kutimiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Sio kwamba anakupenda, Anakuhitaji kwaajili ya kutimiza nahitaji yake

    Habari wadau, Haya mahusiano Yana Siri kubwa sana 1.Wakati wewe mwanaume unafikria kuwa umempata mke wa maisha mwanamke anafurahi kupata boya la kumaliza shida zake za kwao na kumsaidia ex wake mtaji. 2 Kuna mwanaume unamwona kama vile kakuzimia anatangaza na ndoa kabisa kumbe akili zake...
  2. JamiiForums Tanzania Sheikhe Mwaipopo na wenzake wanasaidia kutimiza malengo ya M7/7 kwa kuleta hofu Kwa raia itakayofanya Siku hiyo watu wasitoke kwa shughuli zao.

    Hamjambo! Bado najiuliza nini kinaendelea. Wanaopanga na kuchochea maandamano kisaikolojia hawatishwi na mtu yeyote Yule isipokuwa vyombo vya Dola. Fikiria watu wanaomtukana Rais, amiri jeshi Mkuu, wanaotukana viongozi wa serikali, Hivi hao watu watatishwa na Sheikhe Mwaipopo kweli? Sheikhe...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tizama Hapa: Rasmi Magari Yapunguzwa Katika Msafara Wa Rais Samia ili Kutimiza Ahadi Yake. Yatembea Katika Mfumo Wa Kikomandoo Na Kijeshi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge. Ni Mama wa Vitendo ,ni Mama anayetimiza anachoahidi na...
  4. JamiiForums Tanzania Soma hapa kujua Special gift au spirtual gift nini, na zinatumikaje kwa choosen one(wateuliwa wa bwana) katika kutimiza wito wao

    Special gift nini, ni uwezo au vipawa anavyopewa mtu(choosen one) na Mungu kwa ajili ya kumsaidia kutimiza kusudi(calling) au wito duniani. Choosen one ni nani, ni mtu aliyechaguliwa na Mungu katika familia au ukoo kuvunja baadhi ya tabia au maagano(generation trauma) yaliyo kinyume na Mungu na...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Zama za Babeli (Iraq) Uajemi (Iran) na Rumi zimeshapita Iran haiwezi kuinuka Tena LAZIMA ibondwe Kutimiza unabii tusiwe wavivu kusoma maandiko

    Uajemi na umedi ni Dola kubwa lilotawala ulimwengu miaka mingi kabla ya Kristo Baada ya hapo ndipo warumi wakatawala Dunia Kwa muda mrefu sana Hadi Leo alama zake tunaziona Baada ya Rumi kuanguka Marekani kama Pembe mojawapo kati ya mataifa ya ulaya ndo superpower wa dunia ingawa hawezi kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania ‘Do you Remember’ song by Phil Collins: Huwezi amini sikujua hii nyimbo naipenda sana kumbe ni makosa nilifanya ila basi

    Kuna mkasa hapa niliwapa ambao age ikishafika ndio basi katika mahusiano. Katika nyimbo zangu pendwa hii nyimbo nilitumiwa kipindi kabla sijajua umuhimu wake kipindi hiko kama salamu za barua nyimbo fulani. Ila Nimeishia kulia na umri uwezi kurudi nyuma wala wakati. Nimekubali nilikosea...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu TRA: Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda ameshiriki zoezi la kupiga kura leo tarehe 29.10.2025 jijini Dar es Salaam. Baada ya kumaliza zoezi hilo amesema "Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania katika...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanachama CUF: Ahadi za CCM ni zile zile wameshindwa kutimiza ndani ya miaka 30

    Akizungumza leo Septemba 15, 2025 Kutoka Kijiwe cha Kivulini, Mikocheni – Hanifa Mgonela, Mwanachama wa chama cha CUF anaweka wazi namna ambavyo suala la ajira Tanzania limekuwa fumbo lililokosa majawabu.
  9. JamiiForums Tanzania Kwenu Vodacom, mkiwa katika kipindi cha kutimiza miaka 25 tangu muanze kutoa huduma kuna tangazo la zamani naomba mtuonyeshe tena kama kumbukumbu.(TBT

    Habari wadau wa Chitchat Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom inatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania. Vodacom ilianza kutoa huduma zake rasmi tarehe 16/08/2000 kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa. Wakiwa katika mwaka wa shamrashamra hizo mimi nikiwa kama mteja na mdau wao...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Mdau: Wimbi la Wagombea wapya limechochewa na viongozi wanaomaliza muda wao kushindwa kutimiza wajibu

