kusikitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Kuna Habari za kusikitisha kuhusu Mojtaba Khamenei kiongozi mpya wa Iran!!!

    Baada ya kuponea kwenye tundu la sindano kuuwawa hapo Feb 28,2026 Gaidi Ayatollah Majitaka Khamenei alijeruhiwa vibaya na Hali yake huko alikojificha Inasemekana ni mbaya sana. Taarifa kutoka vyombo mbalimbali huko Israel na Russia zinathibitisha kuwa Hali yake ya ki afya si rafiki kutokana na...
  2. Dalton elijah

    Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani

    Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo mingi, lakini hivi karibuni hali imechafuka zaidi kutokana na sababu kadhaa za kiusalama na...
  3. Q

    PostGE2025 Tuhuma za Jeshi la Polisi kuzuia majeruhi wasitibiwe wapelekwe mochwari ni za kusikitisha. IGP lazima ajiuzulu.

    Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi. Hata kama serikali itakana kama kawaida yake lkn hili tukio ni la kinyama sio la kibinadamu kabisa. Hivi leo polisi waliofanya...
  4. secretarybird

    Hili tukio limenifanya nitumie choo (toilet 🚽) vizuri na kwa adabu. Ni tukio la kusikitisha mno na lenye funzo

    No reforms no election! Iran piga hao Israel! Nilikuwa form five ambapo siku moja nilipewa kazi ya kudeki choo cha walimu, bila kufanya ajizi nikachukua ndoo zangu mbili nikaenda bombani kuchota maji. Nilipotoka bombani wakati nakaribia choo cha waalimu ambalo lilikuwa karibu kabisa na staff...
  5. E

    Picha ya kusikitisha ajali Air India

    Pamoja na matukio mengi ya kusikitisha katika ajali ya ndege ya Air India nambari 171 iliyotokea jana Juni 12 mara baada ya kupaa katika uwanja wa ndege wa Ahmedabad, picha ya kusikitisha ni ya Pratik Joshi na familia yake yaani mke na watoto watatu wakiwa ndani ya ndege muda mfupi kabla...
  6. Prakatatumba abaabaabaa

    Wachina sasa ni kila sehemu inafurahisha na kusikitisha kwa wakati mmoja

    Yees, baada ya wabongo wenzetu kuingiza tamaa na kutunyoosha kwa bidhaa kutokea china wakiuza na kupata faida zaidi ya mara 4, na endapo ukijichanganya kwa hawa madogo wanaojiita winga wa kariakoo utanunua kwa bei mara 10 zaidi. Mfano blender ya 3000 watakuuzia 120,000/=... Ukijichanganya...
  7. GENTAMYCINE

    Jana Mimba kapewa Namungo lakini cha Kushangaza na Kusikitisha wanaoumia nayo na Kuitamani ni Watu wengine wa Kigamboni

    Basi kama na nyie pia mnaitaka Mimba aliyopewa Namungo jana vuteni subira mtakuja kupewa / kujazwa 8/3/2025 Ok?
  8. Jumanne Mwita

    Habari ya kusikitisha: Gari la ‘mafao’ lilivyokatisha uhai wa mwalimu mstaafu na mwanawe

    Muktasari: Alistaafu utumishi wa umma Oktoba 2024, akapata mafao yake na kuamua kwenda jijini Dar es Salaam kununua gari. Hakufika nyumbani akapoteza maisha ajalini akiwa na mwanawe wa mwisho na rafiki yake. Watu watatu wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Rav4...
  9. Magical power

    Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones

    Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones, ambaye alikwama kichwa chini miguu Juu ndani ya pango kwa saa 28 kabla ya kufariki dunia. Alikwama mahali ambapo hakuweza kutoka alikuwa hawezi kwenda mbele wala kurudi nyuma. Baada ya...
  10. MwajabuOmary

    KERO Huduma ndani ya Treni za SGR zinasikitisha sana

    Habari zenu wana bodi ya Jamii Forum, Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class. Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni sijapendezewa nazo sana katika maeneo yafuatayo: 1. Wao wametoa maelekezo kwamba abiria wa SGR haruhusiwi...
  11. Ngufumu

    Kisa cha kusikitisha Kuhusu kujifungulia Nyumbani

    Je wajua 37% ya wanawake kujifungulia Nyumbani Nchini Tanzania? Anyway tuendelee Katika kijiji kidogo huko Pwani, Tanzania, aliishi kijana mmoja mdogo aitwaye Kaanayi, dereva bodaboda mwenye juhudi na upendo mwingi kwa mpenzi wake mjamzito, Ngaremu. Usiku mmoja, Ngaremu alianza kupata uchungu...
  12. KijanaHai

