kutafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usitafute mapenzi umri wa kutafuta pesa

    "USITAFUTE Mapenzi Katika Umri Wa Kutafuta PESA" Jana Nimechelewa Sana Kulala Nilikuwa Nasoma Tafiti Fulani Kuhusu UMRI na MAISHA. Nikajifunza Kwamba Kuna Umri Ukiwa Nao Fursa Nyingi Zinakuwa Nje Nje, Na Unazipata Haraka. Ila Kuna Umri Ukifika Hata FURSA Kuzipata Inakuwa Mtihani wa Chuo...
  2. JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kukutana na changamoto gani katika kutafuta ajira

    Mimi nilikutana na matangazo haya ya ajira kwenye nguzo za umeme bhn mshahara 410k. Nikapiga simu, wakaniambia niende kwenye interview kesho yake pale Chang'ombe Junction saa 12 asubuhi na niwe smart sana, wakaniasa. Kesho yake, kama kawaida, nikaenda kutimba pale Chang'ombe. Nikampigia jamaa...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Watanzania sasa tuulizane; Rais bado anasafiri duniani kutafuta misaada?

    Tulikwishakuwa omba omba wa dunia. Ikafikia hata kuomba na kupewa ikawa ni sifa ya mgombea urais. Kwamba eti awe anajulikana duniani. Baadaye marais wetu wakabweteka. Ukawa mtindo kusafiri. Kama kawaida ikawa kama ngoma, wapo waliozidisha. JK yeye aliishi hewani kuliko hata rubani. JPM akafunga...
  4. JamiiForums Tanzania Kutafuta mwenza nyakati hizi ni jambo gumu ,linaloonekana jepesi machoni pa watu waliotanguliza hisia badala ya akili

    Habari za usiku waungwana.. Ni jambo lililo wazi kimaumbile kuwa mwanadamu mwenye utimamu wa akili na mwili anamhitajia mwenzake wa jinsia nyingine ili kukamilisha muunganiko wa kimaumbile unaoleta stara ya kibinadamu. Ni jambo muhimu kwenye maisha ya mtu yeyote mwenye kuyatazama mambo kwa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kushirikiana katika kutafuta Masoko ya Bidhaa zako

    Je, wewe ni mzalishaji wa bidhaa au unamiliki duka la jumla na unatafuta njia bora ya kuongeza wateja wa uhakika kwa bidhaa zako? Ninakuleta suluhisho thabiti! Ninajitokeza kama wakala wa masoko na dalali wa bidhaa, nikiwa na nia ya dhati ya kukusaidia kufanikisha malengo yako ya biashara. Nina...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kutafuta mke

    Mimi ni kijana wa kiislamu nina miaka 35 nahitaji mke pia mimi ni mweusi nafanya kazi serikali . Mke ninayemuhitaji awe muislamu kazi sio muhimu awe mweupe na asiwe na mtoto miaka isizidi 30 pia aipende dini na kupenda kuswali. Karibu sasa aliyeko tayari aje tujenge maisha yenye kumpendeza Mungu
  7. JamiiForums Tanzania Baadhi ya graduates hawako serious katika suala la kutafuta ajira

    Habari za weekend wakuu? Wakubwa leo bana,hr amenipa kazi ya kuwapigia baadhi ya candidates kwenye nafasi kama 4 za idara yetu kuwaalika kwenye usaili siku ya jumatatu,na haya ndio niliyoyaona nikajisemea tu hawa watu wako serious kweli? 1.Number nimepiga zaidi ya mara tatu hazipatikani...
  8. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Shinyanga kutafuta mke

    Wakuu, nimekuwa na wazo la kwenda Shinyanga kutafuta pisi moja ambayo nitatulia nayo tuanzishe familia. Unaweza kuniuliza why Shinyanga? Kipindi kile Haji Manara alipomuibua Rushayna, baada ya kugombana naye nakumbuka alisema alimuibua huko Shinyanga. Rushayna ni pisi kwa kweli, naikubali sana...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kutafuta Mafekeche akiwaaga Wajumbe Ukumbini, "ninyi jengeni Siasa"

    Akihitimisha salamu zake za pongezi kwa ushindi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kupiga mzigo ili kutafuta mafekeche (fedha) na wataonana baadae. Pia, Soma: Mbowe: Nikishindwa uchaguzi narudi kwenye biashara zangu "Ngojeni nikapige mzigo...
  10. JamiiForums Tanzania Usiende ughaibuni kutafuta maisha