    Mdau wa siasa na mkazi wa Dar es Salaam, Ramadhan Mashauri, amesema idadi kubwa ya watu wanaojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi, ikiwemo ubunge, inatokana na viongozi wengi wanaomaliza muda wao kushindwa kuzitendea haki nafasi zao wakati wa utumishi wao. Ameeleza kuwa hali...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere Angefufuka Leo Hii Angebubujikwa Machozi ya Furaha Utafikiri amepigwa Bomu la Machozi na Kumshukuru Rais Samia kwa kutimiza Ndoto Zake

    Ndugu zangu Watanzania, Kama leo hii Kungetokea muujiza Wa Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kufufuka kutoka Kaburini Butiama alikofumba macho na alikolala Usingizi wa Milele na kurejea hapa Nchini na kutazama yale yanayofanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  12. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Namshukuru Rais kwa kunifanya Mnyiramba wa kwanza kusaini kwenye noti ya nchi. Nimetimiza Ndoto ya muda mrefu

    Mwigulu ajivunia kutimiza ndoto ya muda mrefu kusaini noti ya Tanzania "Kipekee nimshukuru Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuniamini kutumikia Taifa kwa nafasi ya Waziri wa Fedha tangu alipoingia madarakani. Huu ni uthibitisho wa imani kubwa aliyokuwa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 mkutano wa CHAUMMA: Tulimpambania Lema akawa mbunge miaka 10, leo anasema CHADEMA sio sehemu ya kutimiza ndoto za ubunge

    Wakuu Bado maumivu ya hawa G55 ni makali na yanawachoma sana, baada ya kuambiwa CHADEMA sio sehemu ya kutimiza ndoto za ubunge kwa watu binafsi bali ndoto za wananchi. Hawa majamaa wanajali matumbo yao wanasahau chama kama CHADEMA kinatakiwa kupambania maslahi ya wananchi. Watu wa aina hii ni...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imeshindwa kutimiza majukunu yake ndiyo maana inawatisha wananchi kwa mateso na Mauaji

    GT Kwa kiufupi sana tunaweza kusema CCM imesha fail watu hawana matumaini kabisa na hiki chama. Pamoja na utitiri wa machawa kama comedians, Wanamuziki na vyombo vya habari lakini bado hawaelewi kabisa. Pamoja na ukatili wa Magufuli watu walikaa kimya maana maendeleo yalikuwa yanaonekana...
  15. JamiiForums Tanzania Unabii:Tundu Lissu aliponywa Kifo kutimiza kusudi fulani la Mungu kwa Tanzania,2025,Akiisha Timiza Tu Anatwaliwa - Huu ni Unabii wa Kweli au wa Uongo?

    Wanabodi Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani ambalo naliendesha kwa hoja za maswali Kwanza hebu msikilizeni nabii huyu na unabii wake kumhusu Tundu Lissu https://youtu.be/Isx1OohuSwE Je Nabii huyu ni nabii wa ukweli...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi ya shangwe mwanafunzi Esther akimshukuru Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa kwenye elimu utakaowasaidia kutimiza ndoto zao

    Wadau hamjamboni nyote? Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ziarani mkoani Tanga hususani wilaya za Muheza na Mkinga alikutana na mwanafunzi wa sekondari ya magila aendaye kwa jina la Esther aliyemshukuru kwa kufanya uwekezaji mkubwa sekta ya elimu. Wadau nimeguswa sana na tukio hili na...
  17. JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili niweze kutimiza ndoto yangu ya kuwa muigizaji?

    Nakuja dar kwa ajili ya kupambania ndoto yangu ya uigizaji, nipeni code na ushauri wenu wadau.
  18. JamiiForums Tanzania Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

    Wanaukumbi. Breaking | Al-Qassam Brigades spokesperson Abu Obaida announces that due to Israel's failure to uphold the terms of the ceasefire agreement, the release of Israeli captives scheduled for this Saturday will be postponed until further notice. ========================= ⚡️BREAKING...
  19. JamiiForums Tanzania Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano

    Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano wa chama. Hii ni ofisi ya CCM Kata ya Manzese ambayo muonekano wake ni bora na yenye kuvutia. Asante Dotto Magari kwa kututembelea na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mliokuwa mashabiki wa propaganda za Trump, yamebaki masaa machache ya yeye kutimiza ahadi ya kumaliza vita vya Ukraine

    Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…