kusitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rasmi,sasa Israel yaomba kufanya mazungumzo kusitisha vita vyake na Hamas

    Baada ya tetesi za karibu wiki leo mjumbe wa ngazi za juu wa Israel kutoka shirika la ujasusi la Mossad amemfuata waziri mkuu wa Qattar ili kuangalia uwezekano wa kusitishwa vita kwa mara nyengine. Misri kwa upande wake imejifanya inajua siri zaidi na kuamua kuzitoa hadharani kwa kusema sasa...
  2. Vikosi vya Israel vyavamia Jenin katika Ukingo wa Magharibi huku juhudi za kusitisha mapigano zikiendelea

    Wenzetu kwenye BBC Radio 4 wamekuwa wakizungumza na Mustafa Barghouti, mwanasiasa wa Palestina na kiongozi wa Mpango wa Kitaifa wa Palestina, ambaye amekuwa akizungumzia hali ya Jenin. Anasema kuna "uvamizi mkubwa wa Israel" katika Jiji la Jenin na kambi ya wakimbizi ya Jenin, katika Ukingo wa...
  3. M

    Isreal yakiuka makubaliano ya kusitisha vita

    Photos: UN, Red Crescent staff rescue man shot by Israeli forces in Gaza The incident took place on main road in the Zeitoun district on the southern outskirts of Gaza City. https://x.com/qudsn/status/1728336182671479295?s=20 Nb Siku Israel ataporipuwa Vatican ndio wakiristo wa Buyu...
  4. K

    Israel yakubali masharti ya HAMAS kwenye kusitisha mapigano ya vita kwa siku 4. Kwa masharti haya,nani kaelemewa?!!

    Mgogoro wa Israel na Palestine huku ukiendelea kwa mashambt makali,kesho vita vitasinama kwa siku 4. Yafuatayo ni masharti ambayo Israel na HAMAS zimekubaliana kwenye mazungumzo ambayo yamekua yakifanyika nchini Qatar kwa takribani wiki 2 Sasa. Makubaliano hayo yameungwa mkono na USA ambae ni...
  5. Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

    Wanaukumbi. Maafisa wa Hamas 'wanakaribia kufikia makubaliano ya mapatano' na Israel na kundi hilo limetoa majibu yake kwa wapatanishi wa Qatar, Ismail Haniyeh alisema katika taarifa. Taarifa hiyo haikutoa maelezo zaidi, lakini afisa wa Hamas aliiambia Televisheni ya Al Jazeera kwamba...
  6. Mkuu wa W.H.O asema ikiwa UN haiwezi kusitisha maafa ya Gaza kuna umuhimu gani wa kuwepo kwake

    Martin Gifhin mkuu wa shirika la afya duniani amesema ikiwa umoja wa mataifa umeshindwa kuizuia Israel isiendelee kuua watu wasio na hatia Gaza basi hakuna haja ya kuwepo umoja huo. Maelezo hayo ameyatoa leo na kunukuliwa na vyombo vya habari kikiwemo aljazeera baada ya kupokea taarifa ya idadi...
  7. Maisha ya mateka 70 kwa kusitisha vita siku 5. Nini faida na hasara ya utekelezwaji wake?

    Wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Hamas cha Alqassam wamerudia mara nyingi katika wiki kwamba wako tayari kuachia mateka 70 inaowashikilia kwa sharti kwamba vita visitishwe kwa siku tano tu na kuruhusu misaada kuwafikia watu wa maeneo ya Gaza. Kwa maelezo ya waandishi wa habari viongozi wa...
  8. HAMAS itaachia mateka 15 kama Israel ikikubali kusitisha mapigo kwa muda

    Israel wakikubali kusitisha mapigo kwa walau siku tatu, mateka 15 wataachiwa huru............. Negotiations are continuing between Israel and Palestinian group Hamas, mediated by Qatar in coordination with the United States, that could see 10-15 Hamas-held captives released in exchange for a...
  9. Israel yagoma kusitisha vita, yaingia Gaza ndani, mpaka sasa Wapalestina 8,306 wamekufa

    Maandamano ya Waarabu kwenye nchi za wazungu yameshindwa kufanya Israel isitishe vita.... The Israel Defense Forces has “expanded” its operations in the Gaza Strip in recent days, pouring in troops and armored tanks to conduct “coordinated attacks from the ground and the air,” spokesman Daniel...
  10. Marekani yasema hakuna kusitisha vita. Nchi za kiarabu zasema hakuna kuhama. Wapalestina wasema bora kufa ndani ya majumba yao. Safari hii ni tofauti

    Mpaka jana (tarehe 23 Oktoba) raisi Joe Biden wa Marekani ameendelea na msimamo wake kwamba hataki mashambulizi ya Israel yasimamishwe huku madhambulizi hayo yakizidi kuongezeka na kuzidi kuuwa watu. ====== 'Then we can talk': Biden says no ceasefire in Israel-Hamas war until hostages released...
  11. Familia ya Glazer kusitisha kuiuza Manchester United

