kutetea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania DC Magoti unataka kuwafanya wenzako viwete kwa kutetea haki zao. Wewe aliyekufanya kiwete ulikuwa unatetea jambo gani muhimu?

    DC MAGOTI UNATAKA KUWAFANYA WENZAKO VIWETE KWA KUTETEA HAKI ZAO. WEWE ALIYEKUFANYA KIWETE ULIKUWA UNATETEA JAMBO GANI MUHIMU? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Magoti kiukweli umenifurahisha sana uliposema utawageuza watu wawe viwete. Naamini upo proud kuwa hivyo ulivyo. 2. Sijui historia...
  2. JamiiForums Tanzania Wanajeshi/ polisi na Usalama wafundishwe Ujasiri wa kupinga dhulma na kutetea Haki ndani ya Nchi. Huo ndio ujasiri wa Kweli na sio vinginevyo.

    WANAJESHI/ POLISI NA USALAMA WAFUNDISHWE UJASIRI WA KUPINGA DHULMA NA KUTETEA HAKI NDANI YA NCHI. HUO NDIO UJASIRI WA KWELI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya sifa kuu za mwanajeshi na askari ni kuwa JASIRI na ili Mwanajeshi aitwe Jasiri lazima awe jasiri wa kupigania...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Bungeni Nimefukuzwa Kwa Kutetea Wananchi, wanataka Wabunge Wagonga Meza tu!

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema anaifahamu kwa kina mizigo ya Watanzania, ikiwemo changamoto za kilimo, ufugaji, biashara, uchimbaji madini, bodaboda na hata suala la kufungiwa makanisa, na kusisitiza kuwa amedhamiria...
  4. JamiiForums Tanzania Kama wapalestina wenyewe wanasema hivi wewe Mwarabu-koko unapata wapi ujasiri wa kutetea Magaidi wauaji?

    Mpwa wa gaidi wa Kipalestina azungumza na kumaliza mabishano ya Wapalestina.
  5. JamiiForums Tanzania Mvulana mdogo, akiwa amebebeshwa gunia la unga na akiwa na kisu, anatembea mitaani si kutafuta chakula, bali kutetea

    Wanaukumbi. Mvulana mdogo, akiwa amebebeshwa gunia la unga na akiwa na kisu, anatembea mitaani si kutafuta chakula, bali kutetea. Huu ndio ukweli wa kikatili wa njaa iliyotengenezwa kwa Israeli. https://x.com/zohranmamdani/status/1954508053077713175?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  6. JamiiForums Tanzania Kutetea Haki sio lazima uwe Chadema. Wapo Wanaccm wanaopenda Haki kuliko waliopo Chadema

    Poleni na Msiba! Kwa wale mnaofurahia hongereni! Ndugu zangu, kila siku Taikon nawaambia kuwa Haki ni jambo la mtu binafsi. Ni kama Imani tuu. Kamwe usije ukajiunga Dini au Chama fulani cha siasa kwa sababu ati kinajifaragua kutetea HAKI. Nope! Haki haipo katika Chama au Dini. Haki hukaa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shehe Issa Ponda kushinda jimbo la Temeke mchana kweupe - Mikiki katika kutetea wanyonge ndio turufu yake Temeke

    SHEHE ISSA PONDA KUSHINDA JIMBO LA TEMEKE MCHANA KWEUPE - MIKIKI KATIKA KUTETEA WANYONGE NDIO TURUFU YAKE TEMEKE - MAMBO MANNE KUMBEBA JIMBO LA TEMEKE. Uislamu unaweza kumbeba sana Shehe Issa Ponda kisiasa, hasa katika muktadha wa Jimbo la Temeke – na hapa kuna sababu kuu nne za msingi: 1...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwakibete ajinadi kutetea kiti cha ubunge kwa awamu nyingine

    Mbunge Atupele Fredy Mwakibete na watia nia wengine wameanza Kampeni za Kujitambulisha na Kujinadi mbele ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Kata Mbalimbali Jimboni Busokelo. Akijinadi Mbele ya Wanachama wa Kata za Lwangwa na Kabula,Mwakibete amesema kuwa maendeleo yaliyofanyika Jimboni...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Wakili mzungu hawezi kutetea demokrasia inayoliliwa na CHADEMA

    Wakati Mwl. Julius K. Nyerere anaongoza mapambano ya kuwaondoa wakoloni nchini, lengo kuu lilikuwa Tanganyika ijitawale na haswa kutimiza ndoto yake ya kuliunganisha bara la Afrika kuwa kitu kimoja ili tuwe na nguvu kiuchumi na kiulinzi dhidi ya nchi za ulaya na kwingineko duniani. Wakoloni...
  10. W

    JamiiForums Tanzania waafrika tuwe wakweli tu, tunachukia wizi na upigaji tusiposhirikishwa lakini tukishirikishwa tupo tayari kutetea na kulinda

    Ni wazalendo wachache sana wanaochukia ufisadi, Ukali Wetu wengi si kwa Sababu ya Maumivu ya Ufisadi, Ni kwa sababu hatukuitwa meza ya mgao Dili likipigwa iwe ni ofisi au watu flani wamepiga hela, ghafla tunakuwa wakali sana, midomo inapiga kelele kama injini ya gari ya mgambo. Lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Namuonea huruma sana Tundu Lissu kwa kutetea wajinga na masikini

    Aisee kitu ambacho Lissu anashindwa kuelewa Tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara Sasa jiulize anaowatetea sasa miezi miwili imepita Lissu yupo ndani kazi yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Asante Maria Sarungi kwa kutetea nchi yako hapo Oslo kuhusu kifo cha demokrasia Tanzania na utekaji

    Well presented with illustrative cartoons to drive the points home. Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo Mwanzo: Dakika ya 20:22 Mwisho: Dakika ya 37:26 https://youtu.be/F2RbjppeaKc
  13. JamiiForums Tanzania Mashirika ya kutetea haki za binadamu na ya kisheria acheni kutoa wito kwa jeshi la polisi waorodhosheni kama magaidi wao wanafanya mauwaji makusudi

    Nimesikitishwa kusikia mashirika ya haki za binadamu na mengine ya sheria yanatoa wito kwa jeshi la polisi kuacha kutumia nguvu, hii sio mara ya kwanza kusikia kauli kama hizi na watu wamekuwa wanaendelea kuuwawa kwanini msiwaorodheshe kama magaidi kushinikiza mabadiliko. hayo matamko mepesi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiwaangalia Wanavyoshupaza shingo kutetea Palestina asionewe na Israel alafu ukiona Wanavyotetea Wauaji CCM utaelewa hakuna Masheikh pale.

    Dini ya kweli ni Dini inayosimamia kweli na haki. Dini ya kweli ni dini inayosema kweli haijalishi kweli hiyo inaumiza au inafurahisha. Viongozi wa Dini wa kweli ni Viongozi wanaosema ukweli wa Mungu bila kuogopa utawapendeza au kuwafurahisha Watawala. Viongozi wa kweli wa Dini ni wale...
  15. L

    JamiiForums Tanzania China yaitikia vita ya ushuru ya Marekani ili kutetea haki

    Katika kipindi muhimu cha ufufuaji wa uchumi wa dunia, Marekani imetumia tena rungu la ushuru, ikiamua kutoza ushuru ambao inauita "sambamba" kwa washirika wake wote wa biashara duniani, ambapo ushuru wa bidhaa kutoka China utafika hadi 34%. Ikikabiliana na hatua hii ya kimabavu ya wazi, China...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu amwambia Balile "Maswali yako ni Nonsense"

    Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano. Balile ambaye ndiye alikuwa anaongoza mkutano huo alitumia muda mwingi kuvuruga mkutano badala ya...
  17. JamiiForums Tanzania Wazee wa kuomba ban mnatuangusha, kweli mnataka Derby ipite hivi hivi bila kutetea timu zenu? Hakuna anayejiamini?

    Wakuu, Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?😂🤣🤣 Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita modes:BearLaugh::KEKLaugh: Inaonekana safari hii kila mganga wa mtu ni kiboko, kila upande namba hazisomi...
  18. JamiiForums Tanzania HOJA NGUMU: Kutetea FAM kuendelea kusalia madarakani ni sawa na kukiri CHADEMA ni chama kilichosheheni vilaza

    Jambo hili haliwezekani ndani na nje ya sayari yetu. Chama cha kupigania demokrasia kuwa na mtu ambaye haamini kama kuna watu wanaweza kuchukua nafasi yake Chama cha kupigania demokrasia hakiwezi kuwa na mwenyekiti mmoja kwa miaka zaidi ya 20 Kwa sisi watu wenye akili kidogo tafsiri ya hili...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Sheria za Tanzania zinalenga zaidi kulinda uovu badala ya kutetea Haki?

    Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu dhidi ya wananchi: 1. Tulikuwa na sheria ya vyama vya siasa, lakini baadaye ikabadilishwa hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ndio mishahara elekezi ya kulipa madada wa kazi kulingana na Shirika la kutetea haki zao. Chini ya Elfu 60 haikubaliki!

    Wakuu, Najua humu jukwaani kutakuwa kuna watu ambao majumbani mwenu mtakuwa na madada wa kazi ambao huwasaidia na shughuli za nyumbani Hivi karibuni kumekuwa na shirika ambalo limejitokeza kutetea haki za madada wa kazi Shirika linaloitwa initiative for domestic workers Akizungumza kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…