Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, amemwaga povu zito akilaani vikali utekaji, utesaji na ukatili aliofanyiwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kazungu Bakari, huku akitahadharisha kuwa wimbi hilo la kihalifu linaiweka nchi kwenye taswira mbaya mno kisheria na kimataifa.
Kupitia...