    Wamiliki hao wa klabu hiyo ya England wanatarajiwa kuchukua uamuzi huo kutokana na Wanunuaji kutofikia kiwango cha bei ambacho wanakitaka, ambapo wao wanataka Pauni Bilioni 10 (Tsh. Trilioni 31.4). Ikiwa uamuzi huo utafanyika unaweza kuibua hasira za baadhi ya mashabiki wa United ambao wamekua...
  12. Ombi la kusitisha mashambulizi kwa muda wa masaa 72 juu ya sakata la Tanganyika kuuzwa kwa DP World

    Imefika wakati najiuliza, hivi angekuwa ndio Mama yangu anapigwa spana namna hii non- stop ningejisikiaje? Nimejikuta namuonea huruma tu huyu mama, maana anaweza kuwa mama yangu mzazi kabisa. Imefika wakati najiuliza, is she being ‘black mailed’?, kwamba she has no choice? Au amekuwa...
  13. Kwa hiyo Sudan wameamua kusitisha mapigano siku mbili kupisha sikukuu ya kuchinja kisha waendelee kuchinjana.

    Kwa Wasudan wengi wanaotatizika kunusurika kwenye vita, ladha ya kondoo ambayo Waislamu hujitolea kijadi kwa ajili ya sikukuu ya Eid al-Adha ni kumbukumbu ya mbali. Mzozo huo ambao sasa uko katika mwezi wa tatu, umeleta vifo na misukosuko na kusababisha mamilioni ya watu kuyahama makazi yao...
  14. B

    RSF kusitisha mapigano kupisha Sikukuu ya Eid

    Wanajeshi wa RSF nchini Sudan wametangaza kusitisha mapigano kwa upande wao kwa ajili ya kupisha Sikukuu ya Eid-al-Adha itakayoanza Jumatano. Kiongozi wa RSF, Muhammad Hamdan Dagalo (Hemedti) ametengaza katika moja ya televisheni ya nchini humo huku akilaani dhuluma zinazofanywa kwa raia ikiwa...
  15. Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

    Akizungumza kutoka Berlin Ujerumani, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa Masharti ya Mkataba huo yanaonesha kuwa endapo kutakuwa na ulazima wa kuvunja Mkataba itabidi uamuzi utolewe na Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa. Amesema DP World wanataka kupata haki ya...
  16. Mwaka 2017, Fujairah iliamua kusitisha mkataba na DP World kuendesha Bandari yake

    Bandari ya Fujairah na DP World ambaye ni mmoja wa waendeshaji wakuu wa bandari duniani, walikubaliana na kusitisha Mkataba wa Uendeshaji uliosainiwa mwaka 2005 kwa lengo la kujenga, kuendesha na kuhamisha (BOT) kupanua na kuendeleza Kituo cha Kontena cha Fujairah bandarini kwa ajili ya kubeba...
  17. Pande zinazopigana zalaumiana kukosa uaminifu wa kusitisha mapigano Nchini Sudan

    Licha ya kuwepo kwa mazungumzo ya kusitisha vita baina ya pande mbili zinazogombea madaraka kumeibuka lawama huku kila upande ukilaumu Jeshi la Sudan na wapiganaji wa Vikosi vya RSF wameendelea kutishia utulivu hasa katika Mji Mkuu wa Khartoum na hivyo kuwa na uwezekano wa kuvunjika kwa...
  18. M

    Ni mpambano mkali kati ya watu 9 dhidi ya mtu mmoja: Wanawaza kunyoosha mikono na kusitisha mpambano! Putin noma!!

    Vs Unaweza kusema ni mpambano kati ya wanaume 9 (G7 wako 7 + NATO + EU) dhidi ya mwanamume mmoja aliyefungwa mikono (kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi)-URUSI. Lakini wanashangaa inakuwaje tumeshindwa kumwangamiza wakati tumemfunga mikono? Wakagundua kichwa hakijafungwa!! akili inafanya...
  19. Hoja ya kusitisha Mafao ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta yatua Bungeni

    Bunge la Kitaifa la Kenya linahitaji kura za walio wengi kusitisha mafao ya kila mwezi na marupurupu mengine ambayo Rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta anapata kwa kinachoelezwa kuwa anajihusisha na siasa baada ya kustaafu. Mbunge wa Gatundu Kusini, Gabriel Kagombe amewasilisha hoja katika...
  20. Majeshi yakubaliana kusitisha Mapigano kwa saa 72 nchini Sudan

    Pande mbili zinazopigana Nchini Sudan zimefikia makubaliano hayo mapya ikiwa ni kutokana na majadiliano yanayoshinikiwa kutoka Mataifa ya Marekani, Uingereza, Umoja wa Mataifa na Nchi majirani. Sitisho hilo liliwekwa ili kuruhusu wananchi kuondoka pamoja na shughuli za kuwaondoa Raia wa Nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…