    Katika mapambano ya maisha muda mwingine watu tunakata tamaa, kukata tamaa huanzia ngazi ya mtu binafsi hapo utasikia nafsi inakwambia jiue😭😭😭, mtu huyo huyo anaweza kuikatia tamaa familia yake kwasababu haimsaidii wengi wao hujitenga na familia zao, Kisha anaikatia tamaa nchi yake kua...
  11. JamiiForums Tanzania Kazi ya kutafuta masoko

    Habari ( Salesperson Needed ) NB: Tunaitajii watu 5 kwa ajili ya kutafuta masoko ya bidhaa za umeme Eneo : Kibamba Mshahara:: 800,000/= Kwa mwez Call / Text : 0614502969 Kwa maelezo zaidi
  12. JamiiForums Tanzania CCM iache Siasa nyepesi za kubebana na Wasanii kutafuta Justification ya Umati mkubwa, LITERACY RATE Kwa watanzania wa Leo ni Kubwa, hawadanganyiki !

    Mbinu zilezile za miaka ya 1960 ,ndizo zinazotumika hata Leo . 🤣
  13. JamiiForums Tanzania Vimbwanga vya kutafuta mke safari ya ugenini

    Nilikuwa kijana sasa ni mzee. Miaka hiyo nafanya kazi kwa kijana mwenzangu ambaye Mungu alimbariki na kumuinua sana kiuchumi kwa nyakati hizo. Ni kati ya Waafrika wa mwanzo kumiliki SCANIA 111 na 81. Basi mimi akanikabidhi SCANIA 81 kwa roho safi (mtama kwa watoto). Nyakati hizo kazi ya lori...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee Polisi wanakukamata halafu ndio wanaanza kutafuta wakufikishe mahakamani kwa kutumia sheria gani!

    Si mara ya kwanza hili limefanyika, kwamba Polisi watamkamata mtu, watamuweka ndani, halafu akiwa ndani ndio wanaanza kujiuliza, sasa huyu tumfikishe mahakamani kwa kutumia vifungu gani vya sheria? Ndio maana ni rahisi sana Tanzania kukamatwa na kupelekwa mahakamani, kuachiwa na hakimu, kisha...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana wote iwe Chadema au Ccm wanakimbilia siasa ili kutafuta unafuu wa maisha .

    Huyu jamaa anajiita Mdude . Kwanza hana Elimu ya darasani , pili haelewi Kwa kina kuhusu siasa. Muda anaoutumia mitandaoni kuponda na kubeza wanasiasa bora angeutumia kuboresha Kazi zake za ufundi wa Simu na computer. Hao akina Mwambukusi sio wenzake hao wana Elimu kubwa Sana na wamempita...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar, Nahitajika kuwa na vitambulisho gani?. Naenda kutafuta kazi.

    Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke Ukiona una 30s jaribu kutafuta wanaume mtaani kwenu

    30s umri huu Kwa mwanamke anabidi kufocus kutafuta mwanaume kwao huko Mtaani kwao. Sio anadanga huko Mtaani miaka yote na kutoa mimba then anakuja huku ambako afahamiki ili ajipatie dodo kwenye mnazi
  18. JamiiForums Tanzania Watengeneza kitimoto wajaribu kuwa wabunifu wa viungo vingine zaidi ya tangawizi tu

    Wakaangaji na wachomaji kitimoto wa bongo ni kama hawajui viungo vingine vya kuweka katika nyama pendwa zaidi ya tangawizi tu. Nyama nyeupe kama za kitimoto, kuku na Samaki zinanoga zaidi mpishi akiwa na ubunifu mkubwa katika kuziwekea viunguo(spices) mchanganyiko.
  19. JamiiForums Tanzania Harakati za wagonga ulimbo kwenye kutafuta ajira

    Mbele yenu ni kijana wa kitanzania mpambanaji ninayechukia kukata tamaa, Kwani kukata tamaa ndio mwanzo wa umaskini. Leo nimeona nishare visa tunavyokumbana navyo wagonga ulimbo hasa graduates katika kutafuta ajira rasmi hasa sisi tuliotokea kwenye familia duni ambazo ikihitajika laki moja basi...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…