kusitishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tunalaani Kusitishwa kwa Leseni ya Gazeti La Mwanahalisi, Hatua Hiyo Isitishwe Mara Moja

    ACT Wazalendo tunalaani kwa nguvu zote uamuzi wa Serikali kusitisha kwa miezi sita leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la MwanaHALISI, kuanzia tarehe 19 Agosti 2026. Serikali imesema hatua hiyo imetokana na madai ya kukiuka viwango vya usahihi, mizania na uthibitishaji wa taarifa...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IGP Douglas Kanja aagiza kusimamishwa kwa Maafisa wa Polisi watakao kuwa kazini wakati Mtuhumiwa akifariki kizuizini

    Inspekta Jenerali wa Polisi Kenya, Douglas Kanja, ameagiza maofisa watatu waliokuwa kazini wakati mtuhumiwa anapofariki akiwa kizuizini kusimamishwa mara moja (interdiction) ili kuruhusu uchunguzi kufanyika. Maofisa hao ni anayerekodi taarifa katika Occurrence Book (OB), askari wa seli (cell...
  3. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni zarejea baada ya kusitishwa kwa takribani mwaka mmoja

    Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Baada ya zoezi la ukarabati, nimebaini kuwa huduma zimerejea katika hali nzuri. Miundombinu imekarabatiwa, na kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taharuki yaibuka Bunda mkoani Mara, wananchi waambiwa wapishe upanuzi wa eneo la hifadhi, uvuvi wasitishwa, risasi zafyatuliwa

  5. JamiiForums Tanzania Taharuki yaibuka tena Nyatwali-Bunda baada ya uvuvi kusitishwa, risasi zapigwa

    Taharuki yaibuka tena Nyatwali-Bunda baada ya uvuvi kusitishwa, risasi zapigwa, wananchi waeleza kilichotokea.
  6. JamiiForums Tanzania Sababu ya safari za mabasi kusitishwa siku ya kesho Oktoba 29,2025, na vipi kwa mtu aliyekata tiketi ya tarehe hiyo?

    Katika hali isiyo ya kawaida mabasi yaendayo mikoani yamesitisha safari zake kwa siku ya kesho, sababu kubwa ikiwa nikuwapa fursa watu kupiga kura, nawaza watu hao ni akina nani kwa sababu kura sio lazima ipi hatma ya wale waliokata tiketi zao. Ipo hivi serikali ya CCM inahakikisha kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania Hatua ya Kusitishwa kwa JamiiForums: Uchambuzi wa Kisheria na Haki za Wananchi

    Disclaimer: Uzi huu umeandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu na kuibua mjadala wa kitaalamu na kiraia kuhusu uamuzi wa TCRA dhidi ya JamiiForums. Yalichopishwa hapa hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri rasmi wa kisheria, bali ni uchambuzi wa kisheria na kikatiba kwa lengo la kuelimisha na kujadili...
  8. JamiiForums Tanzania Honda wamezindua 6th Gen Honda Prelude: Hii Coupé imerudi baada ya Civic na Accord coupés kusitishwa!

    Honda Prelude ni sport car iliyotengenezwa kutokea 1978 na kusitishwa mwaka 2001, na sasa inarudi officially. Inakuja na 2.0 L engine, ikiwa imeunganishwa na dual-motor hybrid system, ambavyo kwa pamoja vitakupa 200 hp na efficiency ya 20 km/L average. Wanatumia CVT transmission ikiwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Matawi Ya CRDB Kufungwa Kwa Siku Tatu Nchi Nzima

    Benki ya CRDB imetangaza kufunga huduma katika matawi yake yote kwa siku tatu kuanzia Septemba 5 hadi 7 mwaka huu. Kufungwa kwa matawi hayo kunalenga kutoa nafasi kwa wataalamu kufanya maboresho na kuweka mifumo ya kisasa ili kuongeza ufanisi huduma zinazotolewa. Kwa mujibu wa taarifa...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Chama cha NLD chaomba radhi kwa kusitishwa kwa shughuli za kampeni za Mgombea Urais mnamo Agosti 31, 2025

    TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA NLD KUHUSU KUSITISHWA KWA SHAMRASHAMRA ZA KUMPONGEZA MGOMBEA URAIS MHE. DOYO HASSAN DOYO NA MGOMBEA MWENZA BI. CHAUSIKU KHATIBU, NA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA Chama cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kutoa taarifa rasmi kwa waandishi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu kutoka NSSF

    Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru watajwa kuwa sababu kusitishwa operesheni C4C CHAUMMA

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema ratiba ya Mwenge wa Uhuru mkoani Tanga ndio ilikuwa sababu ya kuzitisha ziara yao ya Operesheni C4C iliyopangwa kufanyika katika mikoa yote nchini kwa siku 16. Itakumbukwa Mei 21, katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Hali ya wasiwasi inazidi kuongezeka nchini Iran Ayatollah Khamenei, hajaonekana hadharani licha ya kusitishwa kwa vita

    Kwa kusitishwa kwa mapigano, Wairani wanashangaa kuendelea kutokuwepo kwa Khamenei Leo, 7:30 asubuhi 1 A Juni 14, 2025. (Picha na ATTA KENARE / AFP) Gazeti la New York Times linaripoti kuhusu hali ya wasiwasi inayozidi kuongezeka nchini Iran kutokana na kuendelea kutokuwepo Kiongozi Mkuu...
  14. JamiiForums Tanzania Iran yatoa Masharti, wakati Trump akidai kusitishwa kwa mapigano

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Seyed Abbas Araghchi, ameweka ujumbe hivi karibuni kwenye mtandao wa X akisema kwamba ikiwa Israel itaacha "uchokozi usio halali" Iran "haina nia ya kuendelea kujibu". Araghchi alisema Israel lazima isitishe mapigano ifikapo 04:00 saa za eneo, ambayo imepita...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu kuleta utata baada ya serikali kusitisha maombolezo

    Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, ametangaza kusitisha ghafla kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Edgar Lungu, kufuatia mvutano unaoendelea kati ya serikali na familia ya marehemu kuhusu mipango ya mazishi yake Akihutubia taifa Alhamisi usiku, Rais Hichilema...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutaka kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutakao kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza. Azimio hilo haliwekei masharti ya kusitisha mapigano kwa kuachiliwa kwa mateka waliosalia. Kwa maneno mengine, inawaacha Hamas madarakani, wakiwa na silaha, na kuwashikilia...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya lataka kusitishwa kwa msaada wa EU kwa Rwanda kuhusu mzozo wa Kongo

    Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe. Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya nchi hiyo na waasi wa M-23 ambao wengine wamekuwa wakidai kwamba huchochewa na wazungu japo hawatoi...
  19. JamiiForums Tanzania ACT WAZALENDO Kuhusu Kusitishwa kwa Misaada ya Afya na Serikali ya Marekani

    ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje. Tanzania, kama moja ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa NBC waachiwa huru baada ya kesi ya utapeli TSh milioni 390 kufutwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imewaachia huru wafanyakazi wawili wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Johnson Kato (57) na Gasper Kimaro (30) waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki, Wakili wa Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…