kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu, huko Kusini mmeishiwa majina, kila mtu anaitwa Sanga tu, and ndio masharti ya utajiri?

    Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza kimya kimya moyoni..., kwamba huko Kusini kila mtu anajiita Sanga, lengo hasa ni nini? Hata kwenye vibao vya ujenzi wa maghorofa kila mtu anaandika Sanga tu.., hivi ndio masharti ya utajiri hayo au? Nini kinaendelea? Kila mtu Sanga, Sanga..., Sangaa ...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wanyakyusa kuwa juu kwa muda mrefu kwa mikoa ya nyanda za juu kusini kielimu, kisiasa, vyeo vya juu, n.k kwanini uraisi hawusogelei ?

    Kwa mikoa yan kanda ya juu kusini kuna Mbeya, Iringa, Njombe , Rukwa na Songwe. Hakuna shaka kwamba unapokuja ukanda wa nyanza za juu kusini kwa muda mrefu wanyakyusa ndio wamekuwa kabila lenye wasomi wengi zaidi, limeshatoa wanasiasa kibao waliofikia ngazi za juu, watumishi ambao wameshika...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Serikali kushtakiwa kwa kushindwa kutoa huduma ya Umeme wa Uhakika

    Makundi ya Upinzani, Chama cha Wafanyakazi na Wamiliki wa Biashara Wameandika barua ya madai kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shirika la Serikali la Eskom, Andre de Ruyter, wakisema kuwa Shirika hilo inakiuka wajibu wake wa kutoa huduma ya umeme. Pia, wameipa Serikali hadi Januari 20, 2022...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa mashtaka ya binafsi ya Jacob Zuma dhidi ya Rais Ramaphosa

    Mahakama ya Afrika Kusini imesitisha mashtaka binafsi dhidi ya Rais Cyril Ramaphosa yaliyoanzishwa na Rais wa zamani Jacob Zuma. Ramaphosa alikata Rufaa Mahakamani kujaribu kusitisha juhudi hizo. Zuma anamshutumu Rais kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya mwendesha mashtaka wa Serikali na...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania China yazuia visa za wasafiri kutoka Korea Kusini, Japan sababu ya UVIKO-19

    Imechukua uamuzi huo ambao utaendelea hadi vikwazo walivyoita vya ‘kibaguzi’ dhidi ya Wachina wanaotaka kuingia katika Nchi hizo vitakapoondolewa. Japan na Korea Kusini ni baadhi ya mataifa ambayo yameweka vikwazo dhidi ya wasafiri wanaotoka China kutokana na taifa hilo kulegeza msharti ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Sudani ya Kusini yaelekea Mashariki ya Congo kulinda amani

    ..Naona Jumuiya ya Afrika Mashariki imedhamiria amani ipatikane Congo. ..Sudani ya Kusini naye imetoa wanajeshi wake kwenda Congo kulinda amani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Korea ya Kusini laomba msamaha kwa kushindwa kuzitungua drones za Korea ya Kaskazini

    Tofauti kabisa na mawazo ya timu Marekani humu jamvini ambayo hung'ang'ania ushindi hata kama imepigwa za uso, jeshi la Korea ya Kusini limeomba msamaha wa wazi kwa kushindwa kuzipiga drones za Korea ya Kaskazini kwa masaa matano (jana wao wenyewe walisema kwa masaa 7, leo wamepunguza na kusema...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu wa Korea Kusini aachiwa huru

    Rais wa zamani wa Korea Kusini, Lee Myung-bak amepata msamaha wa Rais na kukatiza kifungo chake cha miaka 17 jela kwa ufisadi. Rais wa Korea Kusini, Yoon Seok-yeol ametoa msamaha huo kwa Lee, leo Jumanne ya Desemba 27, 2022 kama sehemu ya msamaha wa watu wengi ambao ni kawaida katika nchi hiyo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Drones za Korea ya Kaskazini yalichezea anga la Korea ya kusini mbele ya Air defense system za Marekani kwa masaa 7 na kurudi salama kituoni

    Kama kuna siku Marekani imechezewa sharubu ni leo!! Marekani hudai majeshi yake yako korea ya kusini ili kuilinda korea ya kusini dhidi ya kitisho cha korea ya kaskazini. Anga la korea ya kusini linalindwa na air defense za marekani zikiwemo Patriot air defense system na THAAD. Lakini leo drones...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Burundi yashinda kiti cha Spika wa EALA baada ya Sudan Kusini kujiondoa

