kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Hashim Rungwe: Tukienda kwenye mikutano ya CCM wanatupa hela, tunazichukua na tutaendelea kuzichukua

    Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema: “Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi inatulipa ili ionekane nchi hii kuna demokrasia, hakuna dawa hosptalini ila pesa za kutulipa wanapata na...
  2. Nahitaji kutengeneza AI mfano wa CHATGPT

    Project hiyo hapo Nachohitaj mtaalamu anidavulie Gharama na nini cha kufanya
  3. K

    Mtaalam wa kutengeneza Cripsi

    Habari wana jamii natafuta mtaalam wa kutengeneza cripsi za ndizi na viazi ili nimpe ajira awe anaishi Dar,namba yangu 0626333300
  4. Kumbe Devotha Minja alishalamba dili la kutengeneza vitenge vya CHAUMMA

    Huyu mama kumbe sujui alilewa akasahau akatuma sample ya vitenge vya CHAUMMA kwenye group la Kamati kuu ya Chadema. Alituma usiku labda aliuwa ameshabwia. Maana yeye na kina Mrema huwa wanatoaga sana maboko majira ya saa nne za usiku mpaka saa nane usiku. Hii mida kwa wale wazee wa vyombo huwa...
  5. K

    Hashimu Spunda na mpango kazi wa Rais Samia na CCM kutengeneza upinzani FAKE. Je, Watanganyika watang'amua hili?

    Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo na hawajawahi kukwama. CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata...
  6. JINSI YA KUTUMIA CANVA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI (ONLINE)

    📌 HATUA KWA HATUA: JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA CANVA 1. Fungua Akaunti ya Canva (Free au Pro) Tembelea www.canva.com na fungua akaunti yako. Tumia toleo la bure kwa kuanza, lakini ukitaka templates na picha zaidi — Canva Pro ni suluhisho bora. 2. Jifunze Kuunda Designs Zinazouzwa 👉 Badala...
  7. C

    Tumeshindwa kutengeneza Hata Cherehani?

    Miaka 64 ya Uhuru. Tanganyika tumeshindwa kutengeneza Cherehani?
  8. Jinsi ya Kutengeneza Pesa na Crypto (Mwaka 2025 - Mwongozo kwa Watanzania)

    Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu Bitcoin, Ethereum, au USDT lakini hujui waanzie wapi, basi blogpost hii ni kwa ajili yako. ✅ Crypto ni...
  9. M

    Mke haombi Wala kutengeneza mazigiria yakuhitaji tendo la ndoa Hadi aombwe

    Habar wakuu hivi mke kutokuomba tendo la ndoa Wala kutengeneza mazigira yakuhitaji tendo la ndoa,yaan mpaka umuombe ila huwezi Kuta anamazigira ya kuhitaji au kuomba ukipiga kimya hitaona ishara zakuhitaji Wala kuombwa. zaid siku utaambiwa hujui wajibu wako
  10. Wataalam wa kutengeneza Local Cage za Kuku wa mayai

    Wakuu kwemaa..Poleni na Majukum. Natafita mtaalam ama mshauri wa kunisaidia hii Changamoto yangu. Ninashida na Cage ya local sio zile za kuagizia toka china. Nina fuga Kuku wa Mayai Wapatao 1000
  11. Naomba kazi ya marketing au sales, vitu ninavyoweza, ku offer katika kazi ni pamoja na kuwa na idea za ubunifu kukuza biashara, kutengeneza content,

    Habari mimi ni mwanafunzi wa chuo procurement and supply Natafuta kazi ya marketing au sales naamini nitafanya vizuri, hii yote niweze kumudu Ada na Familia yangu shukran 🙏.
  12. Jinsi ya Kutengeneza Pesa Kupitia Personal Brand (2025 Guide)

    Katika dunia ya leo ya kidigitali, Personal Brand imekuwa moja ya njia zenye nguvu zaidi za kujitengenezea kipato. Iwe wewe ni mjasiriamali, mtaalamu wa taaluma fulani, msanii, au hata mwanafunzi — kuji-brand binafsi kunaweza kukuwezesha kuvutia fursa, wateja, na kipato kikubwa. Lakini, jinsi...
  13. Kutengeneza bisi (pocorn)kwa mashine

    Najaribu kutengeneza bisi kwa popcorn mashine lakini sifanikiwi nyingi zinauungua tu,naweka mafuta kwenye kichombo,yakichemka naweka bisi,sasa shida ni kwamba chache zinapasuka vizuri ila. nyingi zinaungua.Naomba mwenye ufahamu juu ya hizi mashine zinavyofanya kazi anifundishe nifanyeje.Ni zile...
  14. Kwa mujibu wa akili mnemba "kumbe serikali inaweza Kutengeneza fedha hewa?".

    Nimeiuliza akili mnemba (WhatsApp chatGPT), kama serikali inaweza kuzalisha ama Kutengeneza fedha hewa..? Na haya ndio majibu iliyonipa.. Baada yakusoma majibu haya nitahitaji nawewe unijibu swali hilo. [22/04, 16:24] Akili mnemba: Swali lako ni la msingi sana, na linaingia kwenye uchambuzi wa...
  15. Mashine za kutengeneza koni

    Naomba kujuzwa changamoto za mashine za koni mtumbani(used)
  16. D

    Nawezaje Kutengeneza Marafiki?

    Wakuu habari zenu na wale wakristo heri ya Pasaka. Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mtu ambaye kazi zangu nyingi nazifanyia ndani nikiwa peke yangu na ninaoshiriikiana nao wengi ni foreigners hivyo kazi tunazifanya na kuzifuatilia kupitia Slack, Hubstaff, Jira n.k. Huku tukishiriki sana...
  17. CHADEMA ina uwezo mkubwa sana kutengeneza ajenda na mijadala ya siasa za nchi kitaifa

    Twende mbele turudi nyuma, CHADEMA ndicho chama chenye kutengeneza ajenda kubwa za nchi kujadiliwa kitaifa. Mijadala mkubwa zaidi inayoendelea kwa sasa katika siasa ni kukamatwa kwa na kushitakiwa kwa uhaini kwa Tundu Lissu, no reforms no election na CHADEMA kugomea kinachoitwa kanuni za...
  18. Wazee wa no reform no election tusaidieni kutengeneza picha ya serikali yenu ili tujue tunawaunga mkono au vipi

    PICHA YA SERIKALI YA CHADEMA Rais: Tundu Lissu Makamu wa Rais: John Mnyika Waziri Mkuu: Heche Waziri wa Michezo: Sugu Naibu Waziri wa Michezo: ( ) Mkurugenzi wa Wizara ya Michezo: (. ) Waziri wa Mambo ya Ndani: Boni Yai Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani: ( ) Mkurugenzi wa...
  19. PreGE2025 Naibu Waziri Sagini: Gongo na Pombe za asili zinaruhusiwa kutengenezwa ukiwa na Leseni maalum Kisheria

    Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini amesema pombe aina ya gongo, machozi ya simba, moshi au umeme, inaweza kutengenezwa ikiwa mtengenezaji ana leseni inayotolewa kwa mujibu wa kifungu cha 19 cha Sheria ya Kudhibiti Pombe za Asili. Aidha, amesema mtu yeyote anayekusudia kutengeneza...
  20. Naomba kujuzwa namna ya kutengeneza mbege

    Mwana Jf mmoja anielekeze namna ya kutengeneza mbege kama Nina ndizi na ulezi tayari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…