kutangaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Trump anatishia nyau kutangaza eneo la Hormuz kuwa 'eneo la Marekani'

    Aisee Hili zee pumbavu limeshachanganyikiwa Kilichobaki ni kubwabwaja na kulialia kama toto dogo Donald Trump ametishia kutangaza mlangobahari wa Hormuz kama "eneo la Marekani" huku utawala wake ukipambana kumaliza vita na Iran. Wakati wa hotuba katika chuo cha polisi huko Long Island, New...
  2. JamiiForums Tanzania Leo asubuhi wazee niliokuwa nawaheshimu sana hapa Kijijini wamefanya jambo la hovyo sana; wameshindana kutangaza msiba. 🤔

    Wakuu, Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne. Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia kusini nikamuona Mzee mwingine anakuja (huyu alikuwa amenikaribia). Yule Mzee aliyekuwa anatokea...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya Mikopo (HESLB) kutangaza nafasi za kazi kwa kuweka mashari ya umri wanatukosea

    Bodi ya Mikopo (HESLB) wametoa nafasi za ajira za mkataba lakini wameweka kigezo cha umri, yaani ambao wanaruhusiwa kuomba ni graduates kuanzia Mwaka 2020-2026. Kero yangu ni kwamba tatizo la ukosefu wa ajira ni changamoto kubwa lakini bado Taasisi kama hiyo inatoa nafasi za mkataba kwa kuweka...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Sisi CHADEMA tunapaswa kuweka njia ya Muafaka wa kitaifa wa kweli kwa kutangaza Upendo na Msamaha

    Kwanza ninachokiona Kabisa mama Hajui Chochote kuhusu nchi. Nimefatilia kiundani sana unaona waliompinga ndani walikuwa sawa ila Wengi sasa wanamsapoti kwa kuyapenda maisha yao sababu waliompinga sasa hawapo. Je, kunanini nyuma ya pazia. Ata Ulaya matajili wachache wanafanya shinikizo la kila...
  5. JamiiForums Tanzania Anatangaza kwa watu mi Bahili kwa kutompa pesa zangu, nimemwambia anipe zake aone kama nitakuwa bahili kuzitumia hataki

    Dog youu. Yaani mwanamke anataka nitumie pesa zangu kwake ili ni prove kuwa mimi si bahili. Namwambia mi si bahili anasema mwongo we bahili. Namwambia haya leta pesa zako nikae nazo uone kama mimi bahili au si bahili. Naye anagoma anaonesha ni bahili. Nikamwambia wewe bahili na mimi bahili...
  6. JamiiForums Tanzania Unaona kawaida kutangaza watu 518 wameuawa? Unasema utalibeba kwa utulivu? How?

    Kwa mara ya kwanza tunaona kiongozi mkuu wa nchi akisimama hadharani na kuona idadi ya watanzania ambao amewatangaza kuwa wamekufa 518 na zaidi kwake anaona ni jambo la kawaida. Hashtuki! Anapindua meza na kuwabebesha lawama waliouawa kuwa ilikuwa ni haki yao maana walibeba mabomu, bunduki...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EPRA Kutangaza Bei Mpya za Mafuta: Je, Zitapanda?

    Wakenya wako katika hali ya kusubiri huku Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli (EPRA) ikitarajiwa kutangaza bei mpya za mafuta, hatua inayoweza kuathiri moja kwa moja gharama ya maisha nchini. Kila mwezi, EPRA hutangaza bei za juu za rejareja za petroli, dizeli na mafuta ya taa, ambazo...
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Seleman Said Bungara (Bwege) afariki dunia

    Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu. 18 November 1961 - 30 Machi 2026 Pia soma Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri...
  9. JamiiForums Tanzania Yah; Pongezi kwa kutangaza bendera yetu kama “chapa ya cocaine” duniani

    Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania kukamatwa El Salvador 06.02.2025 ikiwa na shehena ya tani 6.6 ya dawa za kulevya. Mlikuwa mnasubiri upepo upite, au mlikuwa mnapiga hesabu za jinsi cocaine tani 6.6 zilivyoweza kutosha katika meli inayopeperusha utambulisho wetu bila ninyi kufahamu Je...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Usipende kutangaza au kuonesha mafanikio yako waache watu wagundue na kuona wenyewe

    Utashangaa mtu kaoa mke mzuri unamposti, unataka sisi tufanyaje mwisho WA siku tuna mwinda na tuna MLA unakuja kushituka kumbe ulioa Malaya, tatizo ni wewe ulieamua kututangazia kuwa Kuna chombo kizuli pahali fulani. Huyo ni mkeo au mumeo wako picha yake weka chumbani kwenu au sebuleni hapo uwe...
  11. JamiiForums Tanzania Hakuna biashara za kutangaza kwenye mabango ya matangazo ya miji?