    Joseph Ntakirutimana, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Tawala nchini Burundi, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Ameshinda baada ya wanachama 54 kati ya 63 kumpigia kura, huku mmoja akimkataa na Kura nane ziliharibika. Ili mtu ashinde nafasi ya Spika wa EALA, lazima apate...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mgawo wa Umeme wasababisha Bosi wa ESKOM Group kujiuzulu

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Eskom Group Andre de Ruyter amejiuzulu huku nchi ikikabiliwa na matatizo ya kukatika kwa umeme (kukatwa kwa umeme kulikopangwa). De Ruyter anaacha wadhifa wake karibu na tarehe ya alipochukua wadhifa huo Desemba 25, 2019. Hii ni mara ya pili kwa nchi hiyo kufikia kiwango...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

    Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ujuzi wa lugha ya Kichina watoa fursa za ajira kwa vijana wa Sudan Kusini

    Tangu kuanzishwa kwa mradi wa kujifunza lugha na utamaduni wa China mwezi Julai, 2021, vijana wengi wa Sudan Kusini waliojiandikisha katika madarasa ya lugha wamegundua umuhimu wa lugha ya Kichina. Mayiik Deng, mwenye umri wa miaka 25, ni mmoja wa wanafunzi wa mwanzo wanaoshiriki muhula wa tano...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: 9 wafariki kwa kusombwa na maji wakiwa kwenye Ubatizo, 8 hawajulikani walipo

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Huduma za Usimamizi wa Dharura kutoka Jiji la Johannesburg, waumini 16 kati 33 waliokolewa huku watu 8 wakiwa hawajapatikana hadi sasa Mchungaji aliyekuwa akiendesha Ibada ya Ubatizo huo ni kati ya waliokolewa kutoka eneo hilo pamoja na waumini wengine...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Chama Tawala (ANC) kukutana Desemba 4 kujadili hatima ya Rais Ramaphosa

    Chama Tawala cha ANC kimerudisha nyuma mkutano wake uliopangwa kufanyika Dcember 16, 2022 badala yake utafanyika Dec 4, 2022 Jumapili, mkutano huo unalenga kujadili mustakabali wa Rais Cyril Ramaphosa ambaye amekuwa akishukiwa kuvunja Katiba ya nchi hiyo. Uchunguzi uliofanywa na jopo huru la...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar, Mwanza, Kilimanjaro na Unguja Kusini yaongoza kwa wanawake wenye vitambi

    Wakati Watanzania na wadau wa masuala ya afya na lishe wakisubiri ripoti ya Utafi ti wa Afya ya Uzazi na Mtoto (THDS) na Utafi ti wa Kitaifa wa Lishe (TNNS) zote za mwaka 2022, yapo mambo makubwa matatu yanayoikabili sekta ya lishe ikiwemo uzito uliokithiri, viribatumbo au vitambi na udumavu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Tanzania ni nchi yenye deni dogo ukilinganisha na nchi zote zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hongera Rais Samia

    Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya...
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yarusha ndegevita zaidi ya 200 jirani na mpaka wa Korea Kusini

    Vikosi vya kijeshi vya Seoul vilisema karibu ndege 200 za jeshi la Korea Kaskazini ziligunduliwa kwenye rada zikiwa angani siku ya Ijumaa Jeshi la Korea Kusini limesema kuwa Korea Kusini ilirusha makumi ya ndege za kivita baada ya kuona idadi kubwa ya ndege za kivita za Korea Kaskazini kwenye...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini: Watu 151 wafariki kwenye sherehe za Halloween

    Shirika la Zimamoto jijini Seoul limesema idadi kubwa ya waliopoteza ni vijana waliokuwa wakigombea njia kwenye uchochoro mdogo na kusababisha kundi kubwa la watu kuwakanyaga Zaidi ya watu 100 pia wanaripotiwa kujeruhiwa kwenye tukio hilo lililowakutanisha watu takriban 100,000 ikiwa ni...
  20. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Kusini mwa Tanzania watakiwa wawekezaji

    Waziri wa Mali Asili na Utalii Balozi Dkt.Pindi Chana amesema kwa sasa sekta ya utalii ni soko kubwa la kuzalisha ajira na kuongeza pato la taifa hivyo jitihada mbalimbali zinaendelea kufanyika kuboresha Sekta hiyo. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa...
Back
Top Bottom