kutajirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tanzania ukitaka kutajirika wekeza kwa wajinga na masikini

    TANZANIA UKITAKA KUTAJIRIKA WEKEZA KWA WAJINGA NA MASIKINI. Anaandika Robert Heriel, Mtibeli. Taikon Leo sina mengi maneno. Leo ni Kwa wale wanaopenda kuwa na pesa lakini hawaelewi wazipataje. Taikon sio mchoyo wa maarifa hilo hata ninyi ni mashahidi. Haya nilisema sina maneno mengi, turudi...
  2. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mambo ya kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa

    Muhtasari: Dhumuni la nakala hii ni kuelimisha jamii kuhusiana na kanuni za kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa. Pia, kutoa hamasa kwa vijana na wajasiriamali mbalimbali kukuza mitaji na utajiri kwa kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam...
  3. Masokotz

    JamiiForums Tanzania General Commercial Company inawezaje kukusaidia kutajirika?

    General Commercial Company ni aina ya kampuni ambayo husajiliwa kwa minajili ya kufanya shughuli yoyote ile halali ya kuweza kukuingizia PESA, iwe kuwekeza, kukopa, kukopesha, kuzalisha, kuuza, kununua etc. Kwa kawaida unachotakiwa ni kuhakikisha kwamba unachofanya ni halali na unakifanya kwa...
  4. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

    Moja ya sababu kubwa ambayo watu wengi husema kwamba inawazuia kufanya biashara ni mtaji. Mimi huwa nakataa sana sababu hii kwa sababu haiwezekani leo huna mtaji, mwaka kesho huna mtaji na hata miaka mitano ijayo huna mtaji. Nasema mtaji ni kigezo tu ambacho watu wengi hutumia kuficha...
Back
Top Bottom