    Ukitembea miji na majiji karibia yote sasa hivi kuanzia Dar es Salaam na kwingine mabango ya matangazo barabarani bado yamejaa matangazo ya CCM ya uchaguzi ya Chagua Samia, October Tunatiki n.k Hii ni baada ya miezi matatu ya kile CCM walichojiaminisha ni uchaguzi. Uwepo wa matangazo ya CCM ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa chuo cha Tanzania Institute of Accountacy waliomaliza 2022 taarifa zao hazipo TCU wala NACTE. Wanashindwa fanya maombi ya kazi uhamiaji

    Wahitimu wa chuo cha Tanzania institute of accountacy waliomaliza 2022 Taharifa zao hazipo TCU wala NACTE na wanashindwa fanya maombi ya kazi uhamiaji. Wakituma details zao kama namba za registaration na cheti hakitambuliki na deadline inakaribia january 11/2026 watu wengi watakosa fursa kwa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania INEC - Tanzania: Nani kampigia kura Samia Suluhu? Nani kapiga kura? Acheni ujinga huo mara moja wa kutangaza hayo mnayoita "matokeo ya uchaguzi"

    Wenye nchi (wananchi) hawakwenda wala kujitokeza kupiga kura kwa sababu tulisema toka mwanzo NO REFORMS NO ELECTION na mlitubeza na kudharau... Sasa hayo mnayoyaita "matokeo ya kura za udiwani, ubunge na Rais mmeyatoa wapi...? Bado mnaamini kuwa mtaendelea kututawala kwa uongo na udanganyifu...
  14. JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kwa viongozi wa serikali na makundi ya kiimani kutangaza amani huku watu wakitekwa na kupotezwa kusipojulikana

    Serikali na makundi ya kiimani kuelekea uchaguzi mkuu october 29 ambao asilimia kubwa ya watanzania wanapinga kwa nguvu kubwa uchaguzi huo usifanyike bila kufanya reform nimeona viongozi wa serikali na makundi ya kiimani yakitangaza amani huku watu wengi wakilia ndugu zao kutekwa na kupotezwa...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la Madagascar limechukua Uongozi wa nchi! Eti TV za Bongo wanashindwa kutangaza kwamba

    Kuna watu hovyo wamekazana kusimulia nchi jilani zina vita, machafuko, Oooh Kongo wanateseka, nk. Hadithi kama hizo hujitokeza wakati wa uchaguzi. Mbona hata sisi watu wanatekwa na kupotea? Jana jeshi la Madagascar limechukua uongozi wa nchi. kama kawaida ya BBC Swahili ikawa ni habari kuu. Eti...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shirika la Uwakala Wa Meli Tanzania (TASAC) kutangaza ajira mpya bila ya kuwarudisha baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake sio sawa

    Wasalaam , Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutangaza Biashara Yako

    Jinsi ya Kutangaza Biashara Yako Tatizo kubwa linalowakumba wengi ni hili: wana bidhaa au huduma nzuri, lakini hakuna anayejua inapatikana. Siku hizi kelele ni nyingi sana unahitaji visibility. Hakikisha jina lako linaonekana popote mitandaoni, mitaani, na kwenye vinywa vya wateja wako. Hizi...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania kutangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu

    https://www.youtube.com/live/G7yv_AM6JAA?si=n0iy7ZZrOM3x13x- Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania: Tume imekamilisha uboreshwaji wa daftari la wapiga kura kwa awamu mbili, awamu ya kwanza ilianza tarehe July 20 2024 na kukamilika March 25, 2025, na awamu ya pili ilianza May 1...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha

    Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha. - Hulk Hogan alikuwa miongoni mwa nyota maarufu zaidi katika historia ya mieleka lakini pia alikuwa mmoja wa watu waliowagawa sana mashabiki. - Tukio lake la kumbwaga Andre the Giant litasalia katika...
  20. JamiiForums Tanzania Moderators naomba mtu anajiita Abtaili Mwerevu apewe ban kwa kutangaza ajira za utapeli .

    Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli . Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli. Kuweni nae makini au apewe life ban
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…