Ninafikiri kwamba, Umri wa kustaafu utumishi wa umma ushuke na kuwa angalau miaka 45 hivi, ama tuweke ukomo wa utumishi wa umma uwe miaka 15 tu, ili mtu akistaafu apate fursa ya kuyaishi maisha mengine ya kujitafutia kipato nje ya utumishi akiwa na nguvu zake kamili, na kuruhusu kizazi kingine...
Meja jenerali Marco Elisha Gaguti jana ameondolewa kutoka nafasi alokuwa nayo ya ukuu wa utumishi jeshini na kuambiwa atakuwa balozi.
Pia wakati wa teuzi mbalimbali zikifanywa jana hiyohiyo mkuu wa mkoa wa Kagera bi Hajath Fatma Mwassa nae akaondokewa katika nafasi hiyo (kutenguliwa).
Meja...
Nyumba hii ndiyo baba wa Kikwete alikuwa akiishi mpk pale Kikwete alipopata urais ndipo ikabomolewa kujengwa mpya.
Picha ya juu: Baadhi ya watoto wa Kikwete wakiwa na babu/bibi yao.
Picha ya chini: Baba na mama wa Kikwete wakiwa kwenye "shughuli" (siyo sherehe).
N. B. Ndiyo maana marekani...
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Hellow!
Ushauri huu ni mzuri, Hawa wastaafu wa Tra kwa mfano, wakistaafu, wafungue pia biashara zile zile walizokuwa wakiwabana wenzao walipe, nao iwahusu.
Ameshauri wastaafu serikalini ifike mahali wakubali kustaafu, Serikali ina washauri wake, wastaafu kujileta mbele ya viongozi wetu kwa gia...
Nakaribia kustaafu hapa jf kutokana na uzee wangu wa miaka 89 niliyonayo.
Mafao nitakayopata, nitayatumia katika uwekezaji wa shamba langu huko kijijini.
Shamba langu litakuwa na mpangilio kama huu.
Pia nitajenga kakibanda changu kadogo cha kupumzikia, pale nitakapohitaji kutafuta usingizi...
Salaam,
Mwenyekiti mstaafu hakuwahi kukabidhi ofisi, na aliyekabidhiwa ilibidi anyamaze tu, maana sasa utasema nilikuta hilli na hili halikuwepo, nani shahidi?
Jambo Hilo Hilo limejitokeza kwa aliyekuwa balozi huko jirani na kwa akina Trump, ameachia ofisi bila kufanya makabidhiano,
Sasa...
Tukifanya kazi bila ukomo vijana wanauliza; 'kwanini hatustaafu ilhali kuna kundi la vijana hawana ajira'
Tukiamua kustaafu vijana hao hao wanauliza; 'kwanini tumestaafu au tumegombana na mabosi zetu'.
NB: Basi niwaambie kitu wazee wenzangu; binadamu hawaachi kusema, hasa wale ambao wanatamani...
Ni ama hawajui Falsafa nzima ya Utumishi wa Umma au ni kitu gani lakini?!
Mtu anafika top rank ya kitaifa anastaafu halafu anarudi tena kwa madai ya kuingia siasani
Vijana wetu watafanya kazi gani sasa kama mtu anakula pension na Mshahara kwa wakati mmoja
Ahsanteni sana 😁
Nawatakia...
Hali hii ya Tanzania, ambapo mtumishi wa umma analipwa pesa nyingi wakati wa kustaafu badala ya kusaidiwa mapema kununua gari, nyumba, au kufanya uwekezaji akiwa bado anafanya kazi, inazua maswali mengi kuhusu watumishi.
Tuanze na maswali ambayo ye mtazamo wa kuchokoza fikra:
"Je, Mafao ya...
Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60?
Samia ana miaka 63.
Wasira ana miaka 81.
Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania.
Kwann watumishi wa chini huku...
Baba yangu ni Askari Mstaafu mwenye Namba X_C1611 PC, nyaraka zake zinaonesha aliajiriwa Mwaka 1973, alipostaafu Mwaka 1987 kulitokea mkanganyiko wa cheki yake ya malipo.
Cheki ilipelekwa Singida badala ya Kagera, alipokuja kushtuka baadaye akaifuatilia na kubaini hadi muda anafuatilia tayari...
Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake.
Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi...
Salaam!
Ushauri kwa wale wanaojiita ma-regendary wa bongo wakuu ukweli huu hamtaupata popote na auonaye amwambie mwenzie ,wakuu Game ya bongo ya Muziki na hata sanaa zingine sio kazi au biashara ya kudumu ,mtawafariji ooh mbona wa ulaya mpaka leo wanapiga show ,wakuu hilo game la ulaya leo hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.