Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Florent Kyombo amesema kamati yake itashirikiana kwa karibu na Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI) katika usimamizi na uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari ili...
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro ameeleza kuwa wameanza ukaguzi wa kushtukiza kwa madereva wa magari wenye dalili za kutaka kusababisha ajali.
Pia ameeleza kuwa wamejipanga kushirikiana na nyumba za ibada ibada ili kutanzua uhalifu...
Uvunjaji mkubwa wa sheria, unaofanywa na mamlaka kwa kushirikiana na baadhi ya askari wapenda rushwa hauvumiliki na lazima ukomeshwe.
Tunapinga vikali watu wote wanaofanya mauwaji na utekaji ambao kwa vyanzo vya kuaminika vinafanywa na vyombo vya usalama vikiongozwa na samia havikubariki na...
Wakala wa Vipimo Tanzania na Zambia kushirikiana kusimamia matumizi sahihi ya vipimo
Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) na Zambia (ZMA) zimesaini mkataba wa miaka mitatu (3) wa kushirikiana katika usimamizi wa matumizi sahihi ya vipimo ambapo utekelezaji wake umeanza mara tu baada ya kusainiwa...
GTs,
Kwa mwenendo wa kesi ya ICC, wale wote waliouliwa ndugu zao au kujeruhiwa kwenye maandamano epukeni sana kwenda kwenye tume iliyoundwa na Samia.
Yaani iko hivi, mkienda mtakuwa mmejimaliza kwa sababu watajua nani mwenye ushahidi wa kuwamaliza wao kule ICC, baada ya hapo mtauawa kabla au...
Mpango wa pamoja kati ya China, Tanzania na Urusi wa kurusha satelaiti mpya ya kufuatilia masuala ya mawasiliano unaripotiwa kukamilika, na maandalizi ya hatua ya mwisho yanatarajiwa kufanyika mwaka 2026 katika Chamwino, Dodoma. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mwelekeo wa Tanzania katika...
Naibu Rais Kithure Kindiki na Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba Murkomen wamemtaka kiongozi wa Chama cha Demokrasia kwa Wananchi (DCP), Rigathi Gachagua aandikishe taarifa na polisi aliporejea nchini Kenya kuhusu matamshi yake kuhusu ugaidi alipokuwa Marekani alikodai kuwa rais William Ruto...
Moja kwa moja kwenye mada
Kila Mtanzania anajuafika kuwa amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania haifai basi kundi hilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku...
Iran arrested 700 people accused of wartime ties with Israel, state-affiliated media says
By Reuters and ToI Staff
Today, 7:30 am
Share
1
Iran has arrested 700 people accused of ties with Israel during the 12-day conflict, the state-affiliated Nournews reports.
Iran has executed a number of...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemshukuru na kumpongeza Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mstaafu Prof. Ibrahim Hamis Juma, kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kukuza ushirikiano wa Mahakama na mihimili mingine ya Dola ikiwemo Serikali na Bungeni ambapo Rais Samia amesema sio dhambi kwa...
Nashauri upimaji mkubwa ufanyike wa ardhi upande wa Wilaya ya Segerema na Misungwi ili kuongeza mvuto na kuleta faida za kiuchumi za daraja. Haipendezi billions 700 zilale hapo halafu pajae squatter.
Huo ni ukanda wa ziwa, hotel zinafaa, prime plots kama Capri point zinaweza kutengenezwa. Hii...
Mimi ni mhanga wa kupata shida na shurba za usafiri hapa Mjini Dar.
Mradi wa usafiri wa umma wa UDART umekuwa kero kwa muda mrefu.
Jana nimeona taarifa kuwa kutakuwa na uwekezaji kutoka kampuni ya Emirates ambayo ina lengo la kuboresha huduma za usafiri pamoja na kuongeza nyenzo kama Mabasi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasisitiza Machifu wa Kanda ya Vita ya Majimaji Kusini mwa Tanzania kuendelea kushirikiana na Serikali wakati wakitekeleza majukumu yao ya kimila katika jamii.
Hayo yamejiri wakati Waziri Kombo...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Ijumaa Mei 16, 2025, wamefanya kikao na waandishi wa habari katika ofisi za HESLB Kanda ya Mashariki zilizopo Dar es Salaam kwa lengo la kuutarifu umma kuhusu kuanza kushirikiana kuwapatia namba...
Tanzania Afrika Kusini Zakubaliana Kushirikiana Kiuchumi
Tanzania na Afrika Kusini zimekubaliana kuendelea kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja ili kukuza Ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo
Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa Mkutano kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Emily Burns, Aprili 26, 2025 wamekutana Jijini Dodoma na kufanya kikao juu ya maendeleo ya sekta ya madini nchini.
Balozi Emily Burns ambaye pia ametumia kikao hicho kwa ajili ya kujitambulisha,amesema nchi ya Canada ipo...
Unatafuta fursa ya kuwekeza katika biashara yenye bidhaa inayotembea? Tunatafuta mshirika wa biashara kwa ajili ya bidhaa yetu ya kiwi nyeusi kwa viatu!
✅ Masoko yetu kwa sasa ni wanafunzi – wateja wa uhakika!
✅ Sehemu ya uzalishaji ipo tayari.
✅ Package zipo tayari kwa usambazaji.
Tunahitaji...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya katika Ukanda wa Maziwa Makuu, Bw. Johan Borgstam, katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.
Katika mazungmzo yao Viongozi...
Mungu aliruhusu Shetani kumjaribu Ayubu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Ayubu katika Biblia. Hadithi inaanza na Ayubu, mtu mwema na tajiri, ambaye anamcha Mungu kwa uaminifu.
Shetani anapinga uaminifu wa Ayubu, na kumwambia Mungu kwamba Ayubu anamcha Mungu kwa sababy ya mali tu ila sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.