhurie. Maana itakuwa haileti mantiki. Mkifanya hivyo, litakuwa ni funzo kubwa kwao. Ila mkihudhuria, basi mtambue fika hawataacha kuendelea...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu?

    NB: pesa hizi hazihusiani na ubingwa, kila team inapewa Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu? Ewe mdau wa soka la Tanzania, umeona mabadiliko?
  14. JamiiForums Tanzania Arusha: Wahasibu mbaroni kwa kutoa risiti bandia za EFD za mapato ya Serikali

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia Mtumishi (Mhasibu) wa halmashauri ya Wilaya ya Karatu huku likimsaka mwingine kwa tuhuma kuhujumu mapato ya Serikali kwa kutoa risiti bandia za EFD. Kulingana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu Juma Hokororo amesema watumishi hao...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Ujerumani na Italy zakataa mpango wa NATO wa msaada wa silaha kwa Ukraine kushambulia ndani ya mipaka ya Urusi

    Katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amezitaka nchi za NATO kuipa silaha Ukraine ili ishambulie ndani ya mipaka ya Russia hasa military targets. Mpango huu umekuja baada ya Ukraine kutembezewa kichapo cha kutosha kutoka kwa Russia na majeshi ya Russia kuzidi kusonga mbele kuelekea mji muhimu wa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi ifanye reform next season kila team kuwa media team kutoa content

    We miss out alot of contents from other lower teams. my thoughts is less information is shared about these teams leading to fewer fans, and unknown good players. My advice to Tanzania league board is to make mandatory, to have a media team which functions and give out daily content, ie...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zimbabwe yaipa Leseni Starlink kutoa huduma za Intaneti

    Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano (POTRAZ) imeidhinisha leseni ya utoaji Huduma za Intaneti kwa kampuni ya #Starlink inayomilikiwa na Bilionea #ElonMusk Taarifa ya Rais Emmerson Mnangagwa imesema "Uamuzi huu unatarajiwa kuongeza miundombinu ya Mtandao wenye Kasi ya Juu na ya gharama...
  18. JamiiForums Tanzania Wakati nchi ikiwa kwenye vita dhidi ya matapeli wa ardhi Morogoro, kwa nini ofisi za ardhi za mkoa ziliendelea kutoa hati kwa matapeli wa ardhi?

    Nilifuatilia vita dhidi ya matapeli wa ardhi Morogoro, nikagundua wote wana hati za ofisi za ardhi Morogoro, Jerry, fumua hiyo ofisi ya ardhi Mkoa na Manispaa ya Morogoro, bila kuibomoa hiyo ofisi, ni kilio tu Morogoro. Fuatilia hati za Mkundi, au itisha mkutano wa hadhara, asilimia kubwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa kutoa fedha kwenye vikundi vya watu wenye mahitaji maalum ni rushwa tupu

    Kuna wakati tuliungana kuomba mkopo unaotolewa na serikali kwa kweli tulifanikiwa katika hatua zote mpaka usajili wa kikundi tulipata tukafungua na account bank ya kikundi na mradi wetu na wazo letu lilikuwa la mfano kwa namna tulivyoliandaa ila sasa ilipofikia kwenye kupewa hela changamoto...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Ujenzi wa vituo vya dharura bararani ili kutoa huduma kwa majeruhi wa ajali itasaidia kupunguza idadi ya vifo hapa nchini

    Eneo la mada Miundombinu ya Usalama barabarani. Mada: UJENZI WA VITUO VYA DHARURA BARARANI ILI KUTOA HUDUMA KWA MAJERUHI WA AJALI ITASAIDIA KUPUNGUZA IDADI YA VIFO HAPA NCHINI. Uwepo wa vituo vya dharura barabarani ni msaada mkubwa wa kuokoa maisha ya binadamu wenzetu pale inapotokea ajali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…