    SoC04 Hadithi ya kusikitisha na kufurahisha ya vijana wa Tanzania: Kutoka vijana walalamikaji mpaka watatuaji

    Hadithi ya kuhuzunisha Changamoto Za Vijana Tatizo la ajira kwa vijana ni kilio kilichokosa mfariji wa kudumu. Japo kwa Afrika kilio cha ajira machozi yake ni damu Tanzania Vijana wanaongezeka na tatizo linaendela kukua uku wazazi wengi ambao walifurahia ujio wa watotot wao kwa kuwapa majina...
  13. Escrowseal1

    Mchango wa Ester Matiko Bungeni na Reaction ya Serikali na kiongozi wa Bunge inaumiza na kusononesha

    Preamble : jamaa mmoja ughaibuni alikamatwa na polisi akisingiziwa na mkewe kuwa kampiga. Pamoja na kusingiziwa polisi na mwendesha mashtaka walihakikisha anapelekwa mahakamani japo hakuna ushahidi. Wakati aki deal na polisi kuhusu kesi walimwambia kuwa hata kama hakuna ushahidi ni lazima...
  14. P

    University life, kumbukumbu za kusikitisha na kufurahisha

    Wadau huko vyuoni Watoto wa kike hupitia sana, hebu niwachanue from my experience. 1. Nafanyiwa shopping na wazazi kuanzia viatu, nguo nk. Picha linaanza nimetoka kijijini kuja Dsm, full kienyeji, nikabahatika kupewa room main campus,weeh hao slay Queen nilipata huko, wakaanza kunicheka, viatu...
  15. ward41

    Ukubwa wa Singapore ni kama Wilaya ya Kigamboni tu lakini ina uchumi mkubwa sana

    Ni jambo LA kusimitisha Sana kuona nchi ndogo kama Singapore ikiwa na uchumi mkubwa kuliko taifa lolote ndani ya bara LA Africa Ukubwa wa Singapore ni kama tu wilaya ya kigamboni. Ina raia karibia million Sita Uchumi wake ni gdp karibia 500 billion usd. Kwanini tunazidiwa na nchi ndogo kiasi...
  16. Mr Sir1

    Wasafi FM mmetia aibu leo katika kipindi cha Jana na Leo

    Japo kuna baadhi watatetea kuwa kina Putin hawatumii kiingereza lakini ni fedheha kubwa mno kwa msomi ambae kasoma kwa kutumia kiingereza akashindwa kufanya mazungumzo yenye tija kwa lugha hiyo. Leo kwenye kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm watangazaji wote watatu wameshindwa kuwahoji kina...
  17. Lamzettttt

    Ukweli wenye kusikitisha

    Wanawake wamefanya kila kitu ili kuvutia macho ya wanaume... Wengine kwa waume zao, wengine kwa kila mtu. Makeup, kuchonga mwili, nguo fupi na tumbo wazi, kifua nje nje, urembo na cosmetics, kujitongozesha na kujipendekeza. KISHA NINI? Jicho la mwanaume bado linatafuta zaidi! Na linatizama...
  18. Analogia Malenga

    Kigoma: Shule ya Mvinza Kagerankanda haina Madarasa na Madawati. Waandikia Majivu

    Shule ya Msingi Muvinza iliyopo Kata ya Kagerankanda, Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma ina changamoto ya upungufu mkubwa wa madarasa na madawati hali nayowafanya wanafunzi wengi kusoma nje na wengine kusoma wakiwa wamekaa chini katika madarasa machache yaliyopo. Wanafunzi ambao wameanza elimu ya...
  19. Papaa Mobimba

    NADHARIA Kevin Carter alijiua baada picha ya kusikitisha aliyompiga mtoto akiwindwa na Tai kumpatia tuzo ya Picha bora (Pulitzer Prize)

    Kevin Carter alikuwa ni mpiga picha, sasa katika kazi zake alifanikiwa kufika Sudan na alikuta eneo fulani nchini Sudan likikabiliwa na njaa kali sana. Wakati anaendelea kuchukua matukio katika picha, alikutana na mtoto dhoofu mwenye utapiamlo aliyekuwa akikabiliwa na njaa kali pamoja na kiu...
  20. Glenn

    Mikasa ya kusikitisha ya rafiki zangu iliyowahi kunisikitisha sana

    Wakuu sana pokeeni salamu zangu. Naomba leo nisimulie visa viwili vya kusikitisha ambavyo niliwahi kushirikishwa na rafiki zangu kwa nyakati tofauti. KISA CHA KWANZA: Huyu ni rafiki yangu kipenzi sana, na naomba nimpe jina Tonia (jina sio halisi) Tonia nilikutana naye katika mazingira yangu...
Back
Top Bottom