Samia anapigana na watanzania inamaana anaenda kupigana na taifa lake kwa kusudi la kulinda taifa lake hiyo D9.
Kweli washauri wake ni akina kingwendu.
Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi Allah aliyompa Nabii Musa na Vizazi vyake Quran 5:21
Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu...
(Kwa masomo yenye kujenga na Nyimbo nzuri sikiliza hapa Jesus News Radio
Sehemu ya Mwisho ya somo letu kutambua Kusudi lako
1. Kuishi Bila Mwelekeo
Mmoja wa madhara makubwa ya kutotambua kusudi lako duniani ni kuishi maisha bila mwelekeo. Mtu ambaye hajui aliumbwa kwa ajili ya nini huwa kama...
Lijue Kusudi Lako la Kuzaliwa Njia halisinunayo paswa kuipita ili kugikia kilele cha ndotobzako . Mfahamu mpenzi wako kwa undani. Elewa siri zilizojificha kuhusu familia na ukoo uliozaliwa. Zifahamu sababu za changamoto unazopitia mara kwa mara — na njia sahihi za kukabiliana nazo — kupitia...
Wewe hukuzaliwa hapa duniani kama jiwe, mti, mdudu wala mnyama; ulizaliwa kimaalumu kabisa kama binadamu kwa LENGO au KUSUDI maalum; unatakiwa ulijue na ulitimize kabla hujaondoka kwenye uso wa hii dunia kurudi ulikotoka!
Haupo duniani ili mradi hupo tu, la hasha, hupo kwa ajili ya KAZI AU WITO...
Wenye kuelewa ndio mtaweza kuelewa hili jambo.
Mnakumbuka ndani ya chama cha CCM kulikuwa na upinzani mkali sana na kila mwenye nguvu alitaka kusimamisha mtu wake anayeweza kumfanya remote.
Jambo lilotokea CCM kuweka makamo wa raisi mwanamke baada ya kuona kuna mgombea mwanamke raisi kupitia...
Habari Wakuu!
Moja ya kitu kinachomfanya mtu aishi maisha yenye furaha ni kujua kusudi lake na kuliishi kusudi lake.
Bila shaka najua ya kuwa watu wengi hawajui kusudi lako lao la kuwepo hapa duniani. Kwakuwa mienendo ya watu wengi inakuchochewa na watu waliowazunguka. Mfano unakuta mtu...
Itoshe kusema katazo lako la wimbo wa kuchochea chuki baina ya wananchi wa vyama pinzani limenipa maono kuwa Taifa hili lina hazina kubwa ya busara na hekima ndani ya watu wake!
Tupo salama, tuchape kazi na Mungu atubariki
Wanabodi
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani ambalo naliendesha kwa hoja za maswali
Kwanza hebu msikilizeni nabii huyu na unabii wake kumhusu Tundu Lissu https://youtu.be/Isx1OohuSwE
Je Nabii huyu ni nabii wa ukweli...
HESHIMA YENU WAPENDWA UNAWEZA KUSOMA HUU UZI THEN KAA UTULIE JARIBU KUTAFAKARI HATA KIDOGO KILICHOANDIKWA.
Ni kosa kufikiri kwamba muda unaenda.
Muda hauendi. Muda upo hadi mwisho wa dunia.
Ni wewe unayeenda.
Haupotezi muda. Muda hauna kikomo. Unajipoteza mwenyewe. Wewe ndio una mwisho.
Ni...
Kiistoria, kila unapobaki mwaka mmoja au miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini, ndani ya chadema kunaibuka minyukano.
Hii ilikuwa kweli mwaka 2008 na 2009, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010
Na Ikawa kweli 2013 na 2014, kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015
Na sasa ni kweli pia...
Maisha ni safari ndefu yenye kila aina ya changamoto, na hakuna mwanadamu yeyote azaliwaye kwenye sura ya dunia hii bila kuzipitia. Changamoto huja kwa nyuso tofauti-tofauti kwa kila mmoja, na kamwe haziwezi kufanana wala kuwa na uzito wa aina ile ile kwa watu wote wanaozipitia.
Ikitegemea na...
Kijana wa miaka 23 anajua nini Cha kufia.
Kwenye maisha, lazima ujue nini kusudi lako.
Lazima ujue nini unaweza kukifia ama nini kinakufanya uishi.
Kwakweli wengi wetu tunapumua tu. Tupo hai si kwa kusudi lolote, ni basi tu oxygen inajipitisha mbele yetu na tunapita nayo.
Ni kama tunaiba hii...
Naanza kwa kuwatukanizia wale wote walio ni laghai nilipokuwa mtoto mdogo kwa kuniambia eti :
1. Nimerithi dhambi ya asili kutoka kwa mtu anaitwa Adam.
2. Eti nimeletwa duniani kufanya mitihani ( majaribu).
3. Kwamba eti alie niumba aliniumba ili nimuabudu..
........
1. Sina dhambi ya...
Ilitokea Ohio, marekani, 2000
KWA KIFUPI Ni kwamba,
Binti mmoja baada ya kula sana ujana, miaka 33 anaamua kuseto kwa kutafuta mume wa ndoto zake afanye maisha.
Vigezo vyake Ni awe mrefu, handsome na professional na anabahatika kupata mchumba daktari na penz lao Moto Moto penzi linaingia...
Rafiki yangu mpendwa,
Hadithi za kulala masikini na kuamka tajiri zimekuwa zinapendwa sana na watu wengi.
Wengi hudhani kuna njia ya mkato ya kupata utajiri, ambayo wakiweza kuipata tu basi wanakuwa wameagana na umasikini kabisa.
Lakini ukweli ni kwamba hakuna utajiri mkubwa wa kudumu...
Hii ni kwa Kiranga na mshamba_hachekwi , naomba maoni yenu 🤔
Dini lengo lake kuu ni kuwaunganisha watu kuwa katika udugu mmoja kwa ufunuo wa chanzo kimoja cha asili, lakini dini imekuwa tofauti imekuwa uwanja wa ubishani nani yupo sahihi?
Lengo la jumla la dini halipo ila lipo lengo la...
Naandika katika hali ya masikitiko makubwa kutokana na uzoefu wa madhila ya kimaisha niliyoyapitia na ninayowaona wengi tukipita katika njia ileile ya majuto kwa lengo kuu la kuhakikisha hatuupotezi muda mfupi tuliojaliwa na Mungu kufanya mambo yasiyo na faida yoyote kwetu.
Ni sahihi sana kuwa...
Salam ndg.mikutano muhimu ya siasa ambayo huwapa elimu watu juu ya mambo mbalimbali eti mwisho sa12:30jioni.lakini mikutano ya matapeli kwa jina la Yesu hadi sa moja!.Au kwakuwa hii ni ya kupumbaza watu wanaona heri?watu wanapeleka udongo ukaombewe badala ya kutumia mbinu bora za kilimo .ujinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.