kutetea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Jukwaa la Kutetea Wamasai Lapinga Ripoti za Tume za Rais Kuhusu Ngorongoro

    Jukwaa la kimataifa la kutetea haki za Wamasai, Maasai International Solidarity Alliance (MISA), limetangaza kupinga vikali ripoti mbili za tume za rais zilizowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan Machi 12, 2026 katika Ikulu ya Chamwino State House. Katika taarifa yake ya Machi 18, 2026, MISA...
  2. M

    Mpaka aliyetoa amri watu wasiokuwa na hatia wakauliwa akikiri hadharani kuwa alifanya kosa ili kutetea urais wake ndio watanzania watakaa kimya

    Mwabukusi sijakuelewa. Unataka viongozi wasiongelee yaliyotokea Oktoba 29? Au ninyi mumeelewa vipi? Kutoneshana kunatoka wapi? Watu wameuliwa majumbani kwao sababu tu watu wasalie madarakani.
  3. Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema. Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
  4. SGR sehemu kubwa ikitokea mvua kwa ujenzi huu mtapokezana mawaziri kuongea kutetea

    Kiufupi unajifunza kutokana na mazingira na kufananisha. Huu mradi wamelipua sehemu nyingi sana njia za reli ni kama pesa imepigwa sana. Mikoa korofi kama morogoro mvua zikinyesha lazima kufunga njia nyingi za usifiri. Je wanajua shida nini.?. Serikali inapeleka wasanii nchi za nje kwa kipi...
  5. Wana jamiiforum wenzagu kuna mic ambayo wakiitisha kutetea serikali mbovu inawekwa mjafahamu.

    Chunguzeni kuna mic ambazo ufahamu ni kituo gani wala chanzo chake. Na mic hizo utaziona zikiwa kwa wanao iongelea serikali hii ya kishenzi.
  6. Watanzania na Kutetea maovu

    Hii kasumba ipo sana miongoni mwa Watanzania, zamani ilikua ni kwenye vijiwe vya kahawa. Hatimaye imekua Kansa sugu, taasisi za kidini, vyama vya siasa, vyombo vya ulinzi, viongozi wakubwa wa nchi wastaafu na wasasa, vijana, wazee, Radio na hata mitandao ya kijamii. Kwa sasa ni kitu cha...
  7. Mtindo wanaotumia kikosi cha propaganda wa kutetea serikali za CCM

    Hivi wana Jamiiforums hamjashtuka au mpaka tuwape code. Ni hivi labda mtanielewa, kwamba hawa watu wana magroup yao kama wanachama na viongozi wao. wanajadiliana kisha kuna mmoja analeta wazo au mada inapigiwa chapuo kisha ina pelekwa mitandaoni ijalishi kama ana media,msanii, account zao feki...
  8. Oktoba 29 inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini

    Tarehe 29 October inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini. Mimi nipo mstari wa mbele kupigania mabadiliko na kusimama na watanzania kwa hali zote, nime mwaga machozi kwa kutambua kuwa watanzania walikufa kwa kunipigania mimi na wewe...
  9. Wamakonde ndio wanaiweza kazi ya kutetea haki yao

    Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up...
  10. Huwezi kumuabudu Mungu wa kweli halafu ukaogopa kutetea haki au kupinga waovu. Utakuwa humjui Mungu

    HAUWEZI KUMUABUD Mungu WA KWELI ALAFU UKAOGOPA JAMBO DOGO NA RAHISI LA KUTETEA HAKI AU KUPINGA WAOVU. UTAKUWA HAUMJUI MUNGU WEWE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Mungu haabudiwi na watu waoga. Mtu mwoga atakuwa na sifa nyingine mbaya ya unafiki. 2. Ni rahisi Muuaji na mtekaji au muuza...
  11. DC Magoti unataka kuwafanya wenzako viwete kwa kutetea haki zao. Wewe aliyekufanya kiwete ulikuwa unatetea jambo gani muhimu?

    DC MAGOTI UNATAKA KUWAFANYA WENZAKO VIWETE KWA KUTETEA HAKI ZAO. WEWE ALIYEKUFANYA KIWETE ULIKUWA UNATETEA JAMBO GANI MUHIMU? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Magoti kiukweli umenifurahisha sana uliposema utawageuza watu wawe viwete. Naamini upo proud kuwa hivyo ulivyo. 2. Sijui historia...
  12. Wanajeshi/ polisi na Usalama wafundishwe Ujasiri wa kupinga dhulma na kutetea Haki ndani ya Nchi. Huo ndio ujasiri wa Kweli na sio vinginevyo.

    WANAJESHI/ POLISI NA USALAMA WAFUNDISHWE UJASIRI WA KUPINGA DHULMA NA KUTETEA HAKI NDANI YA NCHI. HUO NDIO UJASIRI WA KWELI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya sifa kuu za mwanajeshi na askari ni kuwa JASIRI na ili Mwanajeshi aitwe Jasiri lazima awe jasiri wa kupigania...
  13. GE2025 Mpina: Bungeni Nimefukuzwa Kwa Kutetea Wananchi, wanataka Wabunge Wagonga Meza tu!

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema anaifahamu kwa kina mizigo ya Watanzania, ikiwemo changamoto za kilimo, ufugaji, biashara, uchimbaji madini, bodaboda na hata suala la kufungiwa makanisa, na kusisitiza kuwa amedhamiria...
  14. Kama wapalestina wenyewe wanasema hivi wewe Mwarabu-koko unapata wapi ujasiri wa kutetea Magaidi wauaji?

    Mpwa wa gaidi wa Kipalestina azungumza na kumaliza mabishano ya Wapalestina.
  15. Mvulana mdogo, akiwa amebebeshwa gunia la unga na akiwa na kisu, anatembea mitaani si kutafuta chakula, bali kutetea

    Wanaukumbi. Mvulana mdogo, akiwa amebebeshwa gunia la unga na akiwa na kisu, anatembea mitaani si kutafuta chakula, bali kutetea. Huu ndio ukweli wa kikatili wa njaa iliyotengenezwa kwa Israeli. https://x.com/zohranmamdani/status/1954508053077713175?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  16. Kutetea Haki sio lazima uwe Chadema. Wapo Wanaccm wanaopenda Haki kuliko waliopo Chadema

    Poleni na Msiba! Kwa wale mnaofurahia hongereni! Ndugu zangu, kila siku Taikon nawaambia kuwa Haki ni jambo la mtu binafsi. Ni kama Imani tuu. Kamwe usije ukajiunga Dini au Chama fulani cha siasa kwa sababu ati kinajifaragua kutetea HAKI. Nope! Haki haipo katika Chama au Dini. Haki hukaa...
  17. K

    GE2025 Shehe Issa Ponda kushinda jimbo la Temeke mchana kweupe - Mikiki katika kutetea wanyonge ndio turufu yake Temeke

    SHEHE ISSA PONDA KUSHINDA JIMBO LA TEMEKE MCHANA KWEUPE - MIKIKI KATIKA KUTETEA WANYONGE NDIO TURUFU YAKE TEMEKE - MAMBO MANNE KUMBEBA JIMBO LA TEMEKE. Uislamu unaweza kumbeba sana Shehe Issa Ponda kisiasa, hasa katika muktadha wa Jimbo la Temeke – na hapa kuna sababu kuu nne za msingi: 1...
  18. GE2025 Mwakibete ajinadi kutetea kiti cha ubunge kwa awamu nyingine

    Mbunge Atupele Fredy Mwakibete na watia nia wengine wameanza Kampeni za Kujitambulisha na Kujinadi mbele ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Kata Mbalimbali Jimboni Busokelo. Akijinadi Mbele ya Wanachama wa Kata za Lwangwa na Kabula,Mwakibete amesema kuwa maendeleo yaliyofanyika Jimboni...
  19. I

    Wakili mzungu hawezi kutetea demokrasia inayoliliwa na CHADEMA

    Wakati Mwl. Julius K. Nyerere anaongoza mapambano ya kuwaondoa wakoloni nchini, lengo kuu lilikuwa Tanganyika ijitawale na haswa kutimiza ndoto yake ya kuliunganisha bara la Afrika kuwa kitu kimoja ili tuwe na nguvu kiuchumi na kiulinzi dhidi ya nchi za ulaya na kwingineko duniani. Wakoloni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…