Fridah mmanga - mratibu wa Sauti ya Mwanamke Sandukuni
Kuelekea kwenye uchaguzi mkuu 2025 sauti ya mwanamke wamezindua kampeni ya #MwanamkeSandukuni ambayo inamtaka mwanamke kushiriki uchaguzi mkuu.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
Uchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!
“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣.
Moja ya ujinga na upumbavu wa Watanzania ni kutoa sifa kwa mambo yaliyo dhahiri kabisa.
Anaibuka mtu...
Heche kweli kichekesho! Kila siku makelele kama generator ya kijijini, kumbe walikuwa wanapiga porojo tu! Walisema hawashiriki uchaguzi, leo wanatuma maombi kwa mbwembwe. Wanafiki wakuu, walitaka huruma kumbe walikuwa wanatafuta nafasi! Acheni maigizo, wananchi si wajinga.
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesema kuwa vyama 18 kati ya 19 vya siasa vimeridhia kushiriki Uchaguzi ifikapo Oktoba 2025 ambapo ametaka Chama Cha Mapinduzi kuwa miongoni mwa vyama hivyo
Aidha, ameongezea kwa kusema `sauti ya wengi ni sauti ya Mungu' huku akihusianisha...
Wanachama wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kutoka katika vyuo mbalimbali mkoani Dar es Salaam wamejitokeza na kubainisha mabadiliko yalifanyika katika tume ya taifa ya uchaguzi na kuwataka wananchi wote hususani vijana kuhakikisha wanatumia haki yao ya kikatiba kwa kushiriki...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi.
Akizungumza katika Kongamano la Sheria lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Addo November kutoka Chama cha Wanasheria wa...
ado november
chadema
kanuni za maadili
kanuni za maadili ya uchaguzi
kuelekea 2025
kushirikikushirikiuchaguzikushirikiuchaguzi 2025
uchaguziuchaguzi 2025
wakili
Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki.
Chama cha upinzani kipo sahihi kuhamasisha mazingira ya uwazi na kidemokrasia kwenye uchaguzi ili uchaguzi wetu usiwe wa maigizo na udanganyifu.
Wanabodi
Hili ni Bandiko la Voices from within,hivyo naomba kulianza kwa disclaimer
Leo saa hizi,ni usiku mkubwa!,hii ndio mida wenye mamlaka ya kweli,huongea na watu wao,, achilia hawa wenye mamlaka ya kukasimiwa,hapa tunazungumzia mamlaka iliyo KUU ya Ukweli, achilia hizi
mamlaka za kuja na...
"Ninawaomba sana, kama ni vipigo tumeshapigwa sana, kama ni maumivu tumeyabeba sana, safari ya mwisho hii ndio tunaelezana turudi nyuma, kuna jambo gani? na leo wengine wanazunguka huko wanawaambia watanzania uchaguzi unao msichague vyama vya upinzani, yaani tafsiri yake wanawaambia watanzania...
Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya...
Makamanda, Tunasonga mbele, tukichangie chama , kesho nitaanzisha Uzi ambao nitahitaji Screenshots za Kukichangia CHADEMA shilingi Elfu Kumi Kumi tu!!.
Najua tumechangia na tunaendelea kuchangia, ili Tuwaonyeshe Hawa manyang'au wa CCM kua CHADEMA ni chama Cha Wananchi basi Kwa heshima na...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Mhashamu Maimbo Mndolwa amewahimiza Watanzania kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu, na kusema nchi inaweza kuingia katika mgogoro mbaya wa kikatiba kama watasikiliza watu wanaotaka kuahirisha uchaguzi huo.
Askofu Mndolwa...
Shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA) mkoni Rukwa limetoa wito kwa wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchaguzi ili kupata viongozi bora watakaojali maslahi ya wafanyakazi na kuleta maendeleo ndani ya nchi.
Hayo yamebainishwa na mratibu wa TUCTA mkoani...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amesema kuwa chama hicho kiko tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, endapo Tume ya Uchaguzi itawapa nafasi hiyo.
Maana uongozi mpya wa chadema umewakatisha ndoto, matamanio na matarajio yao ya kiasia waliojiandaa na kuvumilia kuyatimiza kwa muda mrefu sana ndani ya chadema.
Leo hii ghafla, na kwa makusudi,
chama chao Chadema kimewakosesha haki na fursa hiyo muhimu ya kutimiza ndoto zao za uongozi, lakini...
Chama Cha Wananchi (CUF) kimesisitiza kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, huku kikiwaalika makada wa Chadema waliounda kundi la G-55, kujiunga nao ili wagombee kupitia chama hicho.
G55 linahusisha makada wa Chadema waliotoa waraka wakiushauri uongozi wa Chadema kushiriki uchaguzi licha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.