kutesa

Dereck Kutesa (born 6 December 1997) is a Swiss professional footballer who plays as a winger for Stade de Reims in the Ligue 1.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    Zitto Kabwe: Maafisa usalama wa taifa wanalaumiwa kwa mambo mabaya. Wanaua , wanateka watu na kutesa watu

  2. M

    Ni kiongozi gani hajawahi kupiga, kutesa na kuua wapinzani wake hapa Duniani?

    Najiuliza juu ya viongozi wanaolaumiwa kwa ukatili na mateso kwa raia. Viongozi kama Iddi Amin , Jean Bokasa na wengine wengi wanalaumiwa. Lakini kiuhalisia Je yupo ambaye hajawahi kufanya ukatili?
  3. N

    Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

    Utangulizi wa kunukuu maelezo ya Muhanga aliyetusaidia kujua undani wa hizi operations za kampuni ya Silent Ocean Nchini, zikiongozwa na CEO wake, Saalah Mohammed, mdogo wake na GSM. Hapo nikapokea simu kutoka kwa Salah (C.E.O) au Simba wa Bahari akinitaka ndani ya wiki moja niwe nimetimiza...
  4. BARD AI

    NPS: Malaria, Shinikizo la Damu, Uzazi, Saratani na Kisukari Magonjwa yanayoongoza kutesa zaidi Watanzania

    Hivi unakumbuka mara ya mwisho uliumwa maradhi gani? Ripoti ya utafiti wa ufuatiliaji kaya (NPS) 2020/2021, imeyaorodhesha maradhi matano yanayoongoza kulaza wagonjwa hospitalini nchini, ambayo ni malaria (asilimia 0.7), matatizo ya uzazi (asilimia moja), homa (asilimia 0.4), tumbo (asilimia...
  5. I

    Magaidi wa ISIL wazidi kutesa watu katika eneo la Sahel

    Wafuasi wa ISIL wapata mafanikio katika Sahel huku mauaji yakiongezeka. Idadi ya raia waliouawa katika eneo la kati la Sahel katika mashambulizi yanayohusishwa na makundi ya waasi imeongezeka karibu mara mbili tangu mwaka 2020. Muungano wa NGOs za Afrika Magharibi ulisema katika ripoti...
  6. NetMaster

    Elimu kwa dada zetu: Msibweteke na pesa za Waarabu wanaonunua ngono, wapo wenye 'fetish' ya kutesa, kuharibu maumbile na kudhalilisha

    Fetish ni kitendo ambacho kinamuongezea mtu raha kwenye sex, kwa hawa wengi kwa nchi walizotokea fetish zao huwa ni mtungo wa kumchangia binti moja huku wakimuingilia zamu zamu kinyume na maumbile (0717), na hiki ndicho wanacho fanya hata kwa dada zetu. Target zao huwa ni mabinti ambao nado...
  7. Kijakazi

    Global Warming hawaielewi, wanapelekeshwa tu na kutesa watu bila ya sababu!

    Umeme unakatwa kuokoa mazingira, wanawasha Diesel Generators 24/7, hakuna kitu kinachangia CO2 emissions kwa kiasi kikubwa kama Diesel, umeme wa Tanzania kiasi kikubwa unatokana na vyanzo vya Maji, hivyo ni renewable energy. Acheni kutesa watu bila ya sababu, hata Wazungu wenyewe na Wachina...
  8. R

    Wakati Hitler na wengine wanaua watu na kutesa Mungu alikuwa wapi? Wema wa Mungu unakuwaga kwenye nini?

    Kuna mambo ya ajabu sana. Ni ama tunadanganywa au hatumjui vizuri huyo anayeitwa Mungu. Kuna wakati niliwahi kusema Shetani na Mungu ni marafjki sana. Kinachotokea sisi ndio tunataka kuwatofautisha na kuwagombanisha tu. Fikiria mtu mwovu kama Hitler na waovu wengine hasa watawala wa Afrika...
  9. Analogia Malenga

    Serikali yaondoa tozo 42 kwenye zao la Kahawa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuondoa tozo 42 kati ya 47 ambazo walikuwa wanatozwa wakulima wa kahawa wa Mkoa wa Kagera hadi kufikia tozo 5 ambazo zitakuwa ni jumla ya Sh267 kwa kilo kutoka Sh830 za awali. Waziri Mkuu ametoa maamuzi hayo kufuatia tume maalum...
  10. GRAMAA

    Ndoa ndiyo taasisi hatari kuundwa duniani kwa lengo kutesa maisha ya binadamu

    Ni hivi, hakuna msomaji yoyote yule wa uzi huu ndani ya JF aliyepata furaha ya maisha kutokana ya yeye kuoa au kuolewa na hii inatokana na ukweli kwamba lengo lililojificha la ndoa ni kufarakanisha watu na sio kuunganisha watu kama watu wengi walivyoaminishwa. Baada ya kifo kitu kingine...
  11. Kamanda Asiyechoka

    Mnamfukuza kazi askari anayesifia gongo(nipa) huku askari wanao tuhumiwa kutesa na kupiga watuhumiwa mnawaacha. Hii sio faira kabisa

    Kumekuwa na tuhuma nyingi sana za jeshi la polisi kuua kutesa na kupiga watuhumiwa. Lakini hatujawahi kusikia Igp au waziri Simbachawene akichukua hatua za kuwafuta kazi hawa askari wanaokiuka sheria za nchi. Kisa cha familia moja huko mkoani Mbeya kukataa kuzika kijana wao zaidi ya mwaka...
  12. Mfikirishi

    Simbachawene: Askari watakaobainika kuwapiga wafungwa, maabusu au kuwalazimisha kwa kipigo watuhumiwa ili kukiri makosa watachukuliwa hatua kali

    Waziri Simbachawene ametoa onyo kali kwa Askari Magereza wanaowapiga Wafungwa na Mahubusu magerezani na pia kwa Polisi wenye tabia yakuwapiga Watuhumiwa au kuwalazimisha kwa kipigo kukubali makosa na kusema atachukua hatua kali kwa wale watakaobainika kutenda vitendo hivyo. ----- 𝐊𝐮𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮...
  13. M

    Torture (Kutesa)

    Leo twitani kumechafuka na picha ya mtu anayeteswa kwa kuning’ining’zwa kama mshikaki.Ni jambo la kuhuzunisha sana. Naomba nihitilafiane na wengi ambao wamekilaani kitendo hiki ingawa nami sikiungi mkono ila kwa masharti. Mahakamani kuna mtu kaelezea alivyoteswa na askari Polisi nami...
  14. Pununkila

    Arusha: Askari SUMA JKT wakamatwa kwa tuhuma za mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia askari watatu wa Suma JKT kwa tuhuma za kumtesa hadi kumuua mkazi wa eneo la Ngaramtoni wilayani Arumeru, Almasi Mohamed wakimtuhumu kwa wizi wa mahindi. Kamanda wa Polisi Mkoa Arusha, Jastine Maseju akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Septemba 7...
Back
Top Bottom