kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Happy Christmas wadau wa kutoa lock

    Maini, mabandama figo na ndugu zao wote leo wajiandae vema kuupokea huu mzigo hevi😂
  2. JamiiForums Tanzania Kuna mtu amehack website yetu na kutuvuta tuanze kutoa huduma ya cyber security

    Habari wakuu, Ni jambo la kushangaza mtu anahack website yetu anaanza kufuta vitu vyetu. Sio uungwana kabisa lakini tuna mshukuru sana ametuongezea uwezo wa ziada na leo tunatangaza kwamba tutaanza kutoa huduma ya cyber security.
  3. K

    JamiiForums Tanzania M Mkoba haiwezi kutoa ela tangu Jumamosi.

    Mimi ni katibu wa kikundi fulani nimejafibu kuanziaha hatua za kufanya muamala M Mkoba lakini imeshindikana tangu Jumamosi. Nimejaribu kuongea na watoa huduma voda lkn majibu yao hayaeleweki Kama ni suala la mtandao mbona ela ya kutumwa Mkoba inakubali lakini ya kutoka haifanikiwi!!? Toeni...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Tulia Ackson akusanya waandishi wa habari ili kutoa msaada wa tani mbili za chakula kwa wasiojiweza

    Wakuu, Hivi kuna ulazima gani wa Tulia kwenda na media kila sehemu anapoenda kutoa misaada? Kwenye hii video anasema anaita vyombo vya habari kila anapotoa misaada ili awape motisha mwingine. Hivi kweli kuna mtanzania wa kawaida unayemjua ambaye ataenda kutoa misaada kwa sababu ya motivation...
  5. JamiiForums Tanzania HIVI MAMA NDIYO ANAPASWA KUTOA ELIMU YA AFYA>?????

    watanzania eeeeh embu tuelimike hapa,kweli sisi ni maskini kweli kweli lakini kuna suala linaloendelea katika jiji letu la Dar es salaam mmmh hapana,wataalamu wa afya especially mabwana afya embu badilisheni namna ya kufanya kazi, kuna wafanyabiashara wa chakula barabarani mazingira si rafiki...
  6. JamiiForums Tanzania Ukifuatilia, Chawa karibu wote hata darasani walikuwa vilaza, yaani uwezo mdogo, Low battery!

    Mpo wazima! Awe Chawa wa CHADEMA! Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule. Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani. Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Zijue Furushi za Baraka Zinazotokana na Kutoa Sadaka

    Zijue Furushi za Baraka Zinazotokana na Kutoa Sadaka Sadaka ni nini Sadaka ni kitu au fedha ambazo hutolewa na mtu kwa kuwapa wale aliowakusudia kama ishara ya kuwathamini na kuwapenda. Ni shukrani na maombi yetu kwa Mungu wetu. Sadaka inatolewa kwa ajili ya kushukru jambo fulani au inatolewa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran haitaacha Kutoa sadaka waarabu katika malengo ya kuifuta Israel

    Usichangie uzi kama una mihemuko. Katulizeeee ukoo ikishuka njoo na kichwa chenye akili. Kujua hili lazima tujue serikali hii ya iran iliingiaje madarakani ✅1979 Kundi lenye itikadi kali lilipindua serikali ya kifalme ya shaa ✅Komeni muanzilishi wa itikadi kali alikua akipitisha mahubiri yake...
  9. JamiiForums Tanzania JKCI yatoa ufafanuzi madai ya baadhi ya Watumishi wao kutoa huduma kwa kujuana

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums aliyetoa malalamiko yake kuhusu baadhi ya huduma za Watumishi wa hapo. Kusoma zaidi alichoeleza Mdau bofya hapa ~ Tumepata huduma mbovu JKCI upande wa VIP, baadhi ya Watumishi wanahudumia Watu kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi mtu anaenunua pikipiki kwa ajili ya kutoa mkataba au hesabu anakuwa na mahesabu gani?

    Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo unakuta mwingine ndio akiletewa anaila na familia yake hivi hii ni akili gani yaani unajua Kuna watu...
  11. JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama Aiomba Hospitali ya Queens London Kutoa Ushirikiano Huduma za Afya Tanzania

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameiomba Hospitali ya Queens iliyopo jiji la London nchini Uingereza kutoa ushirikiano kwa Tanzania ili msukumo wa kuimarisha huduma za Afya uzidi kuimarika. Waziri Mhagama amewasilisha ombi hilo Desemba 11, 2024 wakati akihutubia mkutano wa uongozi wa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Gaza haitamaniki imepigika haswa, Israel wanaendelea kufumua mitaro ya mahandaki na kushusha majengo

    USIAANZISHE VITA USIYOIWEZA, UKILIANZISHA USILALAMIKE UKIKANDWA !! N:B: Majengo yanayolipuliwa kwenye video hayana watu, kama wamo ni magaidi
  13. L

    JamiiForums Tanzania Namshauri Paul Makonda asiwe anapenda kulia na kutoa machozi hadharani. Ajifunze kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa kiongozi Mkubwa na wa cheo kikubwa kama kuwa Mkuu wa Mkoa yaani Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa na kiongozi mwenye Ndoto ya kuja kuwa kiongozi Mkubwa siku za usoni . Siyo Vyema sana kuelemewa na hisia mpaka kufikia hatua ya kulia na kutoa au...
  14. JamiiForums Tanzania Over 2.5 ina nafasi 90% kutoa magoli

    Siku nzuri kwa mashabiki wa betting! Timu zangu za Over 2.5 zimekamilika, na kwa odds tamu kama hizi, hatuna budi kutinga faida. 🤑🔥 ✅ Code ya BetPawa: TP5HM5B ✅ Odds jumla: 5.52 ✅ Hakikisha unaweka kwa umakini ili kushinda zaidi! Je, upo tayari kutengeneza pesa leo? Maoni yako ni muhimu...
  15. JamiiForums Tanzania Je Yanga tumeacha utamaduni wetu wa kutoa misaada siku za mechi?

    Ni kama mechi kadhaa sasa sijaona ule utamaduni wetu wa kutoa misaada kwenye vituo mbalimbali vya wahitaji. Je inaweza kuwa sababu ya matokeo mabaya tunayopata?
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Jaji Warioba kabla kutoa hukumu yako hususani ya Uchaguzi wa S/Mitaa, uwe umsikiliza pande zote na ushahidi ulionao

    Ni kawaida katika nchi zote duniani baada ya chaguzi zo zote za kisiasa upande ulioshindwa kulalamika kufanyiwa ndivyo sivyo. Kushindwa kura kunauma, na walioshindwa ni haki yao kulalamika kuwa uchaguzi haukuwa fare and transparent na hivyo ni batili. Kwamba kura ziliibiwa, kulikuwa na kura...
  17. S

    JamiiForums Tanzania licha ya kutoa mishahara kidogo lakini Tanzania imeshindwa kuajiri vijana

    wafanyakazi wa Tanzania wanamishara kidogo mno kama wakiajiriw lakini ajira ni changamoto. mishara ya kenya uganda na rwanda ni mikubwa ukilingnisha na Tanzania ukicheki statistics za ajira zilizotolewa tangu 2016 ni kichekesho nchi itaendelea vp wakati nguvu/ vijana kazi ni pure jobless
  18. JamiiForums Tanzania Nawezaje kutoa hela kwenye laini ya mzazi aliyefariki

    Wakuu habari za wakati huu, Samahani sana Nina jambo lakuwashilikisha hapa jamani. Mimi ni kijana nimefiwa na wazazi wangu wote kwa kufatana yaan alitangulia Baba ikapita wiki moja na Mama pia akafariki 😪😪😪. Dah! Sasa suala langu so Hilo ila nilipenda ni rejee kidogo . SWALI:Je Nawezaje Kutoa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza duniani, Ubelgiji yatangaza kuanza kutoa bima ya afya, maternity leave na sick pay kwa madada poa!

    Wakuu, Wakati huku kwetu mkuu wa wilaya ya Ubungo akiwa busy kukamata madada poa pale Kitambaa Cheupe, huko Ubelgiji mambo yameendelea kuwa sukari sana. Hivi karibuni Serikali ya Ubelgiji imetangaza kwamba itaanza kutoa bima ya afya, maternity leave na kulipa madada poa kama watakuwa wanaumwa...
  20. JamiiForums Tanzania Watu 6 kutoa ushahidi Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake

    Mtuhumiwa Upande wa Jamhuri katika kesi namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake (11) umesema kuwa unatarajia